Katika harakati za kujiajiri kuna mambo manne ambayo endapo yataweza kukutana kwa pamoja basi suala la kujiajiri na kukua kijasiriamali litakuwa kama baraka kwako. Mambo hayo ni:
a. Wazo sahihi...
Hii habari itakuwa ni mwiba kwa wale waliokuwa wanabeza ununuzi wa ndege kubwa ya Boeing 787 Dreamliner,pitia hii link Ndege kubwa zaidi ya abiria duniani kuacha kutengenezwa...
Sent using Jamii...
Kumekuwa na mafundisho mengi yanayosema ni vizuri kuandika busines plan kabla ya kuanza biashara/mradi,Lakin ukifuatilia kwa undani hakuna business plan hata moja ambayo huwa inaonesha kipindi cha...
ninauwezo mkubwa sana wa kutengeneza chai masala lakini nashindwa kuingiza sokoni kwa sababu ya viofungashio na elimu juu ya hii biashara na ukizingatia hii bidhaa ni bora sana na ni ya asili pia...
Wakuu nimetoka kuongea na Vodacom Naombeni wazoefu nisije tapeliwa na naambiwa nitumie simu nyingine nifuate maelekezo ili nitumiwe pesa nilizishinda
Nimestuka Maana laini yangu ni mpya Ina wiki...
Naitaji mawazo yenu ndugu nina kazi ya kuniingizia kipato kidogo sana ambacho hakiwezi kusongesha maisha ya mimi na familia yangu kisipo pata sapoti kutoka vyanzo vingine .......Nina kiasi cha...
Wadau sekta ya usafiri wa anga imeyumba kwa upande wa shirika la Singapore airline la nchini Singapore taarifa zinasema shirika ilo limendika anguko la faida ya kibiashara kwa kiwango cha asilimia...
Hivi leo wanawake wamekuwa mstari wa mbele katika kuwahi na kufanyia kazi fursa mbalimbali.
Fursa hizo ni pamoja na uwekezaji katika biashara ndogo na za kati. Ni dhahiri kuwa mama ndiye...
Habari wakuu.
Baada ya kufanya majaribio ya bidhaa mbalimbali, napenda kushare nanyi kitabu kinachofundisha jinsi ya kutengeneza bidhaa hizi mwenyewe bila mwalimu.
Kimekusanya bidhaa zaidi ya kumi...
Ivory coast bei ya korosho imetangazwa kuwa TS2580/=, tusisahau kuwa hiyo ndio nchi inayo lima zao nyingi la korosho duniani. Pia wamewarahisia sana ununuzi wadau
Hii ni athari kubwa sana kwa...
Licha ya kwamba Biashara ya Usafiri wa pikipiki maarufu kama Boda boda kuwa maarufu kote Afrika Mashariki. Visiwani Zanzibar imepigwa marufuku na inafanywa kinyume cha sheria.
Wale wanaojihusisha...
Wakuu salam,
Nahitaji kujenga vyumba vya kupangisha kwa watu walio single yaani chumba na sebule ndogo na choo cha ndani. Nahitaji vyumba vitatu, nitatumia matofali ya kuchoma, bati za kawaida na...
Jana nilibahati kakukaa wa wanazengo katika mitaa ya kati kujadili changamoto za kimaisha na hasa kwa wanaoishi mjini. Nimegundua kwamba maisha ni magumu kwa kila mtu sio mfanyakazi wala...
Najiuliza naomba tushirikishane uzoefu kuhusu nyumba za kupanga. Nia ni iwapo mtu anataka kujenga nyumba zaidi ya moja kwenye kiwanja kimoja, wapangaji wenye vipato vya kati na kuendelea...
Nawasalimu kutoka jinini Mwanza, Mwaka jana nimeingia kwenye biashara ya kukatakata magari haikuwa rahisi kwa sababu nilikuwa sijui chochote kuhusu magari na ukizingatia ni biashara inayohitaji...
Wakuu,
Mwaka jana nilianzisha kiofisi changu kidogo tu mtaani cha secretarial services (hasa kuprinti na kuscan kwani nilibaini kuwa nilipo ni njia kubwa ya wanachuo) baada ya kupata laptop...
Haya tena tunaopenda kula riba karibuni
Leteni list ya mabenki na offers zao tuone zipi zinalipa in 3/6/9 and 12 months
Leteni namba za percentage za hizo interests ili tujue ukiweka milioni...
Wakuu naomba mwenyewe uzoefu wa masafa ya mataifa ya Afrikaa anipe Bei ya nauli ya Burkina Faso ni usafiri gani mzuri niutumie Kuna mzigo naenda kufuatilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hellow bosses i hope mpo poa
kwa anae fahamu njinsi au namna gani naweza kupata namba ya kampuni ya kufanya malipo kupitia mitandao ya sim
mfano namba ya kampuni ya mbet kwenye mitandao ya sim ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.