Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

1.Usisubiri ruksa wala kibali Acha kuwa kama wanariadha au wacheza soka kusubiri kipenga(filimbi) ilie ndipo uanze kucheza mechi. Watu wengi linapokuja suala la kutimiza ndoto zao hawana tofauti...
7 Reactions
7 Replies
3K Views
Rafiki Asali ni wajasiliamali wenye elimu ya Ufugaji Nyuki na bidhaa zake. Kazi wanazo zifanya: 1) Tunauza mazao ya Nyuki kama asali na nta. 2) Tunatoa elimu ya ufugaji Nyuki na mazao ya kupanda...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauliza hivi,kwa nini watu wenye kipato cha mawazo/duni/masikini ndiyo wanaongoza kwa matumizi mabaya ya pesa? Mfano mtu kakopa halafu anafanya sherehe za hapa na pale,vibesidei mara...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari wapendwa. Nahitaji kufahamu gharama za kuchimba kisima huku Dodoma maeneo ya Hombolo. Natanguliza shukran. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi Tanzania tuna viwanda vya kuzalisha karatasi kama vile A4 copy paper ?? kama vipo viko mikoa gani wadau
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Iwapo chaza wangekuwa wanakuzwa na kuvunwa lulu kama ilivyo katika nchi nyingine ni wazi mapambo ya plastiki kutoka China yasingekuwa na nafasi na wananchi wangetengeneza ajira na mapato ya...
4 Reactions
30 Replies
16K Views
Nimekuwa nikijiuliza kama tshs 600 B zinaingia kwenye mzunguko kama mishahara ya watumishi wa serikali kila mwezi mbona hazionekani? jibu nimegundua inawezekana sehemu kubwa ya 600B inaenda...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninataka kuanzisha biashara ya kuuza cosmetics kwa jumla. Je importers wa bidhaa hizo ni akina nani ili niweze kununua kutoka kwao?
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Habari wakuu! Hivi karibuni, nikiongelea miaka kadhaa nyuma, kuna hali mpya ambayo imetutembelea, hali ambayo inajaribu kuishi na sisi, ikitufunga akili, kutunyima furaha na kadri siku...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za kazi wakuu. Kumekuwa na mtiririko mkubwa sana wa Watanzania kuelekea Msumbiji, wanasema oportunities ziko nyingi kule, binafsi nimevutiwa sana lakini sijapata kuzungumza na Watanzania...
2 Reactions
31 Replies
9K Views
Wakuu naulizia nielekezeni Kama Kuna anayejua duka ambalo nitapata hivi vitoroli aidha Cha metal au cha plastic hata kikiwa Cha mtumba sawa
0 Reactions
3 Replies
37K Views
Habar ndugu zangu naomba msaada wenu kwa anaye jua bank ipi inayo husika na PayPal nimejaribu crdb lakini sijafanikiwa naomba msaada wenu kwa anaye faham ili jambo
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Wakuu habari. Jana mchana vodacom walinitumia ujumbe huu MUHIMU!! Ndg wakala, LITE TILL unayotumia itafungwa leo 1/4/2019 na hutaweza kuitumia tena, Ondoa salio lako na commission yako kuepuka...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyoeleza wanajamvi, La zaidi namaanisha uchomeleaji vyuma kwa ajili ya Furniture na hata Mageti n.k Naomba kusaidiwa nini na nini kinahitajika. Karibu...
1 Reactions
2 Replies
8K Views
Hii ya nne Sijui ndo itakuwa inapiga ruti ya Nairobi
9 Reactions
74 Replies
9K Views
Ni biashara zipi;ukiwekeza kidogo unapata matokeo makubwa? (80/20 principle) Mfano: umewekeza 20,000 ukapata mauzo 80,000
2 Reactions
46 Replies
6K Views
Wakuu, Mkumbuke kuna mataifa mengine yanabandari kama msumbiji, Angola, Afrika Kusini. Congo ni mteja wetu mkubwa na mteja ni mfalme lakini awamu hii hamko kibiashara na dalili zinajionesha wazi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Air Tanzania kuanzisha rasmi safari zake mkoani Iringa mapema tarehe 29 April. Safari hizo zitakua ni mara tatu kwa wiki yaani kila jumatano, ijumaa na jumapili. IRINGA KAMWENEEEE
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Iko hivi: Wazo la mradi / biashara likitolewa na mtu ambaye hana mtaji - pesa - (star-up capital) huonekana kama ni upuuzi. Sio kwamba huwa ni upuuzi bali upuuzi huwa ndani ya anayelipokea...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…