Habari wakuu nimechek kwenye mfumo wa ku calculate kodi wa TRA hyundai ix35 made in Korea haipo, nimeshindwa kujua napataje Gharama zake,
Gari lenyewe hili hapa
Naomba msaada kwa wanaojua...
Wakuu habari za weekend na za jumapili..
Nahitaji mkopo wa tsh. 800,000 ni waharaka nahitaji Kwa ajili ya mambo ya biashara yangu.
Riba isiwe Kubwa Sana marejesho ndani ya mwezi mmoja tu...
Naomba kuuliza, kutoa namba ya akaunti ya bank kwa mtu wa nje au ndani ya nchi akuingizie pesa. Je, kuna uwezekano wa kukuibia pesa zako au hakuna huo uwezekano?
Naomba msaada wa maarifa tafadhali.
Wananchi wenzangu natumaini hamjambo.
Wadau wote wa BRELA natumani mko salama,
Nina changamoto na namna ya kupata huduma BRELA
Ni muda sasa nahangaikia hili swala , ukienda ofisini...
Habari Vijana wenzangu, Nimeamua kushare na nyie MAMBO 15 niliyejifunza baada ya kujikita katika uanzishaji wa biashara kwa mara kwanza katika maisha yangu mwaka jana (2018)
1: Kamwe usiombe...
Heshima kwenu wakuu!!
Mimi ni mwanafunzi jinsia ya kiume wa chuo kikuu kimojawapo kinachopatikana katika mkoa wa Morogoro,Nategemea kuingia mwaka wa tatu mwaka huu hapo October.
Kutokana na...
Habari, niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna hili wazo la kibiashara la kuuza samaki angali bado hai, kama wafanyavyo China, kwamba unaenda fish market unanunua samaki fresh kabisa kwenye maji...
Ndugu wapendwa ningependa kutanguliza salamu kwenu,naombeni msaada wenu kwa yoyote anaefahamu kwa undani kuhusu bisahara hii ya bia za jumla,Ahsanteni.
Habari za jioni Wadau! Naomba kufahamu ni wapi hapa Dar huduma ya kukamua na KUCHUJA mafuta ya Alizeti inapatikana.
-Nilipokuwa nafanyia hiyo shughuli Siku za nyuma ,wamehamia mkoani.
Thanks
Husika na Habari hapo juu,waheshimiwa shida Yangu ni moja tu kumtafuta mbia nisaidieni kujua niifanyie kazi!
Idea Yangu inahusu kuanzisha mtandao wa kijamii wa kipekee!
Habarini ndugu nina wazo la kuiboresha jamii forum ni naomba uongozi uwasiliane nani,naona nguvu ya jamii forum imeshuka nina idea nzuri sana,wazo hili nimeanza na jamii forum kabla sijawapelekea...
kila nikisikia nasikia fursa kubwakubwa tu.
mfano mimi na kupangisha watu hotelini wapi na wapi.
naombeni fursa za kilalahoi, mishentown, kijasiliamali kidogo, kiuongeajiongeaji au connections...
Katika hali isiyo ya kawaida, soko la hisa la Dar es Salaam limeanza kwa mdororo mkubwa wiki hii. Ripoti zinaonyesha kwamba ni sh40,000 ndizo ziliripotiwa kupatikana leo kutokana na mauzo ya hisa...
Natumai mko poa, mnaendelea vyema kabisa na mihangauko ya kujenga viwanda kuunga mkono hoja ya mweshimiwa magu.
Sasa iko hivi, juzi Kati nilipita tawi moja la equity bank Nika fungua account...
Naomba ndugu zangu mnisaidie mchanganuo wa saluni ya kiume ya kisasa zaidi,nina million 4 nataka nifungue saluni ya kisasa na yenye mvuto nisaidien wandugu...siku njema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.