Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau nataka ushauri hapa wa kina ,,Nina mtaji hapa kama million 3 nataka niwekeze kwenye huduma za fedha yaani mpesa ,tigo pesa ,airtel money nk sasa je itanitoa kwl na location yangu n maeneo ya...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Mkurugenzi mkuu wa TRA, na Mkurugenzi wa TANROAD, ukisafiri toka Mbeya kuja Dar, au Mwanza kwenda Dar utakuta wafanya biashara wanauza vitunguu, nyanya, etc tena kwa bei kubwa sawa na kariakoo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana Jf habari, Hivi karibuni nimekuwa nikilinganisha bei za maezeko/mabati kati ya nchi mbili tajwa nikabaki na maswali mengi nikaona niwashirikishe huenda mkanisaidia. Ipo hivi, baada ya...
3 Reactions
16 Replies
5K Views
Jaman naomba kufahamishwa kuhusu credit card,hii Ni card ipi?, Pia kuna tofauti ipi kati ya Credit card na debit card? Na hizi zinafanya kazi vipi? ,Pia nikitaka kufanya online purchases natakiwa...
4 Reactions
18 Replies
8K Views
Wakuu kheri ya X-mass na mwaka mpya!. Tukiwa katika ukingoni kabisa mwa mwaka huu 2018 na tukiwa tumebakiza siku moja tu kuanza mwaka mpya wa 2019,sote tunapaswa kumshukuru Mwenyezi Mungu. Nakuja...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Bei from $90,000 - $230,000 kutegemea na aina ya apartment au nyumba :confused2: www.degeecovillage.com/masterplan
4 Reactions
10 Replies
8K Views
Mimi huamini watu wenye idea zinazofanana wakifanya kitu kinakuwa kikubwa sana. Ningependa member tuwe na sifa zifuatazo; 1. Asiamini katika kuajiriwa na kama ameajiriwa awe anaonyesha jitihada...
12 Reactions
163 Replies
20K Views
Kama kuna mzoefu wa uuzaji na ununuaji Wa rasta za jumla tufahamishane nataka kuanza biashara hiyo
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Habari, Nawezaje kupata huduma ya fixed account ambayo Nita deposit kwa miamala ya simu kwa namna rahisi na salama? Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
869 Views
Wadau nipeni maujuzi na utaalamu mwepesi kwa walio weledi katika mambo ya Bima.Nataka kuanzisha kampuni yangu ya Udalali wa Bima. Tayari ninakmapuni lakini haina line ya Bima lakini kwa sasa naona...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Natangaza vita na huyu adui popote pale nitakapomuona. Na nimejipanga kwelikweli! Nimejitathmini na kugundua sipendi kuona mtu yoyote akitaabika kwa umasikini. Ukiweza kuushinda umasikini, mambo...
27 Reactions
50 Replies
5K Views
Habari! Naomba kujua kuhusu Barcode na Tbs kwa Mjasiriamali!
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu yangu anauliza kama kuna watanzania au wana East Africa ambao wanasafirisha mizigo toka Germany hadi Arusha, Tanzania. Anataka kusafirisha rims ambazo kwa usafiri wa kampuni kama DHL au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kujua taratibu za kupata leseni ya guest house na gharama zake.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu katika pita pita zangu mitandaon nimekutana na hili shirika la Hawa watu wanaoitwa Jamalife helpers global(JHG), wamenipa maelezo yao na namna wanavyofanya kazi , kikubwa wao wanahitaji...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habarini ndugu jamaa na marafiki, nauza till m-pesa, tigo pesa, na airtel naziuza bei poa kabisa nichek kwanamba hii 0764660000, sipo whatsap kwahiyo unaweza kunipigia au kunitext Sent using...
0 Reactions
3 Replies
607 Views
Wadau mimi nahitaji mashne ya kubett ila sijui jinsi ya kuipata.nataka nifanye biashara hyo. Kwa sasa nipo dar ila nataka nikiipata niipeleke iende kupga kazi BUKOBA mjini.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hiyo ni shirika la ndege la Qatar. Magufuli kwa akili zake ataanza kuwaza ruti za mbali wakati hizi za karibu anashindwa, Rwanda air walianza na east Africa,. Yajayo ni Hasara tu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninapongeza TRA Bukoba kwa kuhakikisha wafanya biashara Mjini humo siyo tu wanamiliki EFD bali wanatoa risiti za EFD kwa kila huduma inayotolewa. Ukiingia mgahawani unakutana na EFD Bar, Guest...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom