Is the second highest uninterrupted fall in Africa after Tugela-South Africa),located on the Kalambo river near the southeastern shore of L.Tanganyika on the Tanzania-Zambia border. Discovered way...
Kama uandaaji wa vitabu vya kodi kwa upande wa mfanya biashara je huandaliwa sawa na vitabu/makabati (samahani kwenye A/C ndivyo tulikuwa tunaziita) vya/ya income statement na balance sheet ??
Na...
Wakuu katika biashara washindani ni watu muhimu sana na wana faida nyingi sana na moja wapo ikiwa ni kukufanya uongeze bidii katika biashara yako
Na katika biashara kuna aina kuu Tatu za...
GREAT THINKER VIPI HAYA MATATIZO TUMEISHA YAPATIA UFUMBUZI? AU NA SISI NI SEHEMU YA MATATIZO?
Hili jukwa limekuwa na Watu wanatoa michango mbalimbali na watu wanakuja na Aidea zilizo enda shule...
nani mkweli baina ya BOT na international data
usd to tsh - Recherche Google
https://www.bot.go.tz/FinancialMarkets/ExchangeRates/ShowExchangeRates.asp
WAKUU WASALAAM! AU MWAGONA!
MIMI NINAPENDA KUANZA MCHAKATO WA KUNUNUA MASHAMBA NIPANDE PARACHICHI ZA KISASA HAPA MBEYA MAENEO YA MPOROTO, ISYONJE, MBOZI.
NAOMBA MNIJUZE CHANGAMOTO ZA HICHI KILIMO...
Natafuta wataalamu wanaoweza kuafanya tathmini ya bodi (board evaluation) na wanaoweza kutengeneza sera ya kutafuta fedha(fundraising policy)
Wadau tusaidiane
Sent using Jamii Forums mobile app
CFA (COMTAZ finance Africa LIMITED), we are the bridge between your project/business/ startup/Idea and finance, Never fail to reach your goals because of lack of capital or collateral. We are here...
Wakubwa! Kama kuna mwenzetu humu. Anaelewa ni wapi naweza kupata machine (mpya kama hiyo hapo chini) hapa Tanzania.
Anijuze Vitu kama PRICES etc
Product Description
TDS-1821...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Bwana Joachim Wangabo amesogeza mbele kwa muda usiojulikana ziara yake katika Wilaya ya KALAMBO baada ya zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya Wajasiriamali kususua.
Ziara...
Wadau, chekini taarifa ya fursa hiyo hapo chini kutoka TCCIA;
Ndugu Viongozi wa TCCIA,
Tunapenda kuwajulisha kuwa tumepokea barua kutoka Wizara ya Viwanda,Biashara na uwekezaji kwamba Ofisi ya...
Kwa masikitiko makubwa sana ndugu zangu ninaleta malalamiko yangu kwa serikali yangu Pendwa, Hivi mnatutaka nini wafanya Biashara? Hizi restriction Mlizoweka kila mahali kuwa na uhitaji wa...
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza kwa mwana jamvi yeyote Alie na uelewa na hii campuni ya Tpurchase ambayo inajihusisha na online investment Kisha kurudishiwa asilimia 40 ya pesa uliowekeza...
Private sector inajiendesha bila kutumia kodi wala kupata ruzuku. Ingini kubwa ya private sector ni kuwa holela, njia za mkato, ukwepaji kodi, utoaji ajira zisizo na uhakika sana na kutengeneza...
Mi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nachukua shahada ya uhasibu. Wana JF nina mtaji sh. Million 5. Je naweza kuwekeza katika aina gani ya biashara na iweze kunilipa vizuri kwa miaka 2. Naombeni...
Za asubuhi wadau,
Nilipata tender ya kumtengenezea mteja barcodes kwa ajili ya bidhaa fulani ambayo anataka kuiuza sokoni. Sasa nilitaka kujua - je kuna njia rasmi ya kujua whether or not bar...
Wakuu ,, Heri ya Mwaka mpya!!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,, ninae kijana wa kiume wa ndugu yangu ambae amemaliza darasa la saba mwaka Jana lakini kwa bahati mbaya hakufanya...
Heri ya Mwaka Mpya 2019!
Kwanza natoa pole kwa madalali mliodhulumiwa pesa zenu na wateja. Pia natoa pongezi za dhati kwa madalali wanaofanya kazi zao vizuri na kwa uaminifu. Kuna usemi usemao...
Enyi wafanyabiashara au wajasiriamali,msipende kukatumia haka kaneno 'boss' mfano Karibu boss,umetaka ipi boss?,
Ni neno ambalo linatumika in various environment. But let me be specific kwa case...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.