Wakuu,
Mimi nina mtaji wa shillingi million 4 nataka kufanya biashara na ndoto yangu ni kufanya biashara Kariakoo. Iwe biashara yoyote kati ya nguo, viatu, pochi, nguo za ndani au simu.
Katika...
Moja ya kitu ambacho kinakimbiza wateja dukani kwako ni kupokea mteja huku umekaa. Kinaua mood ya wateja wengi sana. Mteja ni kama mgeni,a napokuja dukani kwako uchangamfu wako ndiyo utamfanya...
Wadau Kama kichwa cha thread kinavyoeleza nipo mikoa ya pembeni kanda ya ziwa natafuta chimbo ninapoweza kuwa nanunua dawa tajwa kwa bei nafuu. Asanteni!
Joseph Temba atajirika baada ya kupata almasi kubwa zaidi Tanzania
Source: https://www.bbc.com/swahili/habari-48412805
Taifa la Tanzania limejipatia bilionea wake wa hivi karibuni baada ya...
Jamani nimekopa pesa kwenye bank ya ABC lakini nakatwa miezi miwili bila kuingiziwa pesa kwenye akaunti yangu na bado wananipga kalenda et sijatmiza vigezo alafu bado nakatwa.Wanajamvi mwenye...
Benki ya FNB imetangaza kuyafunga matawi yake yaliyopo Quality Center (Juni 15, 2019) na Kariakoo (Agosti 15, 2019). Huduma zote zitahamishiwa katika tawi kuu lililopo Mtaa wa Ohio (FNB House).
Ningetaka kufanya duka huko Tanga lakini nina mtaji mdogo ndo maana ninatafuta partner mwenzangu mfanyabiashara kufanya mradi huo nami. Lazima awe mwaminifu.
Wanajamvi inakuwaje Bei ya Bati iko juu mnoo kuliko hata mlima Kilimanjaro? Maana pesa ni ngumu kuipata na ukiipata bei za bidhaa mbalimbali za Ujenzi ikiwemo bati zinakuwa juu mnooo!
Tatizo ni...
Wanajukwaa naomba mnisaidie mfano kama leseni yangu ya biashara niliichukulia Dar na nataka niamishie biashara yangu Arusha ni hatua gan ambazo inabidi nifate na gharama zake inakuwaje
Habari ndugu zangu..
Mimi nimeamua kujishughulisha na biashara ya logo za nguo kama ilivyo African boy ya Jux
Lakini mimi sitaki kujishughulisha na logo moja tu kwasababu nina mawazo mengi...
Ndugu zangu ninakijiwe kinachoniingizia sio chini ya laki 3 kwamwezi, ila nimejiongeza nataka nifungue kijiwe kingine kama hichohicho ili niweke mtu ili niwe navijiwe viwili angalau kwamwezi niwe...
Pengine hili ni swali la kawaida sana na tayari lishaulizwa ila leo mimi natafuta majibu yake
hivi inagharimu kiasi gani kwenda na kurudi china?
Na sasa mtu akishafika China, tuseme Guangzhou...
Habari ndugu zanguni habari ya RAMADAN!! Ninataka kufanya Biashara yoyote ambayo itaniingizia kipato cha ziada najua humu kuna wazoefu wa kutosha naomba msaada wa kimawazo mawazo ya biashara...
HAYAWI hayawi sasa yamekuwa, baada ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL), kupewa kibali rasmi cha kuanza safari za ndege zake kwenda nchini India.
Akizungumza na Habarileo jana, Mkurugenzi...
Jamani habari zenu naulizia kwa anaefahamu nahitaji kufahamu gharama za kukodi gari aina ya mende scania muda ni wiki moja tu niifanyie kazi zangu.
Dereva awe wake mwenyewe.
Jee gharama zao zikoje?
Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !
Umaskini hauishi kamwe.
======
UPDATES:
Hello Hivi punde,
Pole kwa tatizo lililokukuta,tafadhali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.