Mimi ni chinga wa wamitumba. Mara nyingi hununua mitumba kwa kusoti bidhaa mojamoja yaani kuchuzi na nimekuwa niki mix bidha
Sasa naona faida kama ni kidogo sana nawaza kununua balo zima ila...
Wakuu heshima kwenu
Shida haina mwenyewe,naomba kama kuna mdau ambaye anaweza kunikopesha hicho kiasi nilichokitaja hapo juu na kwa riba hiyo anisaidie nimalize shida yangu
Kuhusu kitu cha...
Viwanda vikubwa vinahitaji
1. Umeme mwingi na wa uhakika
2. Reli imara
3. Bandari kubwa zenye miundombinu ya kisasa
4. Wananchi wengi wenye uwezo wa kununua na kutumia bidhaa za viwanda hivyo...
Moja kati ya maswali na changamoto ambazo huwa nakutana nazo mara na wateja hawa ni swala la Je kweli wanahitaji kuwa na tovuti?
Baada ya kuzungumza na kushauri wateja wengi kuhusu suala hili...
Nina biashara ya kuridhisha kidogo ya karanga hapa Kahama ila tatizo zimeshuka bei sana kisa warwanda ambao ndio wateja wetu wakubwa wamerudi makwao!!
Naomba mnijulishe sehemu ulipo karanga kilo...
Habari wana bodi. Leo naanza mfululizo wa Masomo ambayo napenda tujadiliane pamoja. Kabla ya kwenda mbali napenda niwaeleze kuwa ninayo yaandika hapa ni mawazo yangu kutokana na uzowefu wangu...
Nashangaa sana kuzagaa kwa malalamiko ya wafanyabiashara kubambikiziwa kodi kubwa.
Wapo Maafisa wengi TRA wasio waaminifu, wanakadiria kodi kubwa, --baadae wanakuja mlango wa nyuma kuomba Rushwa...
Mapato ya nchi hutegemea ukusanyaji wa kodi kutoka kwa wingi wa watu binafsi au kutoka kwenye faida ya mashirika na makampuni yaliyojiandikisha kwa lengo la kufanya biashara. Kwa miaka mingi sana...
Wanajamvi habari za jioni
Ni karibu mwaka sasa tangu BRELA wahamishe mfumo toka wa manual kwenda kwenye mtandao sasa sisi tunaotoa huduma kwenye mambo haya ninataka kuchangia kidogo kwenye jamii...
Greetings!
Leo nataka nikupe darasa muhimu kabisa jinsi unavyoweza kutengeneza digital product zako binafsi na kuanza kuuza mtandaoni mara moja.
Hili darasa ni muhimu kwasababu watu wengi wapo...
We feel obligated to help Tanzania businesses to find overseas partners, we understand the scam catastrophe when dealing with overseas companies and that is why we have a plan to stop it from...
Miaka michache iliyopita tumeshuhudia ugunduzi mbali mbali wa maliasili ukifanyika katika nchi za afrika mashariki mfano Gesi asilia tanzania,Mafuta Gafi uganda Madin mbalimbali n.k sisi gesi yetu...
Salamu wakuu, kama mada inavyo jieleza hapojuu. Ninampango wa kuanzisha duka dogo la pembejeo za kilimo kwa ujumla(kilimo na mifugo). Lengo la kuibuka hapa juukwani naomba kufahamishwa ",wapi kati...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, Hapo awali nilijiapiza kua nataka kuja kua mmoja wa wafanyabiashara mashuhuri katika jamii yangu husika lakin mpaka sasa nashindwa kufanya maamuzi sahihi ni...
Habari zenu wadau naomba msaada wa kujua mambo mawili.
1. Nahitaji mashine crusher jee kwa hapa bongo zinapatikana na ni bei gani?
2.ikiwa nitaagiza kutoka nje niliyoiona imeandikwa $2000-7000$...
Naombeni kujua gharama za vyumba/nyumba za kupangisha, Naomba nijuzwe ni wapi kati ya Dar es salaam au Dodoma kuna gharama kubwa za kupangisha
Kwa kuangalia ubora wa nyumba husika,kama ikiwa...
Habari ya muda huu wakuu,
Ni jumatatu nyingine ya kuanza pirika pirika ya kutafuta riziki ili kupambana na maisha bila kuchoka.
Niende kwenye mada husika bila kupoteza muda, hapa home kuna Canter...
Nduguzangu nilikua nauliza kuhusu kufanya biashara china,kuanzia naul ya kwenda na kiasi cha mtaji na maisha kule yakoje,na je ajira ndogondogo kule zipo,asanteni?