Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau, Naombeni idea zenu kuhusu biashara gani naweza kufanya kati ya Zanzibar na Bara (ikiwezekana Dar). Na pia kuhusiana na masuala ya kodi. Mtaji ni kama 10m. Shukran.
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Nashkuru sana baada ya kupigwa ban nimepata adabu ya kuwaheshimu viongozi wa Jamii Forums. Naomba mawazo, nina kamshahara kangu napokea kwa mwezi kanapitia NMB sasa nataka kuweka AKIBA kiasi...
4 Reactions
42 Replies
6K Views
HELLO! Leo naomba tusaidiane suala moja, ni ukweli usio pingika kuwa ujasiriamali ni jambo ambalo linaweza kuokoa vijana katika tatizo hili la ukosefu wa ajira lakini kibaya ni kwamba vijana...
4 Reactions
5 Replies
3K Views
NIna tatizo linanisumbua la kuingiza maji ndani kupitia madirisha ya Aluminium Mvua kidogo tuu ikinyesha maji mengi yanaingia ndani, tumejaribu kujaza silicon lakini haikusaidia, naomba mwenye...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Ni majuzi tu tuliambiwa na waziri pale mjengoni kuwa korosho itashuka bei kutoka 3300 hadi 2600 kisa imeshuka ubora[emoji16] lkn sasa someni hapo kwenye tangazo la dalali wetu In God we Trust
2 Reactions
85 Replies
7K Views
Natural Resources and Tourism minister Ezekiel Maige (pictured) was again in the firing line here yesterday over what Members of Parliament described as deliberate mishandling of procedures...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nianze kwa kujitambulisha kama mdau wa viwanda na kiwanda changu kina tumia kwa wingi unga wenu wa Azam Ngano. hapo mwanzo unga wenu ulikua mzuri sana very soft lakini hivi sasa umekua mbaya ule...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mama kwa hakika serikali ya Tanzania haikukosea kuipa cheti cha ushindi kwa mabus ya Tahmeed. Sasa Tahmeed wamezidi kudhihirisha kuwa wataendelea kuwa vinara kwa vipindi vyote na kukosa mpinzani...
26 Reactions
170 Replies
35K Views
Greetings, Binafsi nilifungua malkia account kwenye bank ya crdb ambayo kila mwezi nilitakiwa kuweka elfu 50. Kutokana na sababu za kuumwa nilishindwa kuendelea kuweka hela km ilivyotakiwa. Kwa...
1 Reactions
8 Replies
10K Views
Habari wakuu.Naomba kufahamu namna ya kuexport raw cashew nuts ,ni documents gani unapaswa kuwa navyo na taasisi gani za kiserikali zinahusika katika utoaji wa hizo documents. ( Kwa sasa serikali...
1 Reactions
1 Replies
961 Views
Nataka niagize bidhaa china kuna mtu alinigusia Kua naweza agiza kwa kutumia hawa alibaba nimedownload app yao nakupitia pitia bidhaa ninazotaka nimeona bei ni rafiki kabsaa Ila kitu ambacho...
1 Reactions
9 Replies
7K Views
Nchi ya Kenya wanajitahidi sana kufikiria na kupanga kipi wanachoweza kuuza katika nchi za ulaya na kwingineko, Kikundi cha C-Weed Company and women members of the Kibuyuni Seaweed Farmers group...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wapenda mimi naitaji kufungua biashara ya kuuza spea za pikipiki asa san na aujue nipo Songea ningependa mwenye uwelewa anisaidie kunipa mchanganuo wake na pia mtaji ni kama kiasi gani...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
[13:31, 1/15/2015] AKILIMALI: 2. Tumia muda wako kuongeza kipato chako. Ndg yangu imekuwa ni changamoto watu hatujui kuutumia muda vizuri. Nimekuwa nikiongea na wafanyakazi visingizio vyao...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Ukanda maalum wa Uuzaji Bidhaa Nje ya Nchi (Export Processing Zones) Mpango maalum kwa ajili uanzishaji wa uwekezaji unaolenga katika mauzo ya bidhaa nje ya nchi kwa ili ya kuanzisha ushindani wa...
5 Reactions
3 Replies
2K Views
Wazo la biashara ambalo hujalipima kama linakubalika ama la laweza geuka bomu la kukumalizia mtaji wako. Make sure you validate your idea. 1. Jaribu kuangalia kama kuna mwingine anaefanya...
4 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau habarini za Jumapili? Tafadhali naomba kufahamishwa vizuri matumizi ya huu mfumo wa TANCIS, naskia Tanzania Customs Integrated System. Je mtu akikwambia kuwa Stuck on Tancis ana maana gani?
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Poleni na majukumu wadau na wanajukwaa. Katika harakati za maisha, siku moja nimekutana na sarafu za DIME ambazo zilikuwa zinatumika katika Taifa la United States. Ni sarafu isiyokuwa na thamani...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari, Kwa yoyote mwenye kujua jina la mawe haya sambamba na soko/bei Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kipindi nikiwa Tanzania rate ilikua Tsh 20 = 1 Ksh, lakini leo muamala wa Mpesa ya Voda kuja kwa Kenya, rate inatumika Tsh 23.48 = 1 Kshs Kwa dollar ndio imebamizwa chini maana naona rate...
10 Reactions
69 Replies
6K Views
Back
Top Bottom