Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Dar es Salaam The value of new investments dropped by 44.4 per cent last year, but the number of ventures funded by locals increased sharply, according to a new report. The National Bureau of...
1 Reactions
5 Replies
846 Views
Dunia ya leo inataka watu wanaoweza kuishi ndani yake, nikimaanisha kama wewe ni mjasiriamali na unataka kufanikiwa katika shughulizako za kijasiriamali lazima uichunguze dunia ya leo inataka...
9 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuelekea Tanzania ya Viwonder (Viwanda) ni lini tutafikia kutoa support kwa Wataalamu wetu wabuni na kutengeneza Vimashine vidogo au kubwa za kurahisisha kazi na kutengeneza ajira. Tukiwa na nia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tatizo kubwa tulilo nalo waswahili wengi ni chuki dhidi ya Matajiri. Mswahili anaweza kutuma text akisambaza kwa watu kuwa John au Juma kafulia huku akifurahia sana. Haoni madhara ya Juma kufulia...
77 Reactions
91 Replies
15K Views
Kuna siku niliwahi kusikia mamlaka ya mawasiliamo TCRA ikisema kuwa gharama za muingiliano kati ya kampuni na kampuni itashuka hadi kufikia Tsh. 10 kwa dk 1 muda muda fulani ukifika. Lakini hadi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wakuu, Mimi ni mtumishi wa umma, mnamo mwezi March mwaka huu nilichukua mkopo Bayport. Kipindi hicho nilikua sijatimiza vigezo vya kwenda kopa bank na nilikua na uhitaji sana wa pesa...
0 Reactions
30 Replies
10K Views
Nataka kufahamu iwapo nilikopa pesa kwa dhamana ya mshahara Wangu, itakuwaje pindi nimefukuzwa kazi ama nimeacha kazi bila ya kumaliza deni lao? Jee hilo deni lao nani atalilipa pindi mshahara...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
WADAU NAOMBA KUFAHAMU KATI YA KIKUU NA JUMIA YUPI ANATOA HUDUMA NZURI? NA YUPI MWENYE QUALITY NZURI?
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Kwa kweli Pepsi wamejieleza vizuri sana eti hawawezi kubeba gharama zote peke yao kwa hiyo na sisi hatuwezi; wateja wetu inabidi tubebeane, tuchukuliane tulipe kodi wote kwa ustawi wa nchi yetu.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wanajopo habari za siku nyingi na pilikapilika za kulijenga taifa letu la uchumi na viwanda . Naomba mawaziri na manaibu mawaziri waliopo humu wajaribu kufuatilia kuna wananchi kanda ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Maneno hayo utasikia yakisemwa na kijana anayejiita mjasiriamali. Sio kujiita tu hata kwenye social networks zake anajiita entrepreneur. Mtu anayeona tatizo kwenye jamii mfano scarcity ya maji...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta serious Partiner wa kufanya nae biashara ya Petrol Station. Nina kiwanja tayari chenye ukubwa wa sqm zaidi ya 3000,eneo lina future ya biashara kwa kuwa hakuna kituo cha mafuta maeneo...
7 Reactions
30 Replies
6K Views
Swali: Nawezaje kuwa Wakala wa shughuli za kutoa huduma za Bima, hasa Bima za magari Mwenye ufahamu tupe shule tafadhali
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mambo vipi? Ni siku nyingine tena tunakutana katika darasa la leo ambapo siku ya leo ningependa ni-share mambo saba ninayoamini kwa dhati kabisa iwapo utafuata basi utatengeneza pesa na kamwe...
42 Reactions
61 Replies
8K Views
Biashara ya kutembeza mtaani hasa bidhaa za wanawake Ina faida kubwa sana Je changamoto zipi unakutana nazo Me binafsi mwanamke anakuambia nivalishe kiatu then anakuuliza wewe nimependeza Dada...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Somo jingine kwa nini bei ya mabati inatofautiana kiwanda kimoja na kingine. 1.material Ni kawaida kuwa kama unanunua material kwa bei ya juuu itapelekea uzalishaji kuwa juu na bidhaa ya mwisho...
6 Reactions
14 Replies
6K Views
A seasoned economist and academic, Professor Joseph Semboja, has been elected Chairman of the Board of Directors of the National Microfinance Bank (NMB), effective November 5, this year...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama amefungua warsha ya siku moja ya majadiliano ya wadau kuhusu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ukisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone Mchina baada ya kuona brand zake kubwa...
73 Reactions
426 Replies
56K Views
BALOZI wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki, amesema kuanzishwa kwa safari za ndege kutoka Dar es Salaam hadi China kutasaidia kuongeza utalii kwa kiwango kikubwa kwa kuwa Wachina wanasubiri...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom