Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

VITU VIWILI VINAVYOKINZANA KUHUSU MAFANIKIO YAKO. Watu wengi wanafeli, watu wengi wanashindwa kufikia ndoto zao na hata kuanza hatua ya kwanza kuelekea ndoto zao kwa asilimia kubwa ni kutokana na...
10 Reactions
8 Replies
3K Views
Jamani mm ni kijana ambaye unapenda sana kujiajil sema nataka nifungue kama bar ya kunywa vivywaji mbali mbali ,Naomba mchanganuo wa ghalama zake Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
2 Reactions
2 Replies
836 Views
Jarida la Bloomberg la Marekani limeeleza kuwa, takriban biashara nane kati ya kumi ambazo huanzishwa, hufa baada ya muda wa miezi 18 (mwaka mmoja na nusu). Takwimu hizi zinamaanisha kuwa katika...
15 Reactions
28 Replies
7K Views
Vitalu vya uwindaji wa kitalii 71 kati ya 159 vilivyopo nchini vimerudishwa na wawekezaji licha ya kuwa na idadi kubwa ya wanyamapori kutokana na sababu mbalimbali ikiwapo kuyumba kwa biashara ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wanabodi naomba msaada ,mwenye kujua gharama ya usafiri kuelekea Namibia anielekeze
0 Reactions
40 Replies
13K Views
Habarini wanajamvi Mimi Niko morogoro ilah nilifika tanga mjini soko la mgandini nikakuta magari mengi malori ya Azam yamebeba vitunguu ,makabichi,nyanya na vitu vingine nkaambiwa kwamba vyote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mmoja kati ya wanaojifunza hii biashara ya fedha za kigeni, Katika kusomasoma vitabu na kupata uelewa kidogo kuhusu forex nimekuwa na sintofahamu moja ambayo nadhani kwa wale ambao kwasasa...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Wakuu ni naomba kwa waliomaliza kushugulikia biashara ya wakala wa niambie kipi kinahitajika hapa Kati ya lesen ya biashara na TIN? Nisije sumbuka hapo mbeleni naanza shugulikia juma 3.. Nimeanza...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kumekuwepo na drama nyingi kuhusiana na KOROSHO, binafsi nina swali langu moja tu napenda kujibiwa na serikali au mdau yeyote anayeza maana serikali wenda wasijbu kwa kukosa majibu au kudharau...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari wanajf! Naomba ushauri kwa yeyote mwenye experience juu ya mikopo ya wafanyakazi kutoka kwenye mabenki yetu hapa nchini, ni benki gani inatoa mikopo mizuri (hela kubwa kidogo na riba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mawazo yenu tafadhali: nitafanya biashara gani nzuri na ya uhakika kwa mtaji wa TSh. 50M -100M?
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Salaam wanajukwaa.. Naomba kuweka uzi huu mfupi. Ktk biashara kuna biashara ambayo bidhaa zake zinakwisha, na biashara ambayo haiishi. Biashara ambayo bidhaa inakwisha ni kama duka, unajaza...
5 Reactions
23 Replies
5K Views
Naombe ushauri wana jf mimi ni muajiriwa katika kampuni flani hiv mshahara wangu unakidh maitaji yngu yote tatizo nililonalo ni mzito wa kuweka akiba kwa ajili ya maendeleo ya baadae. Sasa nifanye...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Pombe ya mnazi ni asilia, haihitaji chachu, inachachuka yenyewe. Kwa sisi watu wa Pwani hii pombe ni sehemu ya mila. Kwenye matambiko, posa au harusi ni lazima iwepo. Hili nimeligundua hata kwa...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Habarini wana JF..? Naomba msaada kufahamu mashine za kufumia sweta. • Bei yake complete • Aina ya mashine hasa iliyo bora • Zinapatikana wap? # Niko seriously kwa hili ndugu zangu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanza nianze kusema kwamba sina neno baya na mtu yeyote anayejihusisha au kufundisha biashara hii. Ni biashara inayoweza kuwa mkombozi mkubwa kama itafanywa kwa ubunifu, umakini na uangalizi...
13 Reactions
60 Replies
12K Views
Naweza sema sijachelewa sana kuyajua haya machache yakiyomo kichwani mwangu kuhusu forex. Najua vizazi na vizazi watakuja kufaidika na hiki kidogo. Kadri ninavyozidi kuifanya hii biashara ya...
3 Reactions
51 Replies
10K Views
Habari Ya muda wadau Naweza pata wapi muuzaji wa rejareja wa mita za umeme(kama za luku) (kWh meters) sanasana Three phase Mechanical type (za zamani) Na Smart meters Asanteni Sent using...
0 Reactions
0 Replies
465 Views
Habari za wakati huu wakuu, Niwape pole kwa mampambano mnayoyaendeleza nje ya mitandao kila mmoja kwa upande wake akiamini atapata kile anachokipigania. Bila kupoteza wakati nielekee moja kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom