Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Uwepo wa ng'ombe wengi ulinishawishi kutaka kujenga kiwanda cha viatu lakini nilipochunguza malighafi nikakuta kumbe ngozi zetu nyingi hazifai kwa kazi hiyo, labda kwa mikanda tu ya suruali...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mzuqa! Miaka miwili mitatu iliyopita ilikuwa vigumu Denmark, Norway, Finland, na Sweden kuona watu wanatumia simu za China za Huawei. Samsung ilitawala soko vibaya sana. Ghafla bin Vuu yani...
13 Reactions
269 Replies
30K Views
Habari wakuu, Naomba kujua bei ya jumla ya dhahabu 24k kwa gram. Nataka kuchukuwa kama 300 grams. Asante
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huawei Tanzania imeendelea kubuni mbinu mpya za kukidhi haja za wateja wake kwa kuwaletea karibu simu na vifaa vyenye viwango vya kimataifa. Ili kuwahudumia wateja wake katika namna bora na ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika mwendelezo wa kuhakikisha kuwa watanzania wanapata haki yao ya mawasiliano na kumiliki sio simu tu bali simu ya kisasa, Huawei imeendelea kuchanja mbuga katika kujiongezea soko la simu zake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
#AMA KWELI KODI YA KICHWA YA MIAKA ILE IMERUDI, HAPA JF 99.9% ya wanabody tumo humu na vinatuhusu. MKUU WA MKOA WA IRINGA ATOA VIGEZO VIPYA VYA WANAOTAKIWA KUPEWA VITAMBULISHO VYA UJASILIAMALI...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Serikali imekodi ndege ya ATCL ktk safari za rais nchi za nje hivi karibuni. Kwa muonekano wa haraka itaonekana shirika limefanya BIASHARA kubwa. Atcl inamlikiwa na serikali kwa 100%. Wataalamu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, naomba mnishauri katika hili. Niko mbioni kumaliza elimu yangu ya diploma ya Mechanical engineering, na baada ya kumaliza nitahitaji kutumia elimu yangu iweze kunipatia pesa. Je ni...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
1,DAGAA WA BUKOBA Dagaa hawa wanapatikana masoko mengi, hawa wanakua hawana mchanga kabisa, wanauzwa kg moja elfu nane huwa inashuka had elfu tano, hawa unanunua vifuko unapack unauza mtaani...
8 Reactions
22 Replies
8K Views
Habark za jioni wadau nimejaribu kuingia leo kwenye usajili wa kampuni nikafanikiwa kupata kitu hiki RAZU 51142 jee hii ni nini na natakiwa nifungue wapi ili niendelee kutafuta majina. Au...
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Habari wana Jf as tupoelekea katika Tanzania ya viwanda nikaamini nitaweza na nitapata support yakutosha katika kufanikisha hili jambo hivyo basi nimefikiria juu ya kuanzisha kiwanda cha...
2 Reactions
20 Replies
19K Views
wadau naomba mwenye kuijua au aliyewahi kufanya biashara ya ngozi anipe udhoefu kidogo
1 Reactions
5 Replies
4K Views
*TAFSIRI YA JEDWARI* *1⃣Daraja LA kwanza utakua na watu 6 chini yako watakao kuchangia 10,000 kila mmoja na utapata jumla sh.60,000 kwenye simu yako. Kisha utatoa 20,000 utapanda daraja la pili...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
MOTIVATION FOR THE INITIATIVE (CHINA BELT AND ROAD INITIATIVE) China has several reasons to promote its new Silk Road plan. As the world’s biggest trading nation, China’s main interest is to...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuna uvumi mitaani kuwa kila akaunti iliyoko benki hivi sasa itakatwa shs 15,000/= na kupelekwa benki kuu! Je kuna ukweli wo wote?
1 Reactions
5 Replies
2K Views
“Habari zenu wkuu" Naomba msada wa ufanuzi juu ya swala la thamani kati ya Kwacha ya Zambia na shilling ya Tz. Mara nyingi nmekuwa nikisikia kuwa KWACHA ya Zambia haina thamani mbele ya SHILLING...
1 Reactions
20 Replies
9K Views
Hemu tujaribu fikiri kidogo hapa, wanasema ukiwa na pesa huna idea na ukiwa huna pesa unakuwa na idea. Mifuko ya plastic imekatazwa sasa fursa ipo hivi...mie nasoma chuo mipango hapa mipango...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza nawasihi ndugu zangu msinywe maji haya ni chanzo cha madonda ya tumbo maji haya yanazalishiwa Shinyanga Ph yake ni acid ya 6 hivyo kuwa chanzo kingine...
3 Reactions
50 Replies
9K Views
Ndugu, kwa yeyote mwenye utaalamu katika manunuzi ya mtandaoni. Je kunauwezekano wa kurudisha muamala wa manunuzi ya kimtandao yapoje. Hasa kwa njia ya master card.. Nawasilisha kwenu. Ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Back
Top Bottom