Habari za hapa,napenda kuwashirikisha biashara moja nzuri
Kuna taasisi ya serikali inaitwa nhbra-national house building research agency,hawa wanatoa mafunzo jinsi ya kutengeneza vigae vya kupaua...
Kwema wakuu?
Poleni na harakati za Januari hii..
Kutokana na ugumu wa maisha nataka kujilipua niingie migodini pande za Nyalugusu huko ila sina uzoefu na mazingira ya huko.
Ningependa kupata...
Moja kwa moja kwenye Mada husika. Sifa za eneo hili nilipo Sasa la salon.. Salon nimeinunua mwaka Jana kutoka kwa mmiliki m1 ambaye yeye Hana hakua na miezi mingi.
Pembeni hatua kias cha kutupa...
Mabwana Kwema mm Ni kijana wa makamo Miaka michache iliyopita baada ya kumaliza shule na kukaa mtaani nikaona fursa moja Ni kujiajili na nilikuwa mtu mwenye Ndoto kubwa Sana ....I mean in the next...
Hali ya upatikanaji wa mitaji ya biashara kwasasa hapa nchini ni mbaya sana hususani kwa wafanyabiashara wadogo wadogo,
Serikali inapaswa kuangalia namna ya kuwekeza ktk mikopo ya kibiashara...
Wakuu habari, nahitaji mkopo wa million 3 niweze kutatua shida iliyonikaba sasa, narudisha baada ya miezi mitatu Kwa riba nafuu nitakayoambiwa, dhamana ni kiwanja cha sqm 1000 kipo Kigamboni...
Ujasirimali ni uzinduzi, ubunifu na uendeshaji wa biashara then kuwa na uwezo pamoja na nia ya uendelezaji wa hiyo biashara.
Unapokuwa mjasiriamali inamaanisha unatakiwa kupitia mchakato wa...
Wakuu nina shida ya haraka nahitaji mkopo wa million 3,nitarudisha baada ya miezi mitatu, dhamana ni kiwanja chenye sqm 1000 kipo mwasonga Kigamboni. Nitashukuru kwa kila jibu nitakalopata
Sent...
Habarini za jion humu ndani.Mimi ni app developer based on android,nina apps zangu kadhaa nimelink na adsense ili kunipatia kipato nashukuru Mungu zimefika dollar kadhaa na google wameshanitumia...
1: Tumia pesa baada ya kuhifadhi, Usihifadhi pesa baada ya kutumia (spend money after saving, do not save after spending).
2: Jitahidi kuwa na mzunguko wa pesa wa mara kwa mara (passive income)...
Habari za Jpili JF, Nina wazo la kuanzisha Duka la kisasa la Dawa za mifugo, naishi eneo la wafugaji hivyo sina wasiwasi na wateja. Issue ni dondoo za biashara hii, mfn.Dawa za jumla zinanunuliwa...
Tunajihusisha na kutoa elimu na ushauri wa afya ( magonjwa, dawa, vyakula, urembo na vipodozi) kwa jamii zote za Tanzania na sehemu zingine nje ya Tanzania kwa lengo la kulinda na kusaidia jamii...
Chuo nilimaliza mwaka 2017 pale ruaha Catholic
Kulikuwa na duka home kutokana na uongozi mbaya likafilisika wakalifunga....nilikuwa na laki 5 tu nilipoamua kulifungua upya(nnadhan mnajua kuwa...
Financial securities (Financial instrument/Financial asset) au Dhamana ya fedha ni mikataba ya fedha yenye thamani ya pesa na yenye uwezo wa kuuzika kati ya washirika wawili. Inaweza kuwa fedha...
Mgogoro wa kifedha 2008 (mporomoko wa uchumi) ulianzia nchini Marekani then kusambaa kwa mara ya kwanza katika nchi za Ulaya baadae Asia na mwishowe Africa.
Baada ya miaka mingi ya kukuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.