Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari za Mchana huu waungwana. Niende moja kwa moja kwenye mada iliyobeba kichwa cha habari hapo juu. Kukotokana na kukithiri kwa wizi wa mtandao kupitia simu za Mkononi ni wakati mwafaka kwa...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Wakuu hamjambo, nmepita maeneo fulani hivi katika matembezi, nimeona mwamba huu wa rangi kama nyeusi hivi; ikabidi nilichukue kwa uchunguzi zaidi, test ya kwanza nimefanya kwenye sumaku na...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Unawezaji kupunguza woga wa kushindwa katika biashara? Wasi wasi wakushindwa umetuzuia hatakuanza, na tumekuwa tukishindwa hata kabla ya kuanza, yaani kabla mtuhajafikilia kuanzisha biashara...
13 Reactions
35 Replies
9K Views
Nimekutana na watu kadhaa wanao anza biashara au miradi, haswa waajiriwa wanao taka kuongeza kipato nje ya ajira zao, wakikata tamaa na kuachana na hab ari ya miradi pale zinapo ibuka changamoto...
13 Reactions
17 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Kuna idea ninayo sasa itanilazimu kuanzisha kampuni, nimepanga kwanza ntaiendesha kama kampuni ndogo na nafikiri ntaanza na kama waajiriwa wawili au watatu. Ila sasa kuna kitu...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee. Hayo yametanabaishwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika Biashara kuna faida serikali ikamiliki hisa 100% au Serikali iuze shares at least by 20%? Serikali ibaki na 80% na public (watanzania) wanunue 20% Mimi naona wananchi wakinunua share...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari ndugu, mimi ni kijana mjasiriamali nipo Nzega-Tabora, nauza karoti kwa rejareja na jumla, pia nasambaza kwa wauzaji wa masoko mengine kama kahama, Igunga, Tabora mjini. Nifanyeje ili niweze...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ELIMU YA UJASIRIAMALI: KUELEKEA KWENYE MAENDELEO ENDELEVU TANZANIA Baika – Mr. (March 2018) 1.0. Utangulizi U limwengu unabadilika kwa kasi kubwa. Kwa hakika jamii yoyote ambayo haijajiandaa...
3 Reactions
17 Replies
12K Views
Naomba kusaidiwa jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka china kupitia alibaba express Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
4K Views
HUDUMA ya M Pesa inayotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imetajwa kuwa chachu ya hatua kubwa iliyopigwa na Tanzania katika kuhakikisha watu wake wengi wanafikiwa na huduma za kifedha...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu Leo nimeona nije na Mada hii ili ndugu zangu mlioko mjini mnufaike kupitia mawazo yangu! Iko hivi mjini Kuna watu wengi tofauti na kijijni. Yaani Unakuta nyumba 1 Ina watu zaidi ya 20...
5 Reactions
40 Replies
6K Views
Kuna mafanikio aina mbili katika maisha japo dunia huangalia zaidi mafanikio ya nje lakini kuna mafanikio ya ndani ambayo ndio ya muhimu kuliko vyote. Kumbuka kitu chochote kabla hata...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Source : Bank of Tanzania: Financial Markets - Interbank Foreign Exchange Market (IFEM)
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naombeni msaada nifanyeje niweze kudhibiti wazo la biashara? ninakuwa na malengo ya biashara kabla sijawa na mtaji. Lakini kila nikipata hela najikuta nachanganikiwa nisijuwe nifanye biashara...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Billioni 1.1 ni watu waishio afrika na zaid na millioni 150 ni watu waishio EAC pia na watu zaidi ya million 56 wanaishi Tz Na pia katika hizoo idadi kubwa ni vijana sasa nakuuliza ww kijana...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za humu jamani Naombeni msaada wenu. Ninafanya biashara ya nguo za vitenge yaani nabuni nguo kisha nauza kwa watu kwa rejareja. Ombi langu ni kwamba najaribu sana kupanua biashara yangu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za majukumu wanajukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Nina ndugu yangu kaenda marekani, Texas. Sasa kanambia anataka anitumie pesa kwa njia ya Western union. Hii njia ni ngeni...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Nimepata chumba katika hilo soko,ile floor ya katikati...nilitaka floor ya chini lakini zimejaa,nilipanga niweke nguo lakini kwa floor hii ya kati nguo ni changamoto. Naombeni kujua kwa wenye...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom