Nakaribia kumaliza chuo Nina mtaji wa laki 8 sijui nikaziweke wapi hizi pesa kibiashara! Lengo La kwanza ni kwenda kuuza bidhaa ndogondogo za urembo..
Option ya pili nikainunue salon ya kiume...
Nimeanza kufanya uchunguzi wa kuwekeza kwenye Kilimo Tanzania kwa kusaidiana na wawekezaji wa US Kwenye Kilimo. US ina tengeneza 40% ya chakula chote duniani wakati wana 10% tu wa eneo. Tatizo...
Hakika tukuyu imebarikiwa ardhi hii ya kijani
Unakutana na ndizi imenona hiyo,
miwa mitamu hiyo daa,hivi watu wa huku hawataumwa figo aise
mahindi matamu hayo siyo ya DSM yaliyovunda kule...
Kupata wazo la biashara na kuanza kulifanyia kazi baadae liwe na mafanikio ni jambo ambalo linawatesa watu wengi sana
Natoa offer kwa wale wote ambao wanakiasi cha pesa lakini bado jinsi ya...
Kama kichwa kinavyouliza, waungwana nauliza je malipo ya korosho yamesitishwa kila nikichungulia account yangu bado hakuna kitu tatizo ni nini ? Kama ukaguzi ulishafanyika na stakabadhi ninazo je...
Naamin humu ndo kisima cha elim, taarifa na maarifa. Labda ndo maana Maxcens kapata tuzo. Juzi nimefanya malipo ya online, ali express kupitia m pesa mastercard. Pesa ilikatwa lakin sikupewa...
Nimeingia mjini mwezi wa 3 Sasa nimepata ripot Kuna jamaa mfanya biashara anakomba pesa za watu kwa njia ya giza.. Binafsi sijawahi shuhudia how this it oparate.. Mimi nimeokoka na mwamini Yesu...
Habari wadau, niende moja kwa moja kwenye mada kuna...kipindi tunataka kuanzisha kuhusu maswala ya ujasiriamali hususani kwa vijana ni lipi jina zuri litaloendana na maudhui ya kipindi. Naombeni...
Ndugu zangu naomba msaada wa gharama za tofali za block endapo nitatengeneza mwenyewe na sio kununua. Juz nilienda kijijini kwetu ambako nataka nianzishe mradi wa kufuga nguluwe, hivyo nikaenda...
Watu wengi wakisikia neno bet, moja kwa moja wanahuisha na mpira wa miguu, ni kweli wapo sawa ila betting siyo kwenye mpira wa miguu tu hata kwenye michezo kama cricket, basketball, ngumi na...
Waheshimiwa na wakuu wangu humu wazima.
Nimewahi kusikia kwamba biashara ya korosho Adis Ababa inalipa sana kwamba kuna soko huko. Je kuna mtu humu ana fununu au uelewa wa jambo hili aliweke...
Rafiki yangu alinunua online raba za kukimbilia (Joging) kwa jumla ya $23.50 Zilipofika posta alidaiwa something like 55,000shs?
Naomba kujua formula ya kukokotoa Gharama za parcel iliyotoka nje...
Habari zenu wakuu!
Natafta vifaa vya chips used Mbeya mjini Kama kuna yeyote anauza naomba tuwasiliane pm.
Nahitaji eneo Mbeya mjini Kama kuna mtu anaeneo naomba tuwasiliane pia.