1. M. Graham 1/2 ounce tube
2. Winsor & Newton cotman
3. Sennelier la petite acquarelle
4. Daniel Smith 285610005 extra fine essentials
5. Holbein Wc W40 set of 24 5ml
6. M. Graham GRM 33- 10 set...
MAFANIKIO ya haraka ya Soko Kuu la Kimataifa la Dhahabu Geita ambalo ni la mfano katika nchi za Afrika Mashariki na Kati, yamezivutia nchi za nje ambazo tayari zimeomba kulitumia soko hilo kuuza...
Katika mihangaiko yetu ya kujikwamua kiuchumi hatimae nimeingia kwenye mikono ya mikopo ambayo kimsingi hali ya uchumi ilivyo haikwepeki.
Bahati nzuri repayments zinafanyika vyema ila mwezi huu...
Habari zenu wadau wa jukwaa Hili.
Siku za karibuni nataka nifungue Saluni ya kiume(Barber shop) kwa ajili ya kuweka usafi wa mwili kwa wanaume na wanawake.
Sasa Kama unavyojua Biashara yoyote...
Biashara 3 bora za kufanya ktk kipindi hiki cha mpito.(mdororo wa kiuchumi)
1.Fanya biashara inayohusiana na afya ya binadamu.
2.Fanya biashat a inayohusiana na vyakula vya binadamu...
Napenda kumpongeza Kalito wa Samaki Samaki kwa ubunifu mkubwa anaouonesha kwenye biashara zake. Kuanzia mapambo, mpaka huduma.
Weekend hii nilikuwa kwenye moja ya viwanja vyake pale masaki...
Nataka nijiunge hii benki ila kuna tetesi nasikia kwamba ikiwa account yako itaingiza muamala zaidi ya milioni 5 basi utatakiwa uende kwenye ofisi zao na documents za kuutetea huo muamala...
#UNAAMBIWA Haya ndio Mataifa yanayotajwa kuongoza Duniani kwa kuwa na Hifadhi kubwa ya Dhahabu;
10.India
9.Uholanzi
8.Japan
7.Switzerland
6.China
5.Urusi
4.France
3.Italy...
Nataka kununua dawa za meno direct kutok kiwandani ili niuze kwa bei ya rejereja na jumla kwenye duka langu,anayefahamu utaratibu na mahali kiwanda kilipo tafadhali
Nahitaji kununua machine ya shawarma kwa hapa dar es salaam,mwenye nayo anauza au kujua bei ya machine hiyo mpya au used na mahali wanauza ntashukuru akinipa taarifa.Ahsanteni.
Kama title inavyojieleza hapo juu, wengi wanasikia kuhusu AFFILIATE PROGRAM(UUZAJI WA USHIRIKA), ila wanajua ni kuuza bidhaa za wazungu online. Ukitaka kufanikiwa kirahisi kwenye hii biashara dili...
SHIRIKA la Wakala wa Meli Tanzania (Tasac) limepiga marufuku na limeondoa tozo za ushuru wa forodha kwa mamlaka za usafirishaji wa majini zilizokuwa kero kwa huduma hiyo.
Utekelezaji huo...
INFORMATION NO. 2
- Kwa wale wanaofuatilia, habari ni kuwa SEACOM SUBMARINE OPTIC FIBER iko LIVE toka Thursday 23rd July 2009.
- Dodoma imeunganishwa tayari kupitia Fiber ya TANESCO (Hakuna...
Hivi kwann marekani ndo inawawekea vikwazo nchi zingine zinazozingua mfano iran,kwann sio nchi zingine ndo zifanye hvyo?, au hakuna kitengo cha kimataifa cha kufanya hvyo?, je kama hao marekani...
Hii ya Shabiby kukata tiketi online nimeipenda sana hv mabasi mengine mnakwama wapi...hii mambo ya kuja UBUNGO na kushikwashikwa na hao wapiga debe......
Nakupa hongera Shabiby Bus...
Habari wadau,
Kama title inavyojieleza
Natafuta shamba, kuanzia ekari 4, liwe maeneo ya katikati hapo kuanzia Mlandizi kuja Dar.
Kuwe na maji au chanzo cha maji walau kwa umbali usiozidi kilomita...
Mambo vipi wakuu?
Ni siku nyingine tena tunakutana.
Leo nataka nikuonyeshe jinsi yakufahamu iwapo Online Business unayotaka kuanzisha ni sahihi au kinyume chake.
Kufahamu mambo haya matano ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.