Wakuu,
Ukiwekeza 20m kwenye biashara yoyote ile, minimum period ya return inabidi iwe lini?
Yani mtaji inabidi urudishe ndani ya muda gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau naomba msaada jinsi ya kuanzisha day care inaendeshwaje unapataje faida mimi niko dar es salaam na ni nyingi gani ya kuifanyia marketing
Sent using Jamii Forums mobile app
Habaru za jumapili wanajamvi wa biashara na uchumi ...
Kama Mara linavyojieleza hapo . . UMASKINI umenichosha UMASKINI umeniibia utu wangu .. Nataka 2019 niwe MTU mpya mwenye maono mapya ...
Wakuu nauza kiwanja kwa ajili ya makzi tayari kimepimwa,kina hati miliki na kimejengwa foundation iliyo na leseni ya ujenzi kutoka kwa mkurugezi wa jiji la dodoma
Kiwanja kiko Kikuyu kusini...
Wakuu .
Kheri ya Christmas na Mwaka Mpya .
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza kwa wale ambao waliwekeza kwa mwaka 2018. Je uwekezaji gani ulikulipa vizuri na changamoto zipi ulikutana nazo ...
[emoji121]
WAKUU,
KUNA ALIYEWAHI KUFANYA BIASHARA YA NGUO ZA MTUMBA HUMU?
YAANI KUNA MWANANGU KATOKA ZAKE SINGIDA KAJA DAR KUNUNUA BELO 3 ZA NGUO ZA MTUMBA.
AMEFUNGUA YA KWANZA INA KAPTURA...
tunashughulika na uuzaji wa camera zilizotumika Dubai na South Africa ila zinakua ina good condition pia tunauza vifaa vya production (video na picha) kwa bei nafuu...instagram page...
Wakuu, nimejibana nimepata shilingi 1million mke wangu amenishauri nimemnunulie friji kuanzia laki 5-8 pesa itakayo baki laki 2 afanye kama mtaji wa kuuza barafu, Ice cream na juice. Naomba...
Msaada wadau hadi nataka kununua gari kutoka Japan,naomba Kwa anaejua hadi hii gari inakuwa mkononi inaweza kunigharimu shilingi ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu Makini Wanakula Vilivyo Bora Kwa Afya Zao, Wewe Ni Mmoja Wao. Kula Mboga Ya Majani Iliyozalishwa Kwa Viwango Vya Kimataifa, Isiyopoteza Ukijani Wake Hata Baada Ya Kupikwa. Radha Madhubuti...
habari wakuu
kama mada inavyojieleza.
nilipokuwa chuoni nilianzisha mchezo wa upatu ambapo nilipata member wengi kiasi na nikawagawa katika makundi ya watu 20 20. baada ya kumaliza chuo na...
Wadau salaam kwenu
Naomba msaada wa namna ya kusajiri hizi taasisi za kijamii.
Nfano: Nataka kusajiri Taasisi ya kuhudumia kaya masikini au wajasiriamali wadogo wadogo.
Utaratibu uko vipi,na...
Watu Makini Wanakula Vilivyo Bora Kwa Afya Zao, Wewe Ni Mmoja Wao. Kula Mboga Ya Majani Iliyozalishwa Kwa Viwango Vya Kimataifa, Isiyopoteza Ukijani Wake Hata Baada Ya Kupikwa. Radha Madhubuti...
Hello wana JF...
Natumai mnamaliza mwaka vizuri.. Karibu 2019.
Mimi leo naomba mnisaidie namna ninavyoweza kupata mfadhili wa kunisaidia kufungua mradi wangu wa Elimu kwa kujenga shule. Nina...
Ngoja nijaribu kutunga jinsi ya kuwa bilionea kwa hii 500.
.
Nunua tikiti kwenye lori la jumla 500, uza 1500 mpaka 2000 ila nitacheza na 1500. Nunua matikiti mawili 1000 na uuze 1500 jumla 3000...
Kumbuka;
Mzee Mengi alikuwa na gazeti linaitwa ALASIRI. Halikuleta faida. Gazeti la Dar Leo vile vile. Ushindani wa magazeti mengine ulikuwa mkali. Wasomaji wakabadilika. Internet zikaingia nk...
Habari ndugu zangu wana JF
Mim ni kijana ambae nlikuwa napambana na maisha ila hv karibuni nmeweza kupata kazi katika jiji la Arusha Ila hyo kazi inaanza January tarehe 2. Kwa sasa nina omba mkopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.