Wadau,
Naomba kwa wale wenye uzoefu wanipe uzoefu wao nina millioni nane nataka kuanzisha kimoja wapo ya vitu vitatu Restaurant, M Pesa. Na duka la rejareja, ikiwezekana viduka vya rejareja...
Kuanzia mwezi wa 8 Fastjet wataanza kupaa kwenda Harare, Zimbabwe kutokea Dar, TZ. Kwa wale wafanyabiashara katika ya nchi hizi mbili tuliokuwa lazima tupitie Nairobi kwa KQ/PW sasa tukamate fursa...
Umuhimu wa nembo na maana ya nembo katika biashara ama chapa yako.
[emoji843]
Logo/Nembo ni nini?
[emoji843]
Nembo ni alama maalum inayokutambulisha sehemu fulani katika jamii, hiyo ni maana ya...
Salaam Wadau,
Tunakusogozea huduma zetu karibu yako zaidi kupitia ubunifu mpya katika ulimwengu wa kidigitali, NMB KLiK nama rahisi, salama na isiyo na usumbufu wa kuwa na huduma za kibenki wakati...
Wadau habari..
Mimi mwezi december nimepokea mkopo wa milion 18900000 kutoka crdb... Niliuza mkopo wangu wa nmb... Tulifanya calculation na loan officer ya fedha nazoweza kupata ikaja kwenye...
Salaam., natafuta mwekezaji wa kuwekeza chochote atakachoona kinafaa kulingana na eneo lilivyo.
Eneo lipo Tanga, Pangani karibu kabisa na beach, ni mita 100 kutoka baharini(mita za serikali na...
jamani eheee mimi mwenzenu kila nikiangalia vijana wenzangu walionitangulia naona wamerudi nyuma wakati nikifikiria kuhusu plan B katika maisha
nimejaribu kuangalia jamaa zangu waliokuwa...
Habari,
Hivi kwa mfanyabiashara anaeuza bidhaa nje ya nchi akitaka kulipwa kwa kutumia paypal afanyaje? Tanzania haiko listed kama unaweza ku receive money kwa paypal
Kwamba wewe unaenda kiwandani unachukua mzigo kwa jumla let us say tani moja ya Sundrop au Blue band au pipi whatever,unaenda mtaani kutafuta wenye maduka ya rejareja unawauzia kwa bei ya jumla...
Wadau wenye kufahamu.
Je katika kuanzisha Fuel filling station kubwa maeneo ya mjini kama Dar es salaam, Je kuna kigezo cha umbali kati kituo kimoja cha mafuta kwenda kingine vilivyo upande mmoja...
Source: NEWS ALERT: NDEGE MPYA AIRBUS A220-300 IKIWA TAYARI KULETWA TANZANIA KUTOKA CANADA - ZanziNews
NEWS ALERT: NDEGE MPYA AIRBUS A220-300 IKIWA TAYARI KULETWA TANZANIA KUTOKA...
UTANGULIZI
Kwanza kabisa nitoe angalizo vyote nitavyo viongea kwenye thread hii sijalenga kampuni yeyote(ndio maana sitotaja jina kabisa la kampuni yeyote) bali huu ni uchunguzi binafsi nilio...
Habari wana jf
naambatanisha na screenshot kutoka account yangu na nimeacha ubini tu wa kitanzania
Ili ujulikane kweli ni account yangu mimi mtanzania.
Nikiwa mdogo sana nilikuwa naamini kuwa...
Habari zenu wapendwa,
Nahitaji ushauri hasa kwa wazoefu au wamiliki wa noah na hiece katika mkoa wa moshi na Arusha je ni root ipi nikiweka hoan au hice bas pesa itakuwa ya uhakika? Maana kuna...
Habari za wakati huu wana if....
Naomba kujuzwa kwa yoyote mwenye uelewa kuhusiana na biashara ya maziwa ya ng'ombe kuanzia lita 100 mpaka mia tano je mtu unaweza anzisha small firm ya package...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.