Nimepitia thread kadhaa hapa zikieleza namna ya kufungua kampuni na kukamilisha taratibu zote. Nimefaidika sana na nyuzi hizo.
Mimi ninataka kufungua kampuni ya familia ambayo itakuwa na biashara...
Nimeshangaa kusoma nissani kmpuni ya kutengeneza magari ina mpango kupunguza nguvu kazi juu mauzo yameshuka mbaya
=======
Nissan to cut 12,500 jobs as quarterly net profit plunges
THURSDAY...
Natumaini hamjambo,
Mnamo tarehe 30/08/2019 nilipost ujumbe wenye kichwa cha habari kama kinavyosomeka hapo juu
Kwanza kabisa natanguliza shukrani kwa wale waliokuja PM kwa nia njema ya...
Wakuu habari za muda huu naomba kwa anaejua kuhusu mnada uliopo maeneo ya pwani kati ya kisarawe na maeneo mengine karibu na Dar naomba kujua kuhusu ratiba za minada hio kwa anayefahamu
Nk.mnada...
Wakuu za jioni
Hapa jijini Mbeya cement aina ya Nyati na Supaset zimekuwa adimu sana.
Ukizingatia hizi cement ndio cement zinazo tumika mara nyingi sana kwasababu ya nguvu yake yaani 42.5...
Habari wanajamvi, ninatafuta mtu wa kushirikiana nae kwenye biashara ya kuuza chakula maarufu kama Mama Lishe. Ninapendelea huyo mtu awe na uzoefu wa biashara hiyo kwani atakuwa mpishi mkuu.Pia...
Habar wadau.
Naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu wa kuagiza vitu kwenye mitandao hasa ebay,namna gani wanafanya hadi kufanikiwa kuupata mzigo,njia ya kulipia,pa kwenda kuchukulia na kodi zake.
Maana...
Habari ya majukumu ndugu zangu, Mimi nahitaji kufungua kampuni ya mikopo ambayo mwanzo niliwaza kufanya mwenyewe (Sole proprietorship) ila katika process nikashauriwa nifanye hii kitu katika...
Habarini wadau,
Katika taasisi mbovu hii imepindukia kiasi cha kuhatarisha maisha ya wananchi.
Wamefuta baadhi ya makundi yaliyokuwa wanachama wao pasipokutoa taarifa yoyote kitu ambacho ni...
Nipo viwanja vya wakala wa minada ya mahakama Yono Auction Mart, muda huu, makubaliano ni mnada uanze SAA 4 kamili.
Sasa kutokana na hali ya watu walivyo wengi na kiingilio cha elfu 30 wameamua...
Hivi wakuu, kwenye suala la mikopo hakuna sheria ya nchi kupitia BOT inayoongoza hizi riba?
Kwanini riba ya NMB, CRDB, TPB BANK n.k zinatofautiana? Riba constant ya nchi ni ipi kisheria kwa kila...
Habari za muda huu wana familia ya jamii forums. Mm ni mwanachama humu kwa muda kiasi sasa. Pia mm ni mjasiriamali, na nilipenda ujasiriamali kupitia mawazo mbalimbali yaliyotokana na familia hii...
Tunasambaza bidhaa mbalimabli kutoka Zanzibar kwenye masupermaket na maduka. Bidhaa izo ni kama zifuatazo
1. Maziwa ya unga ya Almudhish size zote 155000/= gram 400 kwa 210000/=
2. Maziwa ya unga...
Ninataka kufanya biashara ya asali, nipo Kilimanjaro. Nahitaji kujua asali (nyuki wakubwa na wadogo) inapovunwa, misimu yake na bei yake kwa kipmo husika.......... Naomba kujua kwa mwenye kufaham plz
Habarini za asubuhi wanajamvi . mimi ni kijana mwenye miaka 26 nimepata kazi ya uwalimu katika shule moja hapo mjini Dodoma ila msharaha wangu ni mduchu sana. Sasa nilikua nataka kujiongeza...
Mimi ni mjasilia Mali Nina kiduka changu mitaa Fulani hivi Hapa bongo kinauza jumla na lejaleja miaka yote nimefanya sijawahi kukutana na kimbembe nilichokutana nacho
Hivi kalibuni eti afisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.