Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ndugu wana Jf leo naomba nieleze kuhusu wimbi la watu wengi hasa mijini wanaoelekeza nguvu nyingi kuwafundisha watu hasa vijana Biashara hasa ujasiriamali ! Mimi katika pita pita zangu nimekutana...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Ukatili unaondelea kufanywa na fastjet cio wa kufumbia macho yapata wiki nzima ss abiria hawasafir kwa wakati ndege zinaairshwa bila kupewa taarifa Leo asubh nilitakiwa kusafir kutoka mwanza kwena...
0 Reactions
2 Replies
854 Views
Habarini wadau, Mimi kama mjasiriamali wa muda mrefu nimekuwa nikisikia wafanyabiashara baadhi yao wakisema "msimu huu biashara mbaya sana" sasa najua kila mfanyabiashara ana msimu anaoamini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau mwenye uzoefu wa biashara ya pochi za wadada na viatu kutoka kutoka Uganda..... Naomba Muongozo
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo nimeshangaa sana nimeenda NMB kuweka makusanyo yangu madogo madogo nashangaa teller ananiambia kuna makatao ukitaka kuweka kila denomination unakatwa 2,300/= denomination mfano 50, 100, 200...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Usiudharau mwanzo wa jambo lako lolote lile...unapofanya jambo unaloliamini usiangalie watu watalionaje,wewe pekee yako ndio una ramani ya kule unapopaona kuhusu jambo lako...im sure usikatishwe...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba msaada wenu wadau,Nina laki mbili ninaweza kufanya biashara gani?
0 Reactions
2 Replies
748 Views
Wandugu kama kichwa cha habari kinavyosomeka,nina hitaji mkopo wa milioni 4, 500,000 kutoka taasisi yoyote au mtu binafsi dhamana yangu ni kadi ya gari toyota noah,muda wa mkopo miezi 6 tu riba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
KARIBU NA MAKALA NYINGINE ZA KUELIMISHA TEMBELEA BLOG YANGU MKUU ONĒ BLOG Utajiri unaanzia kwenye imani ambayo mtu unayo kuhusu wewe mwenyewe, kuhusu maisha na kuhusu fedha. Kama mtu utakuwa na...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomben mniambia maana ya stock
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Nataka kufanya biashara ya mazao naomba msaada wa mawazo na kwa yeyeto anaeweza kunisaidia sehemu yenye urahis wa upatikanaji wa mazao yenyewe!Nipo Mwanza
0 Reactions
1 Replies
949 Views
Ndugu wana Jf leo naomba nieleze kuhusu wimbi la watu wengi hasa mijini wanaoelekeza nguvu nyingi kuwafundisha watu hasa vijana Biashara hasa ujasiriamali ! Mimi katika pita pita zangu nimekutana...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wanajamii Naomba muongozo kuhusu kahawa, nahitaji kununua kahawa na kusafirisha kwenda Uganda. Je ni taratibu gani nitumie kwenye ununuzi? Kwa upande wa moshi naambiwa ni lazima nifanye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Source: Kifahamu kiwanda kikubwa zaidi duniani Shirika la Boeing lilipoamua kuunda ndege yake chapa 747 - lilijizolea sifa kwa kufungua mlango wa kutengeneza ndege kubwa zaidi duniani. Hata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama umewahi kumpa biashara mpenzi wako ili aisimamie , na ikafanikiwa tuambie ulitumia njia zipi, Pia wewe aliyeishia kupotezewa hela yako tuambie ilikuwaje, Mwisho unatoa ushauri gani kwa...
1 Reactions
54 Replies
8K Views
Wazee nimeanzisha biashara haina hata mwezi ila TRA wameshaanza usumbufu. Nilisikia kwamba kunamsamaha wa kodi kwa biashara mpya sijui ni miezi sita. Nikitaka kupewa huo msamaha officially...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Kipindi cha nyuma kidogo nilileta hapa jamvini nikihitaji vijana wenye mawazo ya biashara ila wenye ukosefu wa mtaji. Kwanza nashukru muitikio ulikuwa mkubwa ila kulingana na uwezo wangu mdogo...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Hello guyz!... Msaada tafadhali kuhusu hili, nimeona company ya kutengeneza ream papers from Kenya, kiwanda kinaitwa JKT Global Products Limited Kenya. Ila sijaweza kujua jinsi ya kumpata Supplier...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
salamu kwenu wanajamiii forum. Kuna jamaa yangu mmoja aliniuliza swali kuhusu kiwango cha uchukuaji mkopo kwenye taasisi za fedha akiwa na maana ya benki na hizi taasisi ndogo ndogo kama pride au...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Tanzania ya maziwa iko wapi wakati ngo'ombe wanataifishwa? Tililika hapa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom