Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari za majukumu members, naomba kujua soko la korosho ambayo ni processed lipoje kwa nchi jiran ya uganda
0 Reactions
5 Replies
4K Views
nyumba imejengwa ina urefu wa 32ft by 26ft....imejengwa plane kwa maana ya kutokuwa na mikunjo ya nje...anyway naomba makadirio ya mbao na bati kwa ajili ya kupaua nyumba hii,bati standard za 3feet
0 Reactions
22 Replies
30K Views
Kwema wadau naomba mwenye uelewa na kampuni hii ya Alliance in global motion anambie ukweli wa hawa watu mana kuna mdada mmoja mphilipino aliniomba urafiki fb nikachat nae nikamuuliza lengo la...
1 Reactions
26 Replies
10K Views
Ni laptop hp probook 4530s Core i5 Ram 4gb Harddisk 500gb Processor 2.40GHz Bei 500000 Location Arusha.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yapo maswali mbalimbali tukiwa tukijiuliza hali ya uchumi TANZANIA inaendaaje nazani kupitia huzi huu naamini kwamba wapo economists wengi tu ambao wanaweza kabisa kutujibu maswali yetu kushare...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Greetings everybody! Kama kawaida leo jumanne jioni nipo hapa kukupatia mbinu zitakazokusaidia kuuza na kupata profit kwenye biashara yako ya mtandaoni. Hapa nazungumzia e-commerce Store...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Natumaini muwazima wa afya, nimeandika uzi huu kwa dhumuni la kuwapa motisha vijana na mimi mwenyewe pia kwani katika maisha aya sasa vijana wengi wameamka wakiwa na ndoto kubwa, marengo makubwa...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Habarini wana JF... Katika pita pita zangu leo nimeokota hili jiwe mwenye uelewa mzuri wa madini je hili jiwe lina madini yoyote au ni jiwe la kawaida tu???... nikiliweka kwenye mwanga limekua la...
1 Reactions
76 Replies
11K Views
Habari poleni na majukumu ya Kazi na mihangaiko ya usiku mchana.mimi Ni kijana ambaye na ndoto ya kufanya biashara ya nafaka.hususani ya kulangua mpunga vijijini na kuuza mjini. Ila sina uzoefu...
1 Reactions
64 Replies
14K Views
Jamani naomba kuliza kwa anaejua namna ya kuunda account ya online registration system anisaidie kwani nimefanya kila kinacho hitajika lakini sioni mafanikio.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa pia natafuta kijana expert wa ubunifu na upambaji ukumbi mwenye experienceee ya kutosha
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Wana Jamiiforums... Let's cut to the chase, Nina mawazo mawili ya biashara katika area ya insurance na financial services ,Kwa research tulizofanya yanaweza kusaidia Watanzania kukua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekuwa nafuatilia comment nyingi za wazungu waliopo ulaya na US . Wao huingia mkataba na mteja na ķuwa analipa kidogo kidogo kwa muda .na wengi hununua simu mpya kabisa kulingana na makubaliano...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wapendwa wa jamii forums Kwanza nipende kutoa shukrani kwa mawazo yenu mazuri ya kujenga au kutoa ushauri mzuri kwa mtu.Husika na kichwa cha habari hapo juu Mimi Ni kijana Nina umri wa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Salaams wana JF, Wauza mbao wa hapa Tanzania, nahitaji mbao zote ngumu kwa ajili ya kupeleka nje. Tafadhalini sana, naomba ambaye ana contact za wauza mbao wa Msumbiji, au wa TZ wanao import...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Hello wananzengo Nataka kuanza biashara ya viatu Sasa naomba ushaur, kati ya viatu vya kike vya mtumba au spesho, au vya kiume mtumba. Mtaji wangu n 150,000/= Kwa wajuvi na wazoefu wa hizi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau, Wale wenye maduka ya bidhaa za rejareja (mangi) tukutane hapa tubadilishane mawazo kidogo, tujadili ili kila mmoja aiweke biashara yake kwenyw kipimo kwa kulinganisha na wengine ili...
15 Reactions
121 Replies
14K Views
Kuna jamaa yangu mmoja yupo nje anataka kunitumia pesa. anauliza njia ipi nipokelee pesa? Nkaona njia mbona zipo nyingi tu.. Kuna Xoom, Kuna Paypal, Western Union n.k Nkaanza kufuatilia naona...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari. Firm ( heavy duty machine) ya kusaga karanga aina zote , kutengengeneza peanut butter (75kg/hr) na kukuna nazi aina zote imefunguliwa moshi, soko la mbuyuni. Unaweza weka oda yako au...
1 Reactions
0 Replies
857 Views
Wadau, nataka nianzishe biashara ya kukodisha muziki kwa ajili ya kupiga kwenye matukio mbali mbali hasa ya sherehe. Kama kuna yeyote mwenye idea na biashara hii naomba ushauri. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
10 Replies
14K Views
Back
Top Bottom