Kama wewe mwana jamii ni mjanja basi nitakusifu sana ila sidhani kama huwa kuna mjanja hapa kwetu tanzania jibu maswali yote haya kujua kama wewe ni mjanja.
1. Je umewahi kuuziwa bidhaa ngapi...
Poleni na majukumu wana JF wenzangu,
Nina kijana mchapakazi na ninayemfahamu vizuri na kumuheshimu, Nina wazo la kufungua kijiwe cha chipsi niweke kila kitu cha kisasa kama vile jiko la umeme na...
Habarini katika kufatilia mambo ya ununuzi wa mazao kama ufuta na korosho huwa kunakua na taratibu za tofauti kidogo hasa kuhusu minada ambayo huwa inatangazwa tarehe na wanunuzi hujitokeza...
Karikoo kume kuwa na kero kubwa sn kwa wakazi wanaishi karikoo gharama zimekua ni kubwa kuliko kipato kinacho patikana leo ntazungumzia suala la paking ukimiliki gari mjini huwezi kukaa nayo kwa...
Mwenye uwezo wa kunitafutia karanga za Zambia napatikana dar .nimezikuta sehemu Ni tamu Sana karanga za asili nadhani wenzetu wa Zambia wametunza ardhi yao.nazipataje?
Wanted
as business partner
4 years experience must
Credit Analyst Partner
We are seeking a skilled, experienced credit analyst to join our growing organization. In this position, you will...
asalam alekum watanzania wenzangu, mimi ningepanda kujua kiwango kinachotozwa na TRA kama kodi pale unapoagia bidhaa kutoka nje ya Tanzania, kwa muda mrefu nilikuwa nataka kufanya biashara ya...
Heshima kwenu Mabibi na Mabwana.
Mimi nilishakaa pale boda ya Tanzania na Zambia kwa miezi kadhaa kwa ajili ya shughuli za ujasiriamali, na katika kuwa kwangu pale kuna mtu nilikutana nae na...
Dola mia tatu? Whats up?
Yani unalipa dola 300 ili ujifunze kucheza kamari?
Si bora tu uwe mganga wa kienyeji maana mtaji wa uganga ni usinga na kaniki.
Kama ni Majini tayari unayo ndo hayo...
WAKATI serikali ikisema inatenga Sh bilioni 500 ii kuendelea kuboresha utendaji wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), kampuni hiyo kwa sasa inamiliki soko la usa ri wa anga la ndani kwa asilimia...
IDD mubarack to you all, km nlivoeleza naomba msaada mwenye kufahamu bei za incubator anijulishe nina mpango wa kutotolesha mayai, pia naomba msaada kwa mwenye uzoefu na biashara hizi, mi Nina...
Habari zenu wajuvi na wajuzi.
Samahani, naomba kujua ni kwa namna gani kodi ya mzigo bandarini inapatikana. Mfano, ni bidhaa kumi ambazo kila moja nimenunua China kwa dola 40, na nataka...
Habari za muda huu. Maana jamii. Kama tangazo linavyosema nina machine ya kutengeneza bisi (porpcorn machine) naiuza bei laki 3 Machine inatumia umeme ipo Lushoto bado ipo vizuri. Nimeona niiuze...
Naamini mzunguko mbaya wa fedha kwa wananchi walio wengi nchini ni moja ya sababu kubwa ya wengi kufunga biashara na wengine kukata tamaa na biashara zao.
Kama mzunguko wa fedha ungekuwa mzuri...
Habari zenu humu ndani,
nahitaji kufanya manunuzi online ila sanduku la posta ndo tatizo, nimejaribu kufuatilia nyuzi kazaa zinazohusiana na manunuzi online, nikaona kuna uwezekano wa kuagiza bila...
Mwanaume Mateso mwezi wa 8 huu sijaitia machoni ATM card yangu ipo kwa mkopeshaji nilikopa laki mbili kwa riba ya elfu sitini sijafanikiwa kulipa deni nalipa riba ya elfu sitini kila mwezi. Huku...
Amini usiamini habari ndiyo hiyo tajwa hapo juu.
Biashara nyingi zina changamoto kubwa sana kutokana na mfumuko wa bei pamoja na kushuka kwa kiwango cha manunuzi "Purchasing Power katika jamii"...
Husika na kichwa hapo juu
Habari wakuu, kuna jambo linanitatiza sana kuhusu huu mtandao maana kuna simu nilikuwa nataka niliingia ebay kule nilipata japo bei ilichangamka sema wengi hawatumi...
Wana jf,mim ni mfanyabiashara mdogo,sasa hivi karibuni kuna ndg yangu kanipa deal ya kuuza matunda nje ya nchi hasa Dubai,naomba kwa wanaofahamu wanipe muongozo wa biashara hii na jinsi...