Bando la 500 internet la vodacom kwa kweli linatesa bora usijiunge hata ujibane vipi hzo mb 70 ni kazi sana kumaliza lisaa
Kwa uchumi huu naomba kujua mtandao gan ambao unanafuu kwa sisi wenye...
Husika Na kichwa hapo juu, mimi ni muhitimu chuo kikuu ,nahitaji mshirika anayependa kilimo, niko shamba tayari ,muhoro rufiji pwani, nimefanya upembuzi yakinifu,kulingana na msimu ,nahitaji...
Wakuu,
Nimepata wazo la kipindi cha televisheni ambalo likifanyiwa kazi kinaweza kuwa ni kipindi kizuri sana sssa najiuloza ni mambo gani ya kufuata ili niweze kufanikisha ama kwa kuuza idea au...
Ni siku ya jumamosi asubuhi napigiwa simu na jamaa yangu mmoja akitaka kujua ratiba zangu kwa siku hiyo.namwelekeza. ananambia kama sitojali jioni anipitie niende kumsalimia mjomba wake mgonjwa...
Kama nilivyosema Wanajf msinichoke.Bado naendelea na kaduka kangu nyuma ya genge kwani nilifanikiwa kufungua vyote viwili.Tatizo sijajua namna ya kupiga hesabu na kujua nimepata faida kiasi gani...
Habari wana jukwa poleni na majukumu ya hapa na pale,
Kimsingi sisi vijana ni wapambanaji sana katika kufanya shughuli mabalimbali za kutuongozea kipato, na hivyo hujikuta tuna fanya biashara...
Habari...
kwa muda mrefu nmekua na ndoto ya kuzalisha maji ya kunywa yenye kiwango je'
kipi kinahitajika ili kufanikisha ndoto hiyo
offcause sijaona maji na brand yenye kiwango cha...
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imewapokea watalii 69 waliowasili leo jijini Dar es Salaam wakitokea Afrika Kusini kupitia reli ya TAZARA.Watalii hao kutoka Mataifa Mbalimbali, wamewasili katika...
Hi JF Members! Naomba mwongozo wa namna ya kuanzisha na kusajili Gazeti ikiwa ni pamoja na gharama zake. Tayari nina business idea na napenda kufahamu utaratibu unaotumika hapa Tz. Nawasilisha
Wadau naomba msaada na ushauri kwenu
Nataka kufungua kampuni itakao fanya mambo yafuatayo
1- Wirering za majumbani, na kwenye maghorofa
2- Installation ya umeme kwenye mitambo
Nataka kujua...
Ata kama tunataka kuwa na tanzania ya viwanda hii ni too much Ada imepanda sana kwenye miamala,
Siyo kwenye miamala ya Simu mpaka bank ada imepanda mara dufu,sijui kama watu wanaliona hili...
Mimi muajiriwa ninakatwa kila mwezi mkopo wa elimu ya juu, ni jambo jema kwa maendeleo ya nchi yangu hususani kuwezesha vijana wengine wasome.
Nilikuwa na nia ya kulipa sehemu ya deni langu HESLB...
Habari
Rejea mada tajwa hapo juu nafahamu humu jf tupo watu Wa fani mbalimbali hivyo ndio maana nimeleta mada hii nikijua nitapata majibu kwenu
Nina mpango mkubwa Wa kuanzisha studio ya muzuki...
SHILINGI YA TANZANIA YAIMARIKA KWA 3% DHIDI YA DOLA YA MAREKANI.
Leo 13:15pm,10/03/2019.
Baada ya mwezi February shilingi kuporomoka dhidi ya dola kwa 2.15%,Sasa shilingi imeanza kuimarika kwa...
partiner awe na:
1. Mtaji kama million 2 kwa ajiri ya mtaji na vitendea kazi
2. Awe mkazi wa Daresalaam, mwenye ueledi na ushirikiano
MCHANGO WANGU
1. Eneo la butcher, ni kwenye uzio wa nyumba...
*Rules for Success*
(1.) Know what you do.
(2.) Love what you do.
(3.) Have a passion.
(4.) Form strategies.
(5.) Learn from others. (6.) Be focused and consistent.
(7.) Get right information...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.