Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ndgu wadau nahtaji kufanya biashara ya mchele kuuza kwa bei ya jumla hapa jijini MWANZA, nauliza kwa wenye uzoefu n chimbo gan ambalo naweza kuwa nakusanya mzigo kwa bei nzur ambayo itafanya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kumekuwa na mafunzo kila kona na watu wanafunimdishwa ujasiriamali kwa mujibu wa wafundishaji. Ila Ujasiriamali wenyewe sijui unaweza ku eveluate vipi kwamba sasa huyu kawa mjasiriamali. Ili...
5 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, mambo vp? Mishe zinasonga? I know entrepreneurs are always busy people naamini harakati znaendelea za kulisongesha gurudumu la maendeleo binafsi na maendeleo binafsi yalete...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya kuwasikiliza wafanyabiashara na matokeo hata ya kubadilishwa kwa Mkuu wa TRA naona nami nitoe yangu machache ambayo yanaweza kuangaliwa kwenye bajeti ya mwaka huu au hata ya miaka ijayo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu mwenye uelewa na hiyo kitu hapo juu anifafanulie kuna rafiki kanidokeza kwamba inalipa unaweka pesa inageuzwa kuwa dola halafu wewe unalipwa kila siku kutokana na kiasi ulichoweka ukiweka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hayo yamefichuliwa ndani ya bunge la Tanzania ambako hotuba ya bajeti inasomwa
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Wakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo. Kuna kiwango flani cha pesa...
6 Reactions
58 Replies
9K Views
Kabla sijaendelea maana ya familia hapa ni baba, mama na watoto. Ndugu ili awe katika hii biashara inabidi mumfikirie sana yupo nanyi kwa shida na raha Kwa hapa bongo tunaonaga kwa macho yetu...
9 Reactions
30 Replies
5K Views
naombeni majibu ya maswali yafuatayo jaman; i) kuku wakienyeji anaweza taga bila jogoo? ii) pia kuku wa kienyeji akipandwa na jogoo watano tofauti kuna uwezekano kila jogoo akawa na kifaranga...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wana jamii fr mlio nauzoefu ktk hii naomba msada nahitaji kuagiza hili gari kutoka injee kama unavyoona ktk picha bei hadi kufika hapa tanzania imeandikwa hapo sasa naomba kujua itatumika gharama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimepata frame Zanzibar hii, nataka kufungua salun ya kike ! Naomba msaada kujua huduma gani na gani nikiziweka nitakuwa nimefikia malengo na mdada akija atafurahia huduma.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau, Baada ya kujadiliana na wadau mbalimbali tukiwa kama watu 10, tumepata wazo la kuanzisha Firm ya Consultation. Nimekuja kwenu kuomba ushauri katika uanzishwaji wa kitu kama hiki...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za leo wanajamvi Nimehitimu mafunzo ya kutengeneza samani (furniture) kwa kutumia vinyweleo asilia (rattan,fiber,cane) Niliunda kikundi ambacho tulienda kupata mafunzo, baada ya mafunzo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
KKumekuwa na maneno mengi mitandaoni tangu miaka ya 2009 kuwa ITV huwacheleweshea mishahara wafanyakazi wake, mengi kwenye kitabu chake cha I can alisema biashara ya media ina faida ndogo sana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale wajasiriamali wadogo na wakati wanaotumia mitandao ya kijamii kwenye biashara, naomba ushirikiano wenu kwenye kujaza dodoso langu hapa chini. Litachukua dakika 3 tu. Natanguliza shukrani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari! Naomba msaada wa mfano wa business proposal ili inisaidie niandae wa biashara yangu wakuu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimenunua kifurushi na huu ndio mchanganuo wa makato
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar Wana JF, Mimi ni IT expert, Nimetengeneza Program inaitwa MKOPO APP maalum Kwa wajasiliamali wenye taaisis za kukopesha Mkopo App hii ni Program ambayo inarahisisha kaz mbalimbali...
8 Reactions
19 Replies
3K Views
Daaah! Hivi ushawahi fika mahali ukawa na huzuni na masononeko muda wote kwa ajili ya ugumu wa maisha... Mimi hii kitu inanikuta yaani ile hali ambayo maisha unayoishi unajua kabisa ni mabovu na...
8 Reactions
26 Replies
4K Views
1.Mfumo mzima wa GPS wa baadhi ya maeneo hasa ya ndani ndani hayaoneshi kwenye ramani ya kawaida amabayo inatumika kwa dereva sana hutumia sehemu maarufu na barabara kuu...HUU NI UZEMBE kwan ni...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…