Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nina miaka mitatu kazini, ninapata mshahara mzuri sana ila sielewi mshahara wangu unaishaje, siwezi kutunza fedha kabisa, mshahara ukiingia utafikiri napandwa na wazimu kila kitu nitataka ninunue...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama unajua vizuri kuendesha gari nanunayo gari au unaweza kuikodi basi karibu inbox tufanye biashara. Ndani ya week moja hadi mbili zitoshe mtu kufahamu kuendesha. Tafadhali karibu Sent using...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jipatie taarifa na maarifa mbalimbali kuhusu sekta ya miliki kuu kupita jarida hili. Soma Jarida la The Darproperty bure, fuata link hii The Magazine(March 2019)
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hatua zipi ili (Muuza) aweze kufikia wa wadau kwa kutumia jukwaa la "Mitandao? Je! ipo kampuni rasmi inayopokea, kuandaa, na kuweka matangazo kwenye Mitandao? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Habari wanaJF? Nina imani tunaendelea vyema katika kutafuta mafuta ya kulainishia vyuma. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kama unasoma hapa nina uhakika sio mara moja au mbili umejiuliza...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Hi there, Look...I won't keep you long just take a look at what I'm making right now! I recently joined a program that's been paying me each and every hour - without lifting a finger! I just...
2 Reactions
1 Replies
870 Views
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kunijalia uzima ambayo ni zawadi kubwa huku nikitumai kuwa hata wewe u mzima wa afya, pia nikushukuru wewe kwa kufanya kosa hili la kusoma thread hii kwani...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Mwezi uliopita kampuni ya uzalishaji ndege yenye makao yake makuu france airbus, ilitangaza kuwa ifikapo mwaka 2021 itasitisha rasmi uzalishaji wa ndege zake kubwa za A380, walisema kwa masikitiko...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwezi uliopita kampuni ya uzalishaji ndege yenye makao yake makuu france airbus, ilitangaza kuwa ifikapo mwaka 2021 itasitisha rasmi uzalishaji wa ndege zake kubwa za A380, walisema kwa masikitiko...
1 Reactions
0 Replies
717 Views
Mwezi uliopita kampuni ya uzalishaji ndege yenye makao yake makuu france airbus, ilitangaza kuwa ifikapo mwaka 2021 itasitisha rasmi uzalishaji wa ndege zake kubwa za A380, walisema kwa masikitiko...
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Habari !!, natumaini wote ni wazima wa afya bila kupotea mda acha niende kweye mada moja kwa moja!. Wadau nilikuwa naomba ushauri wenu ,mm natarajia kumalizia chuo miezi ya hivi karibuni...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu Kwa wanaoishi mkoa wa Tanga au wenye uzoefu na mkoa huo...je kuna fursa gani ya kibiashara mkoa ule??(tanga mjini)! Ahsanteni
2 Reactions
6 Replies
8K Views
Wanajukwaa! Nina wazo la kuanzisha microfinance, kwa mwenye uzoefu au ufahamu juu ya hili, minaomba tusaidiane. Nataka kufamu kuhusu namna ya kusajili, mtaji wake na pia taratibu mbali mbali...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Wakuu mimi elimu yangu ni kidato cha 6,nina mpango wa kuanzisha kampuni yenye mtaji wa million 3. Biashara sio mpya, bali naongeza mtaji na kuifanya kampuni. Process baadhi nazijua, za kwenda...
0 Reactions
11 Replies
12K Views
Habarin wana jamvi. Niko na EFD Machine lakini kila nikiwasha inaprint Power Fault na haiendelei popote msaada kutatua tatizo hili. Natangulza shukrani
0 Reactions
1 Replies
10K Views
Habari ndugu. Natumai u mzima wa afya kabsa, Leo Ni siku njema kabisa ambayo ningependa kukushirikisha kitu kimoja ambacho vijana wengi wa kitanzania na Afrika kwa ujumla tumekikosa katika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu katika zunguka yangu nimehamia mji mpya nashangaa nataka fremu niweke biashara yangu Dalali amenitajia Bei yeye badala ya Mwenye banda.. Wazoefu nielewesheni nimetoka kijijni nimezaliwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninataka kutuma documents in hard copy zifike Toronto, je njia gani itakuwa reliable and most efficient zaidi?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau hasa wanywaji wa pombe, kwa anayejua anijuze ni kinywaji gani ambacho mtumiaji akitumia hakitamsababishia ugonjwa wa sukari kwa hizi pombe kali. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Bodi ya utalii Tanzania(TBT) kwa kushirikiana kushirikiana na taasisi ya Magnet Youth Sports Organization inatarajia kumleta mshambuliaji wa kimataifa wa Denmark mwenye asili ya Tanzania ambaye...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom