Tafadhali naomba mwenye ufahamu /uzoefu anisaidie katika hili; Ikiwa mtanzania aliyeko nje ya nchi ana gari lake analolitumia nje ya nchi na anataka kwenda nalo Tanzania lakini umri wa gari ni...
Waungwana nisaidie kujikwamua kiuchumi nitafuta soko la Karanga popote ndani na nje ya mipaka ya Tanzania mzigo upo wa kutosha no yangu 0674067474 karibuni
Habari zenu ndugu zangu,,,, cna mengi ya kuongea ila nia hasa ya uzi huu ni changamoto ninayoipata katika kuanda fomula ya kuchanganya chakula cha broilers kwanzia starter mpaka finisher...
HI..
Mara zote tumekuwa tukikwama kuanzisha biashara kutokana na mitaji kuwa midogo. kuna makampuni mengi amabayo yana tafuta soko la bidhaa zao.
Sasa kwa mfano mtu ukaamua kuwa agent wa kampuni...
Habari za asubuhi......
Bwanaaaa weeeee, Wasukuma wamebarikiwa sana kwa habari za mkono kinywani tatizo wabahili sanaaaaa, wana mamifugo ya kila aina ila kuchinja ni mwiko mpaka lianguke hapo...
Wandugu nimetafakari sana kutokana na hali ya sasa ya Tanzania hususani kwenye vipengele vya kujikwamua kimaisha kama KUAJIRIWA, KUFANYA BIASHARA, UVUVI AU KILIMO.
Kila kukicha nimekuwa...
Hello guys natumai nyote mko poa, ni mdau mpya jamii forum. Kwa mda huu npo Dubai na nataka nije Tanzania kufanya biashara ya mazao. Naitaji mwongozo na idea mbali mbali naombeni ushaur wenu
Wasala-am,
Sometime ili ufanikiwe kwenye maisha unahitaji kupita kwenye njia tofauti kidogo,where it doesnt matter whether the road is rough or curved,remember "The grass is always greener on the...
Kama unawaza biashara ya kufanya chukua hii..
Kuna idadi kubwa sana ya watu wanatafuta vitu vya kufanya kuwafurahisha nafsi zao..hasa baada ya mizunguko ya kila siku ya kupambana na maisha.
Watu...
Wadau habari za jioni naulizia eti hapa DSM kuna duka gani wanauza miwani za macho yenye upungufu wa uwezo wa kuona,..maana kuna hospitali moja nilipimwa macho nikaambiwa niko na shida ila ss...
Habali zenu wana jamvi
Leo nimeamini kwamba vyuma vipo tyt sio tu kwa binadamu mpka wanyama na wadudu.nimepatwa na ghadhabu ju ya huyu mdudu panya kitendo alichonifanya kula speaker ya hometheater...
Habari wana JF,
Samahanini kaka &,Dada mlioko humu, ila nalikua naomba ufafanuzi Kwa Mwenye ufahamu juu ya swala hili.
Mimi ni mfanyabiashara, na ninamshukuru Mungu ameniwezesha kupanda kiwango...
Habari za hapa.
Leo nimeona jambo (kwa upande wangu naliona kama kero/ tatizo/ shida/ usumbufu).
Nilikuwa na ujitaji wa Statement ya mpesa, nikaingia online kuona kama naweza ipata nikakosa...
Habari wanajamvi, nataka kujua changamoto na utaratibu wa kuuza asali au mbuzi Comoro, kwa mwenye kujua anijuze, je lazima uwe na soko tayari kule au unaeza peleka tu mzigo?
Habari za leo!
Tumekuwa tukipeana na kushauriana juu ya mawazo mbalimbali ya kuanzisha shughuli za uwekezaji. Ni jambo zuri na jema kabisa kwa afya ya uchumi wetu kwa mtu mmoja mmoja na hata kwa...
Habari, naomba kujua taratibu na vigezo vya kujiunga na Uber kwa sasa vikoje, nina kagari kangu nataka nijiunge huko, msaada kwa anaejua alie na current information.....asanteni!
======
1.Gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.