Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wapendwa wanajamii natafuta kampuni/ mtu binafsi mwenye mabasi ya kutoka Dar kuja mikoani nimwonesha route mpya ambayo itamlipa haswaa na haijagunduliwa na wajanja wengine,inahitaji basi mbili tu...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wadau. Kuna bidhaa nimeiona alibaba lakini naona hapo dukani inauzwa kwa bei ya jumla.nami nataka kwa reja reja. Nataka kumpata mtu wa uhakika aliyeko china mwenye ndugu hapa dar nimuagizie huko...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Sijamuelewa Rais huyu anataka nini hadi kutuletea vitambulisho vyake. Mamlaka zinazohusika zilimpiga chini kwa matakwa yake ya vitambulisho visivyo kisheria. Anataka nini hasa, atutambue au...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Kama title ilivyo hapo juu, ningependa nijue ABCD..... Zenu kuhusu kampuni la ujenzi wa nyumba Kama za makazi, vitu kama mafundi, changamoto zake, kuhusu mwanzo wake, namna ya kupata clients au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau, Naomba ushauri wenu kwenye suala la kununua biashara/kampuni ambayo imehsasajiliwa. Niemkuwa mtaalamu wa System Development kwa muda mrefu, na nataka kurasmisha utendaji wangu, ila...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Haiwezi kuwa aibu watu kama tupo Mill. 55 walipa kodi wapo Mill 2.2, na haita kua aibu kwa sababu 1. Wanasiasa wanaingilia maamuzi ya wafanya biashara katika biashara zao 2. Siasa na biashara...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimefubga steering power mpya, steeling rack mpya na fan belt mpya lakini bado gari inapiga kelele hasa ninapopiga kona, na kila ninaposikia hizo kelele nikicheki steering power oil inakuwa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Watanzania hatujabaki nyuma katika biashara za mitandaoni japo sio kwa kiasi kikubwa sana lakini si haba nasi tunajikongoja mdogomdogo. Nasema tunajikongoja kwasababu walio wengi tunatumia zaidi...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Kama title ilivyo hapo juu, ningependa nijue ABCD..... Zenu kuhusu kampuni la ujenzi, vitu kama mafundi, changamoto zake, kuhusu mwanzo wake, namna ya kupata clients au wateja, jinsi ya kufanya...
0 Reactions
2 Replies
875 Views
Inasikitisha sana mzee umefight ukakichanga kikachangika harafu unachukua mchepuko hata haueleweki! Mtu unaingia kiwanja unapaki ndinga kali lakini huyo mchepuko unayeshuka nae ni hovyo vibaya...
1 Reactions
8 Replies
890 Views
BENKI yenye riba nafuu na iwe iko hadi huku mikoani .NIJUZE PLZ KAMA UNAJUA AU WAKALA WA BENK HAPA ANIAMBIA KAMA YUPO
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Ninashida ya mkopo kwa ajili ya kuendeleza biashara zangu na sikuwahi kukopa taasisi yoyote ya kibenki lakini kwa sasa nahitaji mkopo. Nimetembelea taasisi za kibenki tatu lakini kuna masharti...
0 Reactions
47 Replies
18K Views
**GOOD NEWS TO ALL MCC MEMBERS THE PLAN HAS BEEN MODIFIED ** MINING CAPITAL COIN (MCC) NI KAMPUNI YENYE MAKAO MAKUU MAREKANI, LAKINI KWA SASA INA OFISI SEHEMU MBALI MBALI IKIWEMO KENYA, MIAMI...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wapendwa salaam Naomba msaada wa kujua mambo muhimu ya kuzingatia unapotaka kuanzisha biashara ya vipodozi hasa kujua kama kipodozi husika no feki au original na maduka yanayouza kwa jumla
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Napenda kuuliza kama ni salama na vizuri kunua bidhaa kwenye tovuti/application ya gearbest. Kwa mwenye ujuzi na uzoefu nayo anisaidie. Na kama kuna utaratibu wowote tujuzane...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu, Namba kujulishwa ni madini gani haya? Yana value yoyote katika soko la madini? And if so, soko lake liko wapi? Natanguliza shukrani
0 Reactions
17 Replies
4K Views
watajwa hapo juu Ni benki binafsi ambayo inakopesha watumishi wa Uma... katika mikataba yao Kuna kipengele Cha kufuta mkopo endapo mteja ataamua kulipa Deni kwa mkupuo.... mwaka juzi nilikopa...
4 Reactions
14 Replies
7K Views
nataka nitoe misingi minne ya mafanikio (1)-wazo/mawazo mapya (2)-kuwa na rafiki/marafiki waliofanikiwa (3)-Gundua fursa zilizopo na kuzitumia (4)-Uwe na ndoto ya mafanikio Hizo ndizo misingi...
0 Reactions
0 Replies
577 Views
A bankable 5 years business plan for broiler farming operations and chicken meat processing factory to produce high quality poultry products and grade A chicken meat in a 220ha farm in South...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari wadau wa business forums.. naombeni msaada wenu.. kuna shindano nimeshiriki la ujasiriamali linaitwa total start upper of the year.. katika harakati za kusaka ugali.. sasa limefikia...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…