Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

BAADA ya kukabidhiwa rasmi na serikali ndege aina ya Fokker 50, Kampuni ya Ndege nchini (ATCL) imesema itaiingiza ndege hiyo katika ratiba yake ya safari za ndani ya nchi. Miongoni mwa safari hizo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
vijana wengi tupo mtaani hatujui cha kufanya. Je, ulishawahi kujiuliza nibiashara gani yenye mtaji mdogo ambayo unaweza kunzisha biashara yako
2 Reactions
29 Replies
9K Views
Habari wana kijiwe? kutokana na ugumu wa maisha kwa awamu hii yatano na nina vijiakiba vyangu nimeonelea kuanzisha biashara angalau nipambanae na hali yangu. Inafahamika kama biashara zimekuwa...
2 Reactions
5 Replies
7K Views
Ok Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Nahitaji mtu mwenye uelewa wa biashara ya kukopesha fedha (micro credit). Je leseni naipata wapi baada ya kufungua kampuni? Minimum capital ni shilingi ngapi? Naweza pata mtu wa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Jumia ni kampuni ya kuishtaki tu kwa sababu wanapouza bidhaa zao huwa wanachomoa baadhi ya vifaa na vinafika vikiwa sio complete ukilinganisha na ungenunua dukani. Pia ukijaribu kuwapigia katika...
1 Reactions
54 Replies
7K Views
Nmegundua kwamba sio wafanyabiashara wengi wanatumia mitandao (Internet) kuwapata wateja wao, wakati ukweli ni kwamba kwa kutumia mitandao hasa mitandao ya kijamii unaweza kuwapata wateja wengi...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Mwenye uelewa na pikipik naomba anisaidie bei ya boxer cc 150 mpya imefikia kiasigan Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Jamaa yangu kila siku amekuwa akiniuliza ni bidhaa gani ambazo unaweza kwenda kuziuza China zinazo toka tanzania na wachina wanazihitaji sana? Na upelekaji wake ukoje yaani usafiri? Msaada wenu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wasaalam Wanabodi.. Nimepata Subcontract Dangote Industries (T) kwenye usafirishaji wa Cement. Kwa sasa sina Lori za kutosha hivyo ningehitaji hata Lori zingine 50. Kwa wamiliki wa Malori ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
nauza vumbi la dagaa maarufu kama dagaa nyama au dagaa wa zanzibar .vumbi hili hutumika kama sehemu muhim katika mchanganyiko wa chakula cha kuku!!!ninapatikana tanga na pia tunaofisi dodoma...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Sipingani kuwa, idadi kubwa ya watu katika sehemu inaweza kuongeza demand ya bidhaa au huduma. Lakini je, kweli hiyo "idadi kubwa ya watu" wanahitaji bidhaa au huduma yako unayofikiria...
9 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Husika na kichwa tajwa hapo juu, nina Plan za kuanza kuzalisha juice za matunda. Naomba msaada wenu wa mawazo katika nyanja zifuatazo; Eneo zuri la biashara yaani ofisi...
1 Reactions
27 Replies
11K Views
Waafrika wenzetu tena jirani zetu wa Uganda wamezindua mabasi yanayotengenezwa nchini mwao tena na waganda wenyewe. Hivyo badala ya kutoka mabilioni ya pesa nje ya nchi kwa ajili ya kununulia...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ila wanaagiza China bidhaa hiyo hiyo...na maelezo ni kwamba kiwanda cha Saruji kimejengwa jirani kabisa eneo la mpaka kati ya Nigeria na Benin... Nasikiliza mahojiano ya Mo Ibrahim na Aliko...
14 Reactions
45 Replies
5K Views
Wadau, Salaam... Ninaye ndugu yangu, yeye anahitaji kumnunulia mke wake gari. Anauwezo wa kulipa 50% then inayobaki sawa analipa kila mwezi. Je kwa Dar zipo yard za magari wenye utaratibu huu ...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Jamani ambao wamewahi kufanya biashara ya mpunga hasa maeneo ya Mpanda naomba wanipe uzoefu kidogo Gunia sh ngapi, changamoto zake, gharama za usafirishaji mfano kutoka Mpanda hadi Mwanza na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu nakuja kwenu nikiamini humu tupo watu wengi wenye uzoefu tofauti tofauti na uzoefu huo utatujenga wote. Lengo langu n kufanya biashara ya mitumba, na lengo langu n kuwa nanunua belo...
1 Reactions
3 Replies
10K Views
Samahani wanajamvi, sijui Kama ni jukwaa husika ila naomba walau kujua Maana halisi ya Daylight Saving Time na Jinsi inavyoathiri biashara na shughuli za kiuchumi kwa nchi zinazohusika ikiwemo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini ndugu, kama kuna mtu anakopesha fedha naomba anisaidie. Mimi niko mwanza ila nina shamba la ekari moja la mpunga huko katavi na kuna pesa kama laki mbili nilikopesha kwa watu ambapo elfu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…