Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kuna mwanakijiji kaniletea jiwe ni la chuma dogo sana hata kiganja hakijai ila nimelipima lina kilo 2.3 kiukweli mimi sjui mambo ya red mercury nasikiaga tu ila hili jiwe wanadai ndani lina red...
2 Reactions
24 Replies
9K Views
WAAGIZAJI wa bidhaa na mawakala wa forodha nchini, wamepatiwa elimu kuhusiana na taratibu za uingizaji wa bidhaa nchini pamoja na usajili wa maghala ya kuhifadhi bidhaa za chakula na vipodozi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jf habari, Ninaomba ufafanuzi jinsi ya kuweka akiba maana mimi sijui jinsi ya kuweka akiba. Asante
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Greetings. Leo tunakutana tena jioni hii kwa kwaajili ya darasa muhimu kabisa ambalo naamini litakusaidia kuona mambo unayokosea katika Hustle zako na namna gani unaweza kubadilika. Kwa kuanza...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
1 • 90% ya watu hawasave pesa. Ndiyo maana 90% ya watu ni masikini. 2 • Watu wengi wanapoteza Pesa kununua vitu wasivyohitaji kwa pesa wasizokuwa nazo ili kuwafurahisha watu wasio wajua. Think...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa mnao faham naombeni mnisaidie kuusu hili. Kwanini vifurushi vya Vodacom vina bei sana tofauti na mitandao mingine kama Tigo, Airtel...... Ni kwamba vodacom wameridhika sana na wateja wengi...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Nimejaribu kutafakari aisee sisi watu wa hali ya chini kutwa tupo fb tena bas tujadili masuala yenye kuleta ustawi lkn ajabu tunashindana kubishana masuala yasiyo na faida yoyote kwenye maisha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
WhatsApp 0769635970, bei yake 15000 tu, size 40-45 rangi tatu brown,black and blue
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni moja ya wafanya biashara wa simu pesa airtel money ,tigo pesa n.k. Hii biashara zamani ilikuwa inalipa sana,kwa sasa move imepungua sana 1.wakala wako wengi sana 2.utapeli mwingi hasa km...
9 Reactions
47 Replies
5K Views
Mambo vipi? Leo Jumatano Sept 11 nataka nikuonyeshe njia 5 zinazokuzuia kutengeneza pesa yakueleweka kwenye haya maisha na jinsi unavyoweza kubadilika kwa muda mfupi tu. Nataka uone mwenyewe na...
22 Reactions
44 Replies
5K Views
WhatsApp 0769635970 kwa jumla, rejareja au katons kabisa, vipo vingine utajionea mwenyee kwa whatsap, Tupo kimara tunafanya kazi.na watu.kutoka sehem mbalimbali Tz
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Wadau, nimefanikiwa kupata milioni kumi ivyo nipo kwenye mchakato wa kutafuta biashara nzuri ambayo itanisaidia kunipa faida kiasi flani, ninaishi kigoma mjini, nakaribisha mawazo yenye kunijenga...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu Kama kichwa kinavyojieleza’ hivi unahitaji mtaji wa kiasi gani ili kuanza biashara ya chakula? (Catering) ukitoa kodi la pango, I mean vyombo na nafaka Pia changamoto zake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ipo kwenye good condition...used 2 months only..battery health 85%..running iOS 13..850k
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu wa JF. Napenda kuwatangazia na kuwafahamisha kwamba ninawezesha na kusaidia kusajili kampuni kwa njia ya mtandao kwa muda usiyozidi siku mbili . Hivyo basi nasajili kampuni za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
..
0 Reactions
10 Replies
2K Views
UBALOZI WA MAREKANI TANZANIA-WATANGAZA FURSA KWA VIJANA WOTE WENYE PROJECTS AU MAWAZO YA BIASHARA YATAKAYOSAIDIA JAMII🇹🇿...
6 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wadau? Natafuta eneo la jiko la kukodisha kwenye bar au eneo lolote lenye mzunguko wa watu. Mwenye info ani PM.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sect 87 RTA...."A police officer may after stopping any motor vehicle or trailer which he reasonably suspects of being or having been (driving without having d/licence) or used or involved in the...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakati watalii wakiikimbia Kenya kutokana na uchafu unaosababishwa na uzembe, Tanzania imekua ndio kimbilio lao, hivyo kuchangia katika kuongeza uchumi wa nchi. Tanzania imekua ikiongeza mauzo...
3 Reactions
1 Replies
827 Views
Back
Top Bottom