Habari zenu ndugu na na jamaa Nina swali kidogo naomba msadaa wenu ..Mimi nimejufunza kutengeneza simu software na hardware na sasa nipo vizuri nahitaji kufungua office ili nianze kupata kipato...
Je unahitaji Sofa nzuri na za kisasa kwa gharama nafuu kabisa? Wasiliana nami ili uweze kujipatia unachostahili
Recliner sofa inafunguka unaweza kunyoosha miguuu na kulala kama kitanda.
Full set...
Habarini za jioni. Poleni na majukumu.
Naomba wataalamu wanisaidie kunipa mwanga juu ya hili lililonisibu.
Jioni hii nilikuwa nimeenda Kutoa pesa kwenye ATM,, baada ya kufanya transactions na...
KAMPUNI 20 za ndani na nje ya nchi zimejitokeza kuwekeza katika ujenzi wa vituo vya gesi asilia vya kuuza mitaani kwa jumla na rejareja kwenye vituo maalumu kama ilivyo kwa vituo vya mafuta. Kati...
Salami wana jukwaa,
Nataka kufungua biashara ya mpesa morogoro,msaada wa mwemye kibanda anapangisha au fremu kwa maeneo yoyote yaliyochangamka apa mjini,
nmejitahidi kutafuta mwenyewe naona inakua...
Wakati Tanzania tukijipanga kuongeza Idadi ya ndege zetu ili kuendelea kulijenga upya shirika letu la ndege, Duniani kote inaonekana ni kama vile biashara ya uendeshaji mashirika ya ndege inazidi...
1. Kununua Mashine za kukoroga
zege na kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata
vyuma na kuzikodisha.
3. Kutengeneza na kuuza tofali
4. Ufundi, Website updating/
Database: Katika Halmashauri...
Poleni na hongereni kwa pilika za maisha
Mm ni kijana wa umri wa kati pungufu ya 30
Nilikuwa na wazo la kilimo kwa siku nyingi na niliweka malengo kudunduliza mpaka nitimizehszma yangu
Hatimae...
Tabora mjini bado kuna nyumba nyingi za udongo, usafiri wa baiskeli, bodaboda kidogo Sana, taxi chache na kuukuu, daladala moja Tu. Hakuna kiwanda kama vipo labda 2 vidogo vya kuchapisha au mikate...
KAMPUNI ya Geita Gold Refi nery Limited (GGR) inayomilikiwa na wawekezaji Watanzania inajenga kiwanda cha kisasa kuliko vyote Afrika Mashariki cha kusafisha dhahabu inayotoka kwa wachimbaji kwa...
Soko limebadilika sana kulinganisha na zamani watu wengi sasa hivi wameanza kutambua umuhimu wa kjitangaza na biashara nyingi sasa zinafanya branding(Chapa), kwa ajili ya kupata nafasi katika soko...
Habar za kazi wakuu ..naomba kujuzwa taratibu za kupata mkopo wa halmashauri kwa vijana ...Sisi tayr tuna biashara ya kuni na mwenzangu ila naskia mpk mtimie watano ...Tax identification number na...
Habar wakuu
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu, kwanza nikiri sijawah ku order chochote online, sasa nmejikuta nmependezwa na bidhaa zao na bei ya bidhaa zao sasa nkajarbu ku order nmefanikiwa na...
Wakuu nina amini kupitia jamiiforum ninaweza kupata taarifa sahihi kabisa,wakuu nataka kupeleka bidhaa zangu kwenye hii minada inayofanyika katika jiji la Dar es salaam,kama kuna mdau anaweza...
Habar wakuu.! Nahitaji friji la kampuni ya PEPSI, sasa sijui taratibu za wale jamaa wa PEPSI maana nasikia wanatoa bure, mwenye kujua taratibu zao naomba anifahamishe au kama kuna mtu analo ila...
Jinsi ya kufanya biashara mtandaoni ukiwa nyumbani kwako.
Saivi dunia ipo kiganjani unaweza kufanya chochote unachotaka.
Epuka kufanya mambo yasiokuwa ya msingi kwa kutumia muda wako mwingi...
Ndugu wapendwa wa jamii forum,napenda kutambulisha na kuongelea hii biashara mpya ambayo imeshamiri sana mjini,na maanisha yaaji biashara ya MENDE kwa kuwa vijana wengi wamejikita katika ufugaji...
Mimi nasimamia biashara zangu nyingi tu, zenye faida japo sio kwa 100%
Wazo langu ni
Mteja anakuja kwangu, anaweka pesa yake mfano 100,000/=
Halafu kila mwezi atakuwa anapata commission ya...
Wadau.... Kizuri kula na nduguyo....Internationa Commercial Bank inatoa mikopo kwa ajili yako, Kampuni yako na hata staff wa hiyo kampuni kwa riba nafuuu na muda mfupi.
1. Mikopo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.