Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wafadhili wengi (donors) hutakiwa kwa mujibu wa sheria zao ndogo ndogo (by laws) na maamuzi ya vikao vya bodi; kutoa kiasi cha fedha kila mwaka kwa ajili ya ufadhili wa miradi ya maendeleo. Hivyo...
10 Reactions
35 Replies
40K Views
Habarini wadau,naomba kuifahamu vizuri biashara ya rasta. Nataka kufungua duka la reja reja,mtaji laki 5 Pia nafikiria biashara ya mabegi ya wanafunzi NAOMBA USHAURI KWA MNAOZIFAHAMU NA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wataalamu Habari Ya Wakati Huu...! Naomba kutumia neno "Wataalamu" mana naamini kuja kwenu hapa nitapata kutatua shida yangu iliyonileta. Mimi ni kijana ambaye ndio kwanza nimeanza kuingia rasmi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina shida na hiyo mashine ila uwezo wangu mdogo hivyo nahitaji used kwa Mwenye nayo tuongee biashara
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeulizwa hilo swali na ndugu yangu aliyeko USA. Anataka kunitumia hizo bidhaa ili niwe namuuzia hapa nchini. Naombeni mnisaidie ili niweze kumjibu na kuuweka mpango huu katika vitendo. Asanteni...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za muda huu wakuu? Samahani naomba msaada kuhusu Calculator ya TRA, ninataka kuagiza gari sasa nimejaribu kukokotoa naona gharama inakuwa kubwa sana sasa nilitaka kujua kuhusu gharama za...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Jiji la dar-es-salaam limejaa vivuli vya kutafuta kwangu na vya watu wengi sana. Kila mtaa ninaopita naviona, najiona mwenyewe nilivyokua natembea hii mitaa, Kugonga milango kwenye ofisi za...
17 Reactions
15 Replies
3K Views
Ndugu zangu habari zenu, niko singida lakini natafuta soko la kuku mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, ikiwa uko na mtu ana uhitaji au wewe mwenyewe please DM me. Nitakuletea hadi mlangoni kwa idadi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapendwa wanajamvi salaam sana kwenu, Hapo mwanzo mwaka 2017 visenti vyangu viliniwasha tena nikiwa na curiosity ya kutosha nkaona haina noma, let's do it. Nilinunua vidubwasha vidogo kutoka...
4 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wadau mie nina biashara ya pembejeo za kilimo sasa changamoto ni mtaji mdogo kuliko mahitaji ya Wateja wangu. Naweza pata mtu au taasisi wa kuniinua kwa mtaji wa fedha au bidhaa za dukani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kuna mtu ana uza vidonge vya vitamin kwa wale wapiga gym wanaelewa kwa mfano kama amino nataka vidonge vyaku jaza tu 0624585115 nicheki
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hi! Jamani Mwenye uzoefu na hii biashara ya kuuza wallpapers za kubandika ukutani, kama majumbani na ofisini nahitaji kujua iko vipi, yani Unaanzaje, unachukulia wapi n. k
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Tanznaia na nchi nyngine zinazolima zao la Korosho sasa kuneemeka zaidi na zao hilo kufuatia Maganda ya zao hilo ambayo awali yalikuwa yakitupwa kugundulika kuwa na Kemikali na Vitamini ambazo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanabodi, Heshima kwenu Nimefuatilia kwa ndugu, jamaa na marafiki wengi waliochukua mikopo na kununua bajaji, Bodaboda au ggari za kufanya uber na kugundua wengi hawakupata faida walioitarajia...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Wana jukwaa habari, Naomba mnishauri na pia kunielekeza namna ya kufungua kampuni ya umeme pia na ujenzi, niwe na nini, kiasi pia cha fedha, pia njia zipi za kufuata.Pia changamoto baada ya...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari zenu ndugu zangu ......nilikuwa naomba msaada wa ushauri na mawazo na maoni juu ya jina bora la kampuni .....nataka kuanzisha kampuni ambayo itajishunghulisha na mambo mengi kama...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari zenu wana jf . Mimi ni mwanachuo je naweza Fanya kazi gani online au wazo la biashara nnayoweza kufanya nikiwa chuo
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeulizwa hilo swali na ndugu yangu aliyeko USA. Anataka kunitumia bidhaa ili niwe namuuzia hapa nchini. Naombeni mnisaidie ili niweze kumjibu na kuuweka mpango huu katika vitendo. Asanteni sana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jamvi naomba msaada kwa walio na uzoefu katika biashara hii ya magodoro faida zake na biashara yake ikoje. Pia naomba kujua namna bora ya kuwa wakala katika makampuni hayo tajwa na...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Wakuu habari za saa hizi? Kuna mashine nimewahi kuziona zinachuja/kusafisha maji pamoja na kupooza kwa ajili ya kunywa majumbani. Mimi niliona shuleni miaka ya nyuma kidogo. Naomba kujua kama...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom