Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mimi ni kijana! Graduate nina umri wa miaka 30 kwa sasa, lakini sina ajira ya kunifanya niishi na familia yangu vizuri, Kwakuwa mungu amenijalia uwezo wa kuandika proposal mbali mbali katika...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika harakati zangu za kusaka pesa kupitia biashara ya duka la rejareja....hua napenda kujifunza vitu kutoka kwa wauzaji wengine....lakini pia hata kupitia jamii inayotuzunguka Hua napenda...
10 Reactions
19 Replies
5K Views
Baada ya miaka 16 nje ya nchi na mara ya Kwanza nimerudi Tanzania na kuona vitu vya ajabu Sana. Moja wapo no zoezi la kufungwa Maduka ya FEDHA ZA KIGENI. Hii imesababisha kupoteza muda mwingi Sana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Unapenda kupata ujuzi gani? Ukukwamue kiuchumi?
0 Reactions
3 Replies
821 Views
Wadau napenda kupata ushauri bishara ya kukamua na kuuza mafuta ya alizeti kwa Dar inalipa? Nimefunga mashine kwa hapa dar lakini material kwa maana ya mbegu itanilazimu nikanunue Singida au...
0 Reactions
30 Replies
27K Views
Kutokana na research yangu baadhi ya watu wanasema biashara ya uuzaji wa bondo(swim bladder/fish maw) za samaki ni ya kwanza kuliko zote na inataka mtaji kidogo. Kwa wale ambao hawafahamu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wandugu najua kutakuwa na watu ambao wataongelea vibaya hili swala na kuwakatisha tamaa watu...lakini yote hiyo nimeshajiandaa kuyapokea Ila muhimu nachotaka nikuwafikishia ujumbe...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Habari wakuu, Twende moja kwa moja katika wazo. Kutokana na maeneo mengi ya Tanzania kukosa huduma ya umeme mtambo huu wa mashine ya kunyolea na pia kuchaji simu ambao unaweza kuhamishika...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Tafadhari naomba kwa anaejua namna ya kuomba mkopo kupitia MPesa anijulishe...nimepoteza ile namba niliyokuwa naitumia .ASANTE.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta wauzaji wakubwa wa Computer za Jumla hapa Dar es salaam nahitaji kuchukua Mzigo mkubwa Mwenye namba zao naomba anisaidie pia na Ofisi zao zilipo
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari! Kama kawaida leo nipo hapa nataka nikufundishe mbinu zakutumia ili uweze kutengeneza side income katika mtandao wa JF. Hii post itakuwa maalumu kwa wote wanaohitaji kutengeneza pesa...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
“WATU WATANIFIKIRIAJE? Neno hili limeua ndoto za watu wengi sana. Watu wengi sana wameshindwa kufanikiwa kwenye mambo mengi kwa sababu ya neno “WATU WATANIONAJE, WATANIFIKIRIAJE?
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Habarii Sijui wazo langu ni lakijinga?? But nalileta kwenu kama mtaona linafaa.. First mm napenda sana sana kusoma vitabu vya aina yoyote bahati mbaya kila kitu ninachokisoma kipya hua natamani...
16 Reactions
67 Replies
7K Views
Habari wanajamiii wenzangu? Nataka kufungua account ambayo ntakua na deposit akiba ya pesa kila mwezi, sasa naombeni ushauri wenu kua bank ipi ni nzuri kwa kufanya hivyo?
1 Reactions
230 Replies
44K Views
Wandugu, Zamani ilikuwa ni kimya kimya, lakini sasa kumekuwa na kelele za waziwazi kutoka katika kila upande wa muungano. Kila upande unalaumu upande mwingine. Kelele hizo zinahusu namna...
0 Reactions
72 Replies
7K Views
Katika gazeti la Daily News la 14/8/2019, nimefurahishwa na taarifa ya viwanda vinavyotumia gas kutoka TPDC kuongezeka kama hicho kiwanda cha Lodhia Steel industry. Sasa kama wanasema katika...
1 Reactions
3 Replies
975 Views
Tanzanite ni madini yenye mchanganyiko wa rangi ya bluu na zambarau. Madini haya ni ya kipekee kwa Tanzania kwani hayana chanzo chochote duniani isispokuwa kile cha Mererani mjini Arusha...
1 Reactions
13 Replies
25K Views
Nahitaji kujua biashara ambayo hahitaji kuivest Pesa first only uwe na soko au wateja .In short napenda kuzijua biashara za Malikauli please anybody mwenye links au kuzifahamu hizo biashara please...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Serikali imeuagiza uongozi wa mkoa wa Tabora kuhakikisha mashamba makubwa ya tumbaku yanapimwa. Akizungumza na viongozi wa mkoa wa Tabora leo Jumanne Agosti 13, 2019, Naibu Waziri wa Ardhi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za muda huu wakuu Mimi nataka nianze biashara Fulani ya kutembeza bidhaa mtaani kama machinga, ili kuvutia wateja nikawa nawaza niwe natembea na mzani wa kupimia uzito na mashine ya kupima...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Back
Top Bottom