Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Semina ya mafanikio kupitia biashara mwaka 2015; imebaki siku mbili tu ili uweze kujiunga. Kama unapitia changamoto zozote kwenye biashara yako au hata kama huna changamoto ila ungependa kufikia...
3 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakuu Leo embu kila mtu aandike aidiaa yake ya biashara moja tu halafu apiteeeee ndukii [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] naamini Kuna mtu tutamkomboaa Naanza Mimi kutoa mchele...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
*NMB Karibu Yako* mikopo kwa watumishi, pia tunanunua mikopo toka benki zingine. - Riba:19% p.a(ilikuwa 22%) - Mkopo:Tsh 50m-Tsh 150m - Kuongeza:Baada ya miezi 6 - Muda:Miezi 72 - Unapata:Ndani ya...
3 Reactions
15 Replies
8K Views
Wafanyabiashara, wakulima na wajasiliamali agenda yao inafanyiwa kazi mara Kwa mara, mikutano ya kusikiliza kero zao ni mara Kwa mara, na wanaozorotesha biashara zao wanatimuliwa. Ila agenda ya...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Ieleweke ni ngumu sana kufanikiwa kimaisha SIO haiwezekani kufanikiwa:- - Arusha - Kilimanjaro - Tabora - Simiyu - Geita - Kigoma - Lindi - Mtwara - Ruvuma - Bukoba - Mara - zanzibar yote Hiyo...
21 Reactions
226 Replies
48K Views
Habar wana jamii forum mm ni kijana wa kitanzania ninahitaji msaada wa namna gani ninaweza kupata mfadhir au wafadhir wa miradi (project) kutoka ndani au nje ya nchi kwa yeyote anaefaham namna ya...
0 Reactions
3 Replies
967 Views
Habari ndugu wanajamvi, Mimi ni mtumishi wa umma, Nina mpango wa kufanya biashara kama njia mbadala ya kujiongezea kipato na biashara yangu imejikta katika genge lenye mtizamo kama kwenye...
0 Reactions
2 Replies
763 Views
Hii kampuni mwanzo ilikuwa vizuri mnoo. Uendeshaji wake ulikuwa mzuri sana. Kwa sisi wa Dodoma tulikuwa tunawapenda mnoo ukiachilia mbali kampuni zingine kama Shabibi na Kimbinyiko. Jana...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
1: "mama kulwa alifungua duka la nguo naona amepata pata,inaonekana linalipa ee?" NDIO ,LINALIPA NA WEWE FUNGUA. 2." A :Uyo mzee wa hapo juu nakwambia kaporomosha ghorofa iyo yani hatari, kwan...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
NATAFTA WANUNUZI WA MAHARAGE YA NJANO YA MBEYA, MAHARAGE MANENE NA MATAMU,KILO 1900TSH,UNAEHITAJ MAWASILIANO 0766089646,KARIBUNI
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Nataka kuanzisha gereji ya chini ya mti/mwembe. Nahitaji kuwa na vitu gani vya kuanzia?
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Wanajamvii....kuna mahali nilienda kufanya kazi ya umma( kazi maalum) sasa katika kunilipa wamezidisha kiwango cha malipo mara mbilii, hii hela sijaigusa kabisa... Bado niko njia panda niitumie...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari Kama kichwa kinavojieleza, nahitaji kuanzisha huduma ya kifedha ila sina uzoefu wowote, sina lesen wala tin number! Naomba maelekezo nikihtaji hiv vitu nianzie wap, na gharama zake zipoje...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari za mwamko woote. Heri ya sikukuu ya mapinduzi ya ZNZ hapo 12/1/2018 siku ya Ijumaa (nawapa in advance). Direct kwenye mada yangu. Naomba wataalamu wa masoko mnisaidie jina la hii baa...
6 Reactions
76 Replies
5K Views
Najua wengi tutasema ni "utapeli", wengine watasema ni upigaji. Lakini naomba niwatoe hofu, hili ni wazo lenye kuleta manufaa endapo tutaweza kwenda sawa na makubaliano. Hao watu 99 mimi nikiwa...
14 Reactions
85 Replies
9K Views
Amini amini nakwambia mfanyakazi mwenye mshara wa 2M kwa mwezi kodi yake haipungui 3M kwa mwaka Amini amini tena nakwambia mfanya bishara mwenye mtaji unaompa faida ya 2M kwa mwezi kodi yake...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Dear Member hi! Naomba nitumie lugha yetu nadhifu kuelezea hitaji langu. Mimi ni.mkurugenzi wa kampuni ambayo ni Limited Campany ambayo makao makuu yake yapo Morogoro Niliifungua kampuni kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hakikisha Usalama wa Mali yako kwa kufunga mfumo wa CCTV Camera kwa Gharama nafuu kabisa! [emoji736]Gharama kwa Nyumba ya Kawaida ni Tsh1,500,000 (Vifaa na Ufundi) [emoji736]Pia tunafunga Camera...
0 Reactions
2 Replies
967 Views
MJINGA Mjinga akimaliza la saba anaanza biashara ya mkaa halafu atachoma mahindi halafu atauza miwa, atalima viazi. Baada ya miaka miwili atafungua duka la nguo atasafiri kwenda Dar kufunga...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu heshima kwenu. Nakumbuka 2005 kurudi nyuma feniture itokanayo na mbao ilikua ikihitajika kwa wingi na jamii. Tofauti na siku hizi seramala amekua na thamani ndogo sana. Hata vyuo vya ufundi...
0 Reactions
64 Replies
16K Views
Back
Top Bottom