Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

wakuu naomba mnisaidie Kati ya mikoa hii kagera -Bukoba na manyara Babati mkoa upi unafaa kuanzisha maisha na biashara ndogo ndogo?
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Habari Wakuu? Kuna anaye ijua hii kampuni ya kutengeneza bidhaa za plastiki inayoitwa Mbope? Nimepata tenda ya kusupply hizi bidhaa, nahitaji kuingia nao mkataba. Nimeenda kwenye kiwanda kimoja...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu, kila dakika utasikia bidhaa za Kichina feki Mara mbovu.hivi ni kweli Wachina uwezo wao ni mdogo kiasi hicho? Mbona wana uwezo mkubwa kiuchumi, kiteknolojia na kiuulinzi?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mara ya Akwanza nimejaribu kufanya biashara serious. Aisee yapata mwezi sasa ila sijawahi ona faida. Nimeamini ukiona mtu amefanikiwa kwenye biashara mheshimu sana.
38 Reactions
157 Replies
23K Views
habari ndg zangu, nawezaje tunza dagaa wakavu kwa muda mrefu bila kuharibika? Mwenye ujuzi tafadhali, dagaa ni wengi wa biashara
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Zaidi ya watalii 30,000 kutoka China hutembelea Tanzania kila mwaka huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka baada ya Shirika la Ndege nchini (ATCL) kuzindua safari zake kwenda Guangzhou, China...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Heshima yenu wakuu. Nije moja kwa moja katika kusudi. Ninaomba ushauri driving licence yangu imefikia ukomo tarehe ya jana 31/07/2019. Nilikuwa sina habari hadi leo hii nilipoikagua na kugundua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wakuu, naomba kujua bank gani ambayo ina huduma ya ku finance lpo kwa kampun? yani nikipata LPO ya kutoa huduma fulan bank gank ambayo ina huduma ya kutoa kiasi flan cha pesa hata 70% ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mtu ambaye yupo tayari kudaka fursa hii ya kuwekeza kwenye sekta ya madini especially Dhahabu kwa njia ya kuchenjua kwa kutumia njia ya Plat Mimi nitampa mwongozo wa kazi na upatikanaji wa...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Nilikuwa napenda kuwaulizia biashara gani inalipa sana pale Geita Mjin kwa wenyeji wa maeneo hayo kwa mtaji wa 1.5M
3 Reactions
19 Replies
7K Views
Naomba kujuzwa, hivi yapo maduka binafsi ya kubadilisha fedha yanayofanya kazi au ndio basi tena, biashara wameachiwa mabenki? Maana huku niliko "bureau de change" niliyozoea kuiona ilifungwa kwa...
1 Reactions
2 Replies
866 Views
Salaaam ndugu, Naomba mwenye kufahamu jinsi ya kupata hizi friji za PEPSI anijulishe wadau, nina duka langu natamani nipate zile friji za pepsi kwaajili ya kuuzia soda wakuu.
0 Reactions
16 Replies
12K Views
Nahitaji vijana 6 waliopo DSM wasio na ajira tuungane kufanya Car wash mjini tushapatikana 4 basi 6. Sifa 1)utatakiwa uchange 100,000/= minimum mtaji 2)ume committed kutoa mawazo na utendaji...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Serikali ya Uingereza imesema Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kuanzisha safari za ndege kutoka nchini humo kwenda Uingereza ni fursa ya kiuchumi kwa nchi hizo mbili. Hivi Karibuni mkurugenzi mkuu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Matumizi ndio yanayotengeneza sura ama picha nzima ya kipato chako siku zote watu wengi wanafeli sheria ndogo ndogo kama hii ya matumizi ya pesa,hakikisha matumizi yako hayazidi kipato chako...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari viongozi.. Mwenye details kamili juu ya namna ya kuweza kusafirisha bidhaa ndogo ndogo kama simu, laptops na mengineyo kutoka Malaysia.. ni njia gani huwa mnatumia ambayo ni Safe zaidi bila...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
SABABU SITA 6 KWANINI BIASHARA NDOGO NYINGI ZINAKUFA NA NINI CHA KUFANYA KUEPUKA SABABU HIZI. Tafiti za usimamizi wa biashara zinazoonyesha kuwa nusu ya biashara zinazoanzishwa zinakufa labla ya...
1 Reactions
8 Replies
8K Views
Salamu kwenu wana jamvi Kwa muda mrefu nimekuwa nikihangaika kutafuta pesa ya kutosha ili niweze kufungua biashara ambayo faida yake itakuwa inaonekana ili na mimi niweze kuongea kibosile katika...
0 Reactions
1 Replies
949 Views
Do you want to start any of the following 65 businesses? Real Estate Agency - 42 pages Sifted Maize Flour - 58pgs Executive Barber Shop - 42pgs Tyres Retail - New Petrol Station (Independent) -...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom