As Salaam alaykum wote
Ninatumai mko kati hali njema bi idni Allahi katika mwezi huu mtukufu wa ramadani.
Mimi ninapenda vitu vyote vya real eastate. Lakini bahati mbaya sioni nchini miradi ya...
Jamani napenda kuwatahadharisha kwamba muwe makini sana na bidha zinazotengenezwa na kampuni ya WESTPOINT.
Nilinunua fridge mpya hivi karibuni Quality Plaza. Baada ya wiki moja ikaharibika...
SAFARI ya kwanza ndege za Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) kwenda Mumbai, India itazinduliwa Julai 17, mwaka huu huku dirisha la kukata tiketi kwa safari hizo tayari limefunguliwa rasmi...
Wakuu
Nimepata safari ya kwenda Moron Comoro Kikazi
Ila nataka kuitumia safari hii pia kuangalia fursa mbalimbali za biashara
Naomba kwa yoyote anaejua mawili matatu anisaidie
1)ukiachia...
Greetings folks,
I am writing to air my disappointment with tiGo Tanzania data prices!
Every day i pay Tshs 2000 for a 1Gb Internet Bundle!
Surprisingly,Today i can only get 800 Mb at the same...
Waungwana niko hapa DRC na leo nimeona ni vyema kushare fursa za kibiashara hapa.. Kwanza kabisa napenda kuwafahamisha kuwa kuwa Mtanzania hapa DRC hasa hapa Goma ni ujiko,, wacongo wanatupenda...
Wakuu habari zenu,
Mimi ni mkulima mjasiriamali, nalima mwenyewe na kuuza pamoja nanunua kutoka kwa wakulima wenzangu mazao mbalimbali na kuuza pia. Pia nafanya ufugaji wa Kuku na Mbuzi na hivi...
Asalaam
Kama kichwa kinavosema. mwenyeufahamu au ambaye tayari amepata hii leseni ya usafirishaji bidhaa mbalimbali kwenda nchi jirani za Afrika Mashariki, naomba anisaidie kufahamu hatua...
Habarini wadau napenda kuuliza nikitaka kuanzisha chuo cha computer ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo na pia ili niweze kutoa cheti ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo? Asanteni.
Nachukua fursa hii kutafuta mdau mmoja mwenye dhamira ya kuendesha biashara ya daladala, aungane nami akichangia gharama za uendeshaji tukiwa na makubaliano ya kugawana mapato. Mie Nina miliki...
Habari wanajamvi,
Pasipo kupoteza muda, niende kwenye mada;
Naomba kujua kiundani namna ya kuandaa hii Memorandum of understanding na Article of Association,pili naomba kujua endapo inaweza...
Dogo ndo kwanza ana miaka 27 ila ndo mcheza mpira tajili kuliko wachezaji wote duniani. Faiq ambaye ni kiungo wa timu ya Leicester city utajili wake unazidi wa Cr7 mara 27 wakati anamzidi utajili...
Wakuu habarini za humu ndani, naomba kwa mwenye uelewa kuhusiana na biashara ya vifaa vya magari na mapambo( spare parts&accessories) kuhusiana na soko lake hasa kwa majiji ya DSM na dodoma...
Nduguu zangu naweka Uzi huu kutak kujua xheria ya ukusanyaji ushuru nani anafaa kuripa ushuru huo kisheria ,nimeongea hivyo nikiwa na maana kunawafunga viungo ambao kazi yao n kufunga viungoo nao...
Habari zenu wana jf.
Vp kuhusu biashara ya kuchakata Kokoto Dodoma kwa ajili ya ujenzi hali
kibiashara ikoje?
Mana baadhi ya Miji hii biashara imeshuka sana.Mwenye Uwelewa naomba kujuzwa.Shukran.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.