Sorry guys nataka niwe nazungusha nguoo za kike za mitumba vyuoni je inaweza kunisaidia na kunifikisha sehemu nzuri...maana nimemalizaa chuo mpaka Sasa ajira. Ngumu..
Ushauri wadau
Sent using...
Hello members,
Nipo mkoani nina deal ya kuanza kurangua ng'ombe then nipeleke dar kwa aim ya kuwauza. Wenye kujua changamoto zake pls naomba kujuzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauliza kama inawezekana kutumia Jina Tanzania kwenye Biashara, Kwa mfano huwa naona Kenya Commercial Bank(KBC), Kenya Air Ways(KQ).
Kwa Tanzania hili linakubalika?
Salute, mwezi wa pili nataka nijaribu kufanya biashara ya mayai ya kienyeji kutoka Singida hivyo kwa wazoefu wa hizi mambo kule Singida vijijini bei za tray za mayai zinauzwaje na changamoto zipi...
Naombeni ushauri je ununuaji wa hisa unalipa maana kuna bank inauza hisa 265 tsh hisa moja je inalipa na wataka ununue hisa kwanzia 100 je naombeni ushauri ununuaji wa hisa unalipa
Sent using...
Msije sema hamku tahadharishwa!
Kinachotokea ni hiki hapa: unanunua line iliyosajiliwa kwa jina la mtu mwingine, nawe kuanza kuifanyia biashara. Nimesikia ( sina uhakika) kinachotokea ni kwamba...
Wana jamvi naomba niwasilishe mada hii kama kijana ambae nataka na napenda sana kufanya biashara changamoto kubwa niliyokua nayo.
1. Ni biashara gani ya kufanya
2.eneo la kufanyia biashara...
Nimeshangaa sana kusikia tangazo la Tatu Mzuka ambalo jamaa anamshanga muuza duka kujaza vitu dukani na anamwita ni Freemason.
Yaani nyie Tatu Mzuka mnawezaje KULINGANISHA UTAJIRI NA FREEMASONS...
Mara nyingi kwa level ya taifa kuna baadhi ya sector za biashara zinaonekana kama ndo zina msaada mkubwa kwenye uchumi wa nchi..
Kwa wana JF w unavozan n sector gan zina mchango mkubwa katika...
Habari zenu, wapendwa Nina Noah yangu nataka kufanya biashara ya kubebea abiria ndani ya mkoa Wa dar ukiacha kwenda mjini ni njia gani naweza kubebea abiria mfano kama kimara Na goba au maeneo...
Habarini Wanajf!
Bila kupoteza muda naomba mwenye uelewa wa hatua za kufuata ili kupata mkopo wa biashara katika Benki ya NMB.Mimi ni mjasiriamali,ninataka nikope ili niongeze Mtaji.Msaada wenu...
Kuna mahala nimepata pakuweka daycare centre na watoto ni wengi kiukwel sasa wasiwasi wangu ni kugombana na serikal. Naomben msaada procedure za kufata nisajili daycare. Niende wap? Nahitaji...
Habari wanajukwaa,
Natumai mwaka tumeuanza Salama Salmini.Mwanzoni mwa mwaka mambo hua mengi baada ya mapumziko kuna Ada za Watoto kuna mambo ya Kodi na kadhalika, Inabidi kujipanga vizuri...
Kama uandaaji wa vitabu vya kodi kwa upande wa mfanya biashara je huandaliwa sawa na vitabu/makabati (samahani kwenye A/C ndivyo tulikuwa tunaziita) vya/ya income statement na balance sheet ??
Na...
Wakuu Sina mengi ya kuwachosha nipende kuchukua fursa hii kuwapa Hamasa ndugu zangu; kaka zangu, Dada zangu, mama zangu, Baba zangu nk.
Kama Kuna mtu Ana softcopy ya kitabu cha poor dad rich dad...
Habarin wakuu
Kwa anaefaham nauli ikoje anifahamishe kutoka lusaka(zambia) had gaborone(botswana) pia maisha ya botswana yako vp kiujumla,karibun
Sent using Jamii Forums mobile app
The World Food Programme (WFP) yesterday signed a contract to purchase at least 36,000 tonnes of maize from Tanzania at a ceremony that was also witnessed by President Dr. John Pombe Magufuli...
Kwa mujibu wa TCCAA sababu kubwa iliyopelekea kusitishiwa Leseni ni deni la bil.6 inalodaiwa na wadeni wake.
Naomba kuuliza kwa mnaofahamu , hivi ATCL iliwalipa kwanza wadeni wake ndo ikaruhusiwa...
Mauzo ya bidhaa za kitanzania katika nchi za SADC yameripotiwa kuongeza maradufu katika mwaka 2017/18 ikilinganishwa na hapo nyuma, kwa mujibu wa ripoti ya BOT ya economic operations annually ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.