Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Katika kusaka pesa huwa tunashauriwa sana kusimamia tunachokiamini na kukomaa nacho. Hili halina ubishi. Ila kuna experience inayoashiria kuwa mazingira yanavyozidi kubadilika umuhimu wa kuwa...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Maji haya Kwa sasa yamepoteza ubora hasa yanayopatikana Dar es salaam. Yana chumvi na ukakasi, siyapendi.
9 Reactions
106 Replies
12K Views
Mimi kama kijana nimefungua biashara yangu binafsi na nimeweza kupata fremu na sikosi vijisent japo mtaji wangu sio mkubwa sana ila nina dhamira ya kukuza biashara ata baadae nitoe fursa kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar wana jf nataka kufanya biashara ya vocha za jumla sijajua utaratibu wake na faida yake km nitapat mtyu kwenye ujuzi na hii biashara akanielekeza itakuwa safii kwan atakuwa kanisaidia sanaa...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu habari za Miangaiko, Mabati yangu yameanza kupauka hivi na kuweka vitu vinavyoonekana kama kutu hivi. Nataka kupaka rangi hivyo naomba uzoefu na kujua rangi ya kampuni / aina gani hasa...
2 Reactions
3 Replies
6K Views
Habarini za leo ndugu zangu, Sitaki kupoteza muda naenda moja kwa moja kwenye lengo, Humu ndani kuna watu wenye shughuli mbalimbali wapo waliofanikiwa kupitia biashara,kilimo ajira n.k Napenda...
2 Reactions
80 Replies
20K Views
Habari zenu! Naombeni msaada wa namna ya kupata mkopo wa haraka sana wa kiasi cha mln 5 hadi 10 Mimi nafanya kazi katika mashirika binafsi kwa miaka 6 sasa. Na shirika hili tunapewa mikataba ya...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Leo nilikua na mlolongo mrefu nimeanza Tigo shop, Airtel shop, kisha TRA. Lengo nipate miongozo na hatua za kupata laini za wakala. TRA sehemu ya mwisho kupita nimeambiwa kwanza nipate TIN...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari wadau nilikua nahitaji kumiliki bajaji nna miliin 2 naomba mkopo kwa makubaliano na riba tutakayoongea pia nna nyumba kama atataka iwe dhamana naomba kama kuna mtu binafi wa kunikopesha...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Habarini za asubuhi wadau, Nipende kumshukuru MUNGU kwa kutupatia siku nyingine ya leo. Nilikua naomba msaada wa kujua hili jambo. Natamani nifanye biashara ya mazao kupeleka nje ya nchi. Tatizo...
3 Reactions
5 Replies
4K Views
Nataka kuuza mitungivya oxygen kwa ajili ya kuchomelea.. tatizo nime shindwa kuwapata ma supplier.. nipo mbeya Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wananbodi, Nimekuja kivingine sababu wafanyakazi tunaonewa,kuna kitu kinaitwa BIMA tunashindwa kuelewa ni kitu gani sababu wanatukata fedha zetu halafu kutulipa inakuwa ni taabu sana,wanasema...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WAFANYABIASHARA wa mikoa ya Kanda ya Kaskazini wameonesha nia ya kuanza kutumia Bandari ya Tanga kupitisha shehena ya mizigo yao baada ya kuridhishwa na mabadiliko makubwa ya mfumo wa utendaji wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sekta ya Utalii ilikuwa ni mchangiaji mkuu wa mapato ya fedha za kigeni kwa mwaka 2018 (Januari hadi Desemba 2018), Ripoti ya Benki ya Tanzania (BOT) imeelezea. Katika ripoti ya BOT ya mwezi kwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa uzoefu wangu wa kutumia amazon bidhaa nyingi nilizoagiza mtandaoni garama yake mpaka kunifikia imekuwa kubwa kwa zaidi ya 25% kuliko bei ambazo maduka ya hapa tz huuza. Mfano unakuta Samsung...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi ni mwananchi wa kawaida, lakini nimekuwa nafuatilia Vyanzo mbalimbali vya Mapato kwa Taifa letu.Tunaona Mbuga zetu zinavyokusanya, Madini yetu, Maliasili, Kilimo Anga n.k.lakini sijaona...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Viwanda Vidogo Majumbani – Mijini, Miji Midogo na Vijijini Jinsi ya kuanzisha na kuendeleza viwanda vidogo-vidogo Tokea miaka mingi viwanda vidogo-vidogo vimeonyesha umuhimu wa kusaidia ukuaji...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Nakumbuka niliwah kuleta thread nkiomba ushauri kuhusu kupanga....maana nilikuwa nafanya biashara stil nikiwa home maana ndo kwanza nilitoka chuo....sikuwa na ajira ndo nkaamua kujiajiri kwa...
8 Reactions
28 Replies
5K Views
wakuu habari zenu, nilikuwa napita mtandaoni ghafla nikakutana na huu mtandao Numista unatumika kuuza sarafu za mataifa mbalimbali hususani zile za miaka ya nyuma kidogo. Sasa binafsi nikakumbuka...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwanza nianze na shukrani kwa ndugu mkuu utakae jitoa kwa kunielekeza mawili ma3 jinsi ya kutuma kuweka na kuwatolea watu pesa... Ninaanza Airtel na tigo. Kwa Sasa najishugulisha na salon yani...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom