Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Do you want to start any of the following 65 businesses ? Tyres Retail - New Real Estate Agency - 42 pages Executive Barber Shop - 42pgs Petrol Station (Independent) - 47pgs Motorcycle Spare...
1 Reactions
0 Replies
834 Views
Wadau habari za ujenzi wa taifa. Naombeni wataalamu wa mambo ya roofing na material yanayohusiana na roofing mnisaidie mambo yafuatayo; 1. Aina mbalimbali za roofing material, suitability na...
0 Reactions
36 Replies
20K Views
Katika kutatua matatizo ya kilimo na wanunuzi wa tumbaku Bashe hapa umeweza sana kumsaidia Raisi, hii ni kama mambo uliyoyasema yatatekelezwa haraka. Kikao na kampuni nne zinazonunua tumbaku...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari naulizia kwa hapa Dar Es Salaam ni wapi naweza nunua vitabu (si vya shule) kwa bei ya jumla?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwetu sisi matajiiri ila mimi sisikii vizuri, je nifanye biashara ipi kwa namna gani? Heloo wanachama, kama kichwa cha habari kinavyoseleza, Nlibahatika kuzaliwa kwenye familia ambayo angalau...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Wakuu habari Wakati wa nane nane dodoma mwaka huu kulikua na wauzaji wa incubator ndogo ya mayai 8 kama sijakosea na walikua wanauza 80,000 tafadhali kama kuna supplier humu wa hizo incubator au...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello! Naomba kuuliza vijana mlio na uwezo wa kuunda magari au pikipiki, hivi hamuwezi kuunda hivyo vyombo vya moto kwa bajeti ndogo mfano Tsh.500,000/= mpaka Tsh.2,000,000/= hivi?? Undeni bwana...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Sisi ni wanachama na tumeambiwa kuna nafasiwya masoko ya mazao. Msimu uliopita baada ya India kusitisha manunuzi ya mbaazi mazao yetu yalikosa soko kabisa. Mbaazi ziliozea mashambani, licha ya...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
wana JF poleni na majukumu. napenda kujua mzani wa duka la rejareja A.K.A duka la mangi huwa inauzwa kiasi gani cha pesa???
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nimekuwa nasafiri kwa miaka kumi sasa na KLM, Emirates na Turkish airways. Asilimia zaidi ya 90% hasa KLM wanashukia KIA lakini nipadogo sana Vilevile hakuna Hotel karibu. Kuna viwanja vingi pale...
8 Reactions
44 Replies
4K Views
Wadau natafuta mteja nauza hisa zangu za voda nahisa elf 5000 nauza zote kama mteja tuwasiliane kwanamba 0683 954 738 ile namba yakwanza nilikosea hii ndo sahihi kwamasiliano
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Shirika la ndege la ATC naona limeanza safari za nje. Hii ni hatua nzuri sana lakini wasiwasi wangu ninasita kuamini kwamba wataweza kumudu route za kimataifa. Moja ya changamoto za route za...
4 Reactions
5 Replies
924 Views
NYUMBA INAUZWA Ni nyumba ya kisasa ipo maeneo ya BUNJU "A" Ina vyumba vinne, master bedroom, store, jiko, fensi na nyumba nyingine ndogo kwa pembeni. Ukubwa wa kiwanja ni square meters 1910 Ina...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kaka yangu amefungua genge la matunda na viungio vya chakula amelipia kodi ya miezi sita na ndo kwanza mwezi mmoja na wiki mbili anataka aikimbie fremu Anadai amefeli kwenye uteuzi wa location...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Mzuqa, Miezi miwili iliyopita nilinunua smart watch kutoka Aliexpress na kusafirishwa na hawa Malaysia Post, baada ya siku 15 saa yangu ilifika South Africa sasa kila niki-track naona bado...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujua namna na taratibu za kuuza hisa zangu za voda, kuna hela flan nahitaji sasa nimeona the last option ni kuuza hisa zangu zipatazo 1000.
0 Reactions
35 Replies
14K Views
Wana forum naulza wapi kuna soko la bata maana nataka kufanya biashara hii... Tuoneshane njia....
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Sarafu ya Tanzania imekuwa ikipata nguvu kila uchwao kutokana na juhudi za makusudi za kukuza uchumi wa Tanzania zinazofanywa na Serikali ya awamu ya 5. ''Tanzania’s shilling is expected to gain...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Nauza mtungi tupu wa gas kampuni ya ORYX nipo MOROGORO mjini!
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Fundi bomba, Plumbing & pipe fitting,s. Ninatoa huduma hii kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Maji safi na maji taka Drainage system kwa ubora wa kitaaluma na uzoefu pia sio kubahatisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom