Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Naomba kujua ni kwa namna gani naweza kupata kibali cha biashara cha magufuli kwa maana mm ni natarajia kuwa na biashara ya juice
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za mchana huu!! Katika harakati za kutafuta maisha nimepata wazo la kufungua kiwanda cha vinywaji yaani Juice,soda katika taste tofauti tofauti... Kuhusu pesa ninazo (ila si za kuhonga...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Nauliza ndugu zangu bei ya bati Mbeya mjini ni Sh ngapi? Na je nyumba ya vyumba vitano itahitaji bati ngapi.... Mbao je? Asante
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau. Hapa jijini kumekuwa na maduka mengi sana ya mavazi yenye ubora wa juu, kati na za kawaida sana. Wengi wa wamiliki wanasafiri ama kuagiza toka nchi za china, Korea, hata...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Salute bosses! Uzi huu nauandika mahususi kwaajili ya kupeana mbinu za biashara ulizotumia wakati unaanza biashara yako hadi ukafanikiwa. Nafahamu hapa JF wapo wafanyabiashara wenye mafanikio...
2 Reactions
28 Replies
7K Views
Hawa jamaa nimewavulia kofia wanadai hadi saa 8 usiku
29 Reactions
163 Replies
32K Views
Watu wengi wanajua ukishafungua biashara basi kinacho fuata ni kupiga pesa tu wanasahau viungo muhimu vya biashara Biashara siyo uchawi biashara ni akili, ubunifu na wakat Vitu vinavyofanya...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau salamu! Naomba mwenye kujua anisaidie. Nina kampuni mbili zenye shughuli tofauti, nimeamua niziweke ktk ofisi moja ili kuepuka gharama za pango lkn pia ziwe chini ya meneja mmoja. Naomba...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
wakuu nimepata wazo la kuanzisha biashara ya kuSupply mchele mashuleni na kwenye cafeteria za chuo. ni utaratibu gani hutumika kupata tenda kwenye maeneo hayo? mfano hizi shule za boarding na pia...
2 Reactions
15 Replies
6K Views
Naomba kujua ni kwa namna gani naweza kupata kibali cha biashara cha magufuli kwa maana mm ni natarajia kuwa na biashara ya juice
0 Reactions
1 Replies
984 Views
Wakuu katika kuhangaika kwangu nimejichanga changa sana hadi sasa nina kama milion 10 za kitanzania, lengo ni kupata 'goli' kariakoo na kufanya biashara ya nguo za kiume. Nimekuja hapa kuomba...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari, poleni na majukumu ya siku nzima. Inawezekana ukawa suluhisho la tatizo langu la kupata mkopo. Maisha yamenipiga sana baada ya kuachishwa kazi na sasa ninakusudia kuanzisha biashara ili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Achana na zile nyuzi zangu kuhusu watoto wa kike na kua na tamaa, wacha nishushe wasifu wangu. Mimi ni kijana ambaye taeheer 04/07 nilitimiza miaka 22, yaani bado damu inachemka, naishi kwa ndugu...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Vijana Mkoa wa Ruvuma wamefurahia fursa ya mafunzo ya ujasiriamali na usimamaizi wa biashara yaliyotolewa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) kwa kushirikiana na Ofisi ya...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Nawasalimu kwa salamu ya kihandisi, expansion joint wadau! Kama kichwa cha habari kinavyosomeka,Nchi yetu ya Tanzania kwa sasa ni kati ya nchi zenye idadi kubwa ya watu na yenye ongezeko la kasi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ya muda huu wapendwa. Naomba msaada kuhusu kufanya top up ya mkopo crdb. Huwa inaruhusiwa muda gani baada ya kupata mkopo wa kwanza?;msaada wenu please. Mimi ni mtumishi wa umma
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wadau Nna mpango wa kufanya biashara ya vyombo vya mtumba,nalenga kuchukua bidhaa kutoka Zanzibar,naomba many connection au hata ushauri kwa mwenye uzoefu na biashara husika,asanteni.
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Wakuu natumai muwazima wa afya. *Mimi ni muhitimu wa mafunzo ya ualimu ngazi ya "diploma" katika masomo ya physics & biology,,, *Nimependa ku- share nanyi uzi huu kwa malengo makuu mawili. 1.Kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu! Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, ipo mijadala na humu Kuna baadhi ya uzi zimegusia juu ya ubora na bei ya bidhaa zinazotengenezwa Tanzania Kama chanzo Cha watanzania wengi...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari za mchana wakuu... Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,,naomba nipate ushauri wenu kuhusu hili suala.. Nimemfungulia wife biashara ya vinywaji(soft drinks) kwa mtaji wa Tsh...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom