Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nina mtaji wa laki tatu na ninahitaji kujishughulisha katika biashara. Naomben ushaur ni biashara gan nzur na yenye faida kubwa nfanye jamn
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wa ndugu Twende kwenye mada, kipindi hiki cha awamu ya 5 ni biashara Ipi imechangamka,? Mtu unaweza unafanya bila Mawazo? 😔 Sio mbaya tukipeana ukweli wa jambo hili mtu ukajua PA kuanzia. Maana...
2 Reactions
113 Replies
12K Views
Aisee niliulizaga hizi tiles za 40x40 ili nimalizie ujenzi nimekuta zimepanda bei nikauliza nini sababu muuza duka akanijibu WANATOZWA KODI KUBWA.HILI JIBU LIMENISIKITISHA SANA AISEE NIMESHANGAZWA...
1 Reactions
53 Replies
13K Views
Habar zenu wadau. Mimi ni mfanyabiashara wa kati, yupo mzee mmoja ni mteja wangu wa muda kidogo...kiasi Cha kuwa rafiki. Baada ya kuniona namna ninavyofanya biashara yangu...alipenda. akanipa...
4 Reactions
128 Replies
30K Views
Habari zenu, Naomba kama kuna mtu anajua wanapouza gari aina hii. Ni kwa ajili ya kubebea mzigo maswafa marefu kama 600kms hivi. Pia waweza nishauri brandi ipi ni nzuri mfano Toyota, TATA, au...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Wanabodi na vijana wenzangu. Kama huna ajira fanya yafuatayo na uchukue hatua; 1. Tafuta Tsh 200,000 tu. 2. Tafuta eneo la kuchoma viazi/chips hasa karibu na vyuo, msongamano wa watu. 3. Fungua...
27 Reactions
36 Replies
10K Views
Habari zenu wana Jf, mm nina duka la vitu mchanganyiko yaani rejareja lakini tatizo ni kuwa kila ninapouza vitu vinaisha tu lakini hela ya kununulia vitu vingine inakosekana kila nikijaribu...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Leo jioni nimeweka zangu vocha ya Tsh 2000 kwenye namba yangu ya Tigo ili nijiunge bando ka WhatsApp la mwezi mzima nikategemea ningekuta GB 3 kwa siku 30. Aisee sikuamini nilichokiona yaani Tsh...
0 Reactions
3 Replies
968 Views
Ni wakati sasa wa kusafiri pamoja kuufikia uchumi wa kati, kila mwana jf atupie wazo lake analoamini linaweza kumtoa katika hali ya sasa na kumfikisha kwenye uchumi mkubwa. Kwa wale wenye Business...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau naomba kupata uzoefu kwa mwenye uzoefu. Nahitaji kufungua machinjio ya nguruwe. Naomba mwenye uzoefu. Niombe radhi kwa alie imani nyingine wadau.
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Ni mtumiaji mzuri wa PayPal lakini shida inakuja napotumiwa pesa kutoka nje ya nchi huwa sioni ikifika moja kwa moja kwenye account yangu ya bank naombeni msaada wenu tafadhari mwenye kujua hili
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wadau napenda kuuliza nikiwa nimeandika kitabu changu kidogo cha ujasiriamali nilazima kisajiliwe au na weza kukiuza bila usajili wowote? na nikinanani wanahusika na usajili?
0 Reactions
1 Replies
978 Views
Wana jamvi wenzangu mimi ni muajiriwa ktk clinic fulani kama meneja fedha wa kituo. Ninaomba mawazo yenu wakuu kwamba ni njia gani naweza kuitumia kuvuta wateja waje kuhitaji huduma ktk kituo...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa utafiti niliofanya kuhusu biashara ya sandals za Kimasai kwa sasa hazina ubora, sandals unavaa muda mchache zinaanza kubanduka tofauti sana na miaka ya nyuma kuaribika kwake ni kuisha kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapendwa kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza ,nauliza ni shirika lipi la ndege lina bei ya nauli nafuu zaidi kwa usafiri wa ndege kutoka jiji la Dar Es Salaam,Tanzania na kwenda moja...
1 Reactions
45 Replies
10K Views
Wanaohitaji hereni bei chwee kutoka China Na wanataka kufunga mzigo mkubwa wa accessories kama saa, cheni na hereni KARIBUNI SANA NINAKUFUNGIA MZIGO KWA BEI YA GUANGZHOU WEWE UNANILIPA...
1 Reactions
7 Replies
10K Views
Hello guys, Nadhani kampuni ya Bonite inafanya a very lucrative & profitable business kuliko kampuni za kuchimba madini alizo Nazo reginald mengi bcoz 1) Ukienda Bonite, kwa waliofika huko...
5 Reactions
16 Replies
5K Views
Wakuu, Kufuatia hatua ya serikali kuhamia Dodoma ni wazi kwa sasa huo ndio mji unaoweza kuwa na fursa nyingi za kibiashara kuliko mji wowote hapa Tz. Sababu ipo wazi watumishi wengi wanazidi...
2 Reactions
10 Replies
41K Views
Habari. Mwaka jana tuliingia mkataba wa kibiashara na nchi ya china, kuuza muhogo katika soko la china. Naomba mwenye kujua zaidi ni namna gani tunalifikia soko hilo au je kuna wakala hapa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Tafadhali wakuu kwa mtu aliewahi au ambae anafanya biashara ya kuingiza biashara toka china naomba anisaidie vitu kadhaa 1: Ni Miji au mji gani ndio vitu au bidhaa tofauti hupatikana kwa mfano...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom