Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mimi nina mtaji wa 650000 je ninaweza kulima zao gani au ela ndogo sana nilikua namba msaada wanajf Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
6 Replies
1K Views
kama nikishakuwa na business name halafu nikachukua tin halafu nikaenda manispaa kuchukua leseni ya biashara si nitakuwa tayari na uhalali wa kufanya biashara? au kuna kitu kingine naomba mnipe...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
___MAKOSA KATIKA PESA__ [emoji383]MONEY MISTAKE 1 Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba...
15 Reactions
57 Replies
6K Views
Huduma ya Haven Ride Sasa Imeanza Rasmi mikoa yote Tanzania, ukiwa dereva au abiria nenda Playstore Download App yenye Jina Haven Ride, Mikoa ambayo tayari ina madereva Wengi hewani ni Dar, Dodoma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natafuta mshirika wa biashara dar es salaam awe na sifa zifuatazo awe na stationary yenye internet cafe ndani yake awe tayari kumiliki share za biashara tutakayoifanya kwa maelezo zaidi...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Dar es Salaam — The precision of trading processes and standards at the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) Plc has attracted the attention of international observers, granting the 23-year-old...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Karibu KIMOMWE MOTORS LTD tukuagizie gari kutoka Japan na sehemu mbalimbali ,kwa bei nafuu kwa muda muafaka. Tupo magomeni mapipa mkabala na kituo cha mwendokasi ,jengo la Rubeya gorofa ya kwanza...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
http://MyPayGrow.com/?userid=52575 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Habari Wanajamvi! naomba Kujua Njia nzuri ya Kukuza soko la mikate Au Bidhaa yoyote. Kwa mtu anae subir Mteja aje Dukan Kununua Bidhaa. Assuming other Factors are Constant. Liko location nzuri...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
wakuu Nimepata frem kwenye eneo la shule mwanzoni wakati naitafuta nilikua nataka kuweka saluni ya kunyoa ila wameniambia saluni hapana maana lile eneo vyakula vinapikwa sana kwa hiyo itakua...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Msaada wa biashara ya Gym (Body Fitness), ili uweze kufungua gym bora ya kisasa unatakiwa uwe na mtaji wa sh. ngapi. Nimeona fursa hii kuna sehemu watu wana huitaji wa gym yenye vifaa vya kisasa...
0 Reactions
30 Replies
11K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mjasiriamali ambaye afanya biashara mtandaoni. Juzi nimepata mteja ambaye anahitaji bidhaa tofauti na zile ambazo nimekuwa nikiziuza. Jamaa yupo...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari za mchana wakuu, Naomba msaada kwa wenye uzoefu na kodi za TRA. Nataka kuagiza bidhaa kutoka nje (China) kwa njia ya mtandao (Alibaba). Ni bidhaa tofauti kwa matumizi yangu binafsi ikiwa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Source: Mtanzania aliyeshiriki kuunda Dreamliner kutunukiwa tuzo By Elias Msuya, Mwananchi emsuya@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Mtanzania aliyeshiriki katika uundwaji wa ndege Boeing 787-8...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi ndugu zangu Kuna kampuni inajiita enternal international wanajishughulisha na kupima mwili mzima kwa sh elfu 10 kisha wanakuuzia dawa Hii kampuni ni network marketing ila wao...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari zenu Wakuu! Natafuta mtu wa kunikopesha milion 3 kuna jambo nataka nifanye, na uhakika wa kumlipa ndan ya miez mi2 milion 3 na nusu. Nitailipa kwa uaminifu mkubwa tu Kiwanja kina hati ya...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari yenu wakuu, ni matumaini yangu mu wazima wa afya. Kumekua na misemo na dhana kwamba wasomi wengi hawapendi au wanashindwa kujiajiri, na hutegemea kuajiriwa tu au kazi za mteremko...
9 Reactions
166 Replies
18K Views
Hii biashara inalipa sana, sema wamiliki walio wengi nao lazima wanaoja. Je kwa mtu asiyetumia pombe hii biashara ni rafiki kweli? Kozi nimeona wengi sana ambao hawakuwa walevi ila wakianza hii...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
ATI ni Association of Tanzania Insurers. ATI waliweka tangazo kwenye magazeti mbalimbali wakitaka wamiliki wa hospital binafsi wawe wanachama wao ili waweze kufanya kazi na mashirika ya bima ya...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Kama kuna mtu yeyote ana pochi ya Ipad tuelekezane bei. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Back
Top Bottom