Do you want to start any of the following 65 businesses ?
Tyres Retail - New
Real Estate Agency - 42 pages
Executive Barber Shop - 42pgs
Petrol Station (Independent) - 47pgs
Motorcycle Spare...
Kwa mahitaji ya kuchimbiwa kisima kwa bei nafuu tuone sisi thanzania drilling company tupo morogoro bei yetu ninafuu sana inaanzia 65000 tu kwa mita karibu mdau
Wakuu habari zenu.Nimekuwa nikijiuliza na kupiga mahesabu ya kubana matumizi hususan katika suala la chakula kutokana na hali ya uchumi ya sasa ilivyo.Ningependa kufahamu kutoka kwa wale wenzangu...
Naitwa mohamed juma ni mfanya kaz wa Halotel Niko APA kutambulisha huduma ya royal bundle hii lain inakupatia mb bila kikomo mwez mzika na dakika 120 all network na dakika 300 Halotel kwa Halotel...
Habari wakuu!
Natafuta gari ndogo iwe corolla, starlet, duet au gari ya aina yoyote kwa atakaekua tayari aniuzie nimlipe kidogo kidogo isiwe ya bei kubwa ata ikiwa imechoka lakini inaweza kupiga...
Habari zenu wana jamvi
Kama kichwa cha habari kinavyosema mimi nipo Dar es salaam Kwa wazoefu waliowahi kutumia kikuu kuagiza baadhi ya bidhaa!
Nataka na mimi niagize sasa nikiagiza bidhaa yangu...
Natumai wana Jamvi wenzangu mu wazima wa afya tele. Kama ni wazima karibuni kwenye uzi wa malalamiko dhidi ya benki za Tanzania.
Kwa miaka mingi sasa nimekua mkopaji na mnufaika wa taasisi za...
Sifa moja ya kodi ni kuwa comprehensive kwa maana ya inatakiwa kucover eneo kubwa na sio kuwapa burden watu wachache walipe kodi.
Sasa.
Kuna hawa jamaa wenye nyumba za kupanga inshort wanapokea...
Kama wewe ni mkulima au unamjua mkulima/wakulima wa Dengu tafadhari wasiliana nami.
Nahitaji dengu aina ya TULIDALI tani 120 haraka sana
Contacts:
E-mail: sanjarahoneytz@gmail.com
Mob...
MTANZANIA mwenzangu, najua unajua kuwa siku za karibuni nchi za Tanzania na Uganda zinatarajia kufanya Kongamano la kibiashara la pamoja ambalo litakuwa ni mara ya kwanza kufanyika nchini kwetu...
jmosi nakuja mwanza
nakuja kutafuta frem
nataka kufungua goli la phone accessories maeneo yA mwanza
kuna kiasi kidogo nimepata nataka nisikichezee
NAOMBA USHAURI KWA WAJANJA/WANAOIJUA VIZUR...
Mwamba baada ya kukichafua sana route ya dar arusha sasa wameamua kuaminisia makali yao na route yao ya zamani ya Dar mbeya tunduma kwakweli hawa jamaa wana mwezi mmoja tu ndani ya hii route ila...
Kanuni za kuikuza biashara ndogo ili iwe biashara kubwa
Kila kitu kinachoanza kwa hatua ndogo kinatakiwa kukua katika ukubwa, hivyo unapoonzisha biashara ndogo basi fahamu namna ambavyo biashara...
Je hawa jamaa wanaozunguka K/koo na gari wakiuza flash zina nyimbo tofauti tofauti wanavibali au wamezilipia hizo nyimboo maana BASATA wangeanza na hawa jamaa na wachoma cd K/koo kama
Kweli wako...
Mwenye Gaming CPU aje tufanye exchange na Laptop
Dell Latitude E6220
Core i5 2nd Gen
Processor 2.50 GHz (4 CPUs)
Ram 4GB
HDD 210
No Battery
Nahitaji CPU yenye Kusukuma Games hizi
Fifa 18
Fifa 19...
Kwa muda wa miaka minne nimekaa na tatizo hili sasa ninadhani ni wakati muafaka wa kuomba ushauri!!
Mimi ninafanya kazi inayoniingizia kwa mwezi sh.700,000/= tasilimu.Sijajenga nyumba ila nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.