Modes naomba muulinde Uzi huu,nia na madhumuni kuanzisha thread hii ni kuwafungua macho wafanyabiashara na wajasiriamali wa Kitanzania juu ya fursa za biashara ndogondongo na za kati kati ya Ta...
Shilika la ndege la bongo limemwagiwa sifa ya kukamata karibia nusu ya soko lakini kiualisia sio na faida iko chini kwakua wanatumia ndege za Masafa marefu soko la ndani wakati ingekua soko la nje...
Tanzania tuna shida kubwa sana la ajira. Haswa kwa sisi vijana. Na kila mtu anakwambia jiajiri, na karibia wote wanaokwambia ujiajiri wanasema ujiajiri kwenye kilimo. Wakati huo huo bado kuna...
Wakuu nawasalimu,
Ama baada ya salaam naombeni ushauri wenu.
Kuna frem ipo maeneo ninayoishi nataka kuilipia. Bado niko dilemma ni biashara gani niweke hapo kati ya butchery (Bucha) au salon ya...
Nashukuru kwa ushauri wenu wa nini kingine niuze katka ofisi yangu y mpesa nashkur wateja saiv napata lakin tatzo .....n kwamba lain zangu wamenicheleweshea sana mpaka sasa so nauza...
Kuna online shoping website nimeiona inaitwa BEROGENGE! Wamejitambulisha kuwa wana Ofisi pia DSM1
Naomba kufahamu kama kuna mtu anawajua na huduma zao!
Wakuu naomba kuelekezwa namna ya kupata kitambulisho cha ujasiriamali vya rais Dr Magufuli
Nini kinahitajika hadi ukipate, sehem vinapopatikana kama ni halmashauri au ofisi za TRA naomba kujuzwa
Habari zenu wadau,
Naomba msaada kwa yeyote anaefahamu mahala naweza pata bunda kubwa za karatasi za Kaki au Nyeupe kama zile wanazotengenezea Bahasha yaani "Paper Rolls".
Natanguliza shukrani...
Habari wajuvi wa Jf
nimekuwa na matamanio ya kufanya biashara yoyote halali ili niweze kujikomboa kiuchumi na kupiga hatua kimaisha kama kijana
katika harakati za kupambana kutafuta kianzio...
siwezi ku-reveal particulars zangu zote hapa. mambo mengine tutaongea PM. Hii ni kwa mtu aliye serious tu.
Habari wakuu.
Nina kimgahawa changu kadogo maeneo ya dodoma mjini kuna movement kubwa Y...
sio kila mara unakula nyumbani. mara nyingine unalazimika kwenda kula migahawani au mahoteli. Ni experience gan mbaya ushakutana nayo? weka kero yako hapa.
as for me, kuna siku nimeenda kula kwa...
Nadhani ujenzi wa reli ya kisasa ni jambo ghali Sana. Wakoloni walijenga reli kibiashara je SGR inajengwa kibiashara pia? Bidhaa zipi kutoka wapi zitasafirishwa kifaida kwenda wapi?
Sioni mazao...
Habari zenu wana jf....
Mimi ni mhitimu wa wa chuo cha sokoine university of agriculture katika kutoka katika janga la ukosekanajia wa ajira nilikaa na chini nakupata wazo ambalo ninaweza...
Mimi ni mnunuzi wa mtandao wa aliexpress mnoo
Ijapo nina uzoefu kiasi huko kuna mambo hata kwangu hayakaa sawa kabisa
Mambo yenyewe ni haya siyaelewi hasa discount coupun hii inakuaje...
Wakuu kwa mwenye uzoefu wa hii biashara nina mahindi yapo mbeya mimi naishi dar es salaam sasa nataka kujaribu kufanya biashara ya kusaga sembe kuleta huku dar kutoa mbeya mzoefu naomb msaada soko...
Nimekaa hapa kwa mfanyabiashara mmoja naangalia jinsi anavyozalisha pesa kubwa
kwa Pesa ndogo. Amechukua mzigo kwa@ 15,000 mpaka kuufikisha imemgharaimu@ 21,500
Thamani ya mzigo wote 210 * 21500 =...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.