Wafanyabiashara ndogondogo, wachonga Vinyago na Wachoraji wa picha mbalimbali wanaouza bidhaa zao kwa wajumbe wa mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo kwa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC),katika...
https://www.nyasatimes.com/reserve-bank-speaks-on-cryptocurrencies-they-are-not-legal-tender-in-malawi/
Naona Reserve Bank ya Malawi wameelezea vizuri saana hii issue ambayo ina watatiza watu...
Baada ya utawala wa bitcoin almost miaka 10 sasa FB nao wamekuja na kinachoaminika ni mpinzani wa BTC, Libracoin!!
Mpaka sasa hii coin ina support ya mashirika makubwa duniani kama stripe, uber...
Wana JF,
Kuna malalamiko mengi sana juu ya mikataba ya madini na hasa huhusishwa viongozi kuwa wanahusika kutuibia madini yetu wakishirikiana na makampuni ya mabwenyenye. Tuhuma hizi zimeanza...
Nataka nianze hii biashara.Naomba anaefahamu wanapouza miguu na vichwa vya kuku kwa jumla anipe muongozo.Au aliyewahi kuifanya hii biashara.Eneo la biashara ni Mwanza
khabari za mchana wadau na vijana wote mlio wanachama wa Jamii Forum pendwa kabisa. Napenda kuwakia jumatatu njema na yenye baraka kwa wote.
Nadhani inafahamika kama kwa sas kuna changamoto...
Habari,
Leo ningependa kwenda moja kwa moja kwenye mada ni kwamba unapotaka kufikia mafanikio basi fanya kazi kwa bidii lakini kama ukitaka mafanikio makubwa zaidi basi inakupasa kushirikiana na...
Shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha kuwezesha vijana kielimu na kiuchumi (SOMAFCO) linatarajia kuanzisha kiwanda cha kubangua korosho mkoani Morogoro nchini Tanzania.
SOMAFCO...
Habari zenu wakuu
Nimekua msomaji wa thread humu kimya kimya na kiukweli nimejifunza mengi
Ningependa kujua hii biashara ya uber inalipa, sina ufahamu mzuri kuhusu hii biashara japo watu wachache...
Wandugu,
Naombeni ushauri,nimehangaika sana mtaani na ajira mpaka imekuwa kero.
Sasa nimebahatika kupata ka usafiri yaani gari ndogo nimesohezewa na ndugu yangu ili nitafutie biashara ya kufanyia...
KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Tanzania imempongeza Rais Dk. John Magufuli kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), na lugha ya Kiswahili kukubalika kuwa lugha ya nne kwenye...
Habari wana JF,
Kichwa cha habari kinajielezea,
Huu ni uzi wa kipekee unaohusu maswala yote yahusuyo biashara, masoko na mauzo, kwa hiyo kama utakuwa una kitu chochote unahitaji kufahamu juu ya...
Habari ya kazi wapambanaji wenzangu
Nawezaje kupata ujuzi wa kutafuta simu zilizopotea kwa anaefahamu Naomba msaada wa maelekezo maana nimeona ni fulsa nzuri ya kujitengenezea kipato katika mkoa...
Habari zenu Great thinkers!
Nimekuja na swala jipya linalolenga maada kuhusu nembo ya Tbs kwa brand za wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo wabogo au level yoyote. Nauliza swali kama kuna...
Je wewe una fedha na hauna wazo la biashara, ila unatamani kufanya biashara?
Basi, tega sikio lako la thamani.
Halmashauri ya jiji la Mwanza inaenda kuondoa na kusitisha huduma ya vibasi vidogo...
Tangu tarehe 12 Agosti 2019 kuna wiki ya kuhamasisha uwekezaji mkoani Kagera inaendelea Mjini Bukoba.
Ratiba, Muhtasari wa fursa na mwongozo kamili tayari vimertolewa.
Naambatanisha hapa kwa...
Habarini za asubuhi wanajamvi....
Mimi ni mfanyabiashara wa biashara ya mitandao ya kifedha kama vile M-pesa,halopesa,tigo pesa na Airtel money..
Lakini nizungumzie kidogo kwenye mitandao ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.