Tafadhali wahusika wa hiyo idara sikilizeni wateja,
1. Ni rahisi sana kujifunga bila sababu za maana
2. Ukipiga simu hawapokei na mmoja akipokea anakurusha kwa mwingi aidha asipokee na...
habar za mapumziko ya wikendi bandgu,,, napenda kujuzwa kwa watumishi wa serikali waliowahi mkopa crdb siku za karbuni inachukua hadi siku ngapi hadi kuwekewa mkopo tokea siku nmemamalza process...
Habarizeni wakuu, nawasalimu kwajina la yesu kwa wale wakristu na waiislam kwa jina la allah.
Ninaomba kujuzwa hatua zote ninazo paswa kupitia pindi napo kuwa na madini yangu pindi ninapo taka...
Nilivutiwa na huduma za maximalipo na kutokana na nature ya shughuli zangu nikanunua mashine yao.Kamisheni yao ni ndogo sana lakini hilo sio tatizo kubwa kwangu.
Shida ninayoiona sasa ni kuwa...
Habari za muda huu wadau wa JF,nilikuwa naisikia Zanzibar tu, ila Kuna jambo nimeliona limenishangaza.Zanzibar nyama ya ng'ombe ni ghali kuliko kuku.Yani hata kwenye vibanda vya chips ni rahisi...
Wakuu heshima kwenu
Shida haina mwenyewe,naomba kama kuna mdau ambaye anaweza kunikopesha hicho kiasi nilichokitaja hapo juu na kwa riba hiyo anisaidie nimalize shida yangu
Kuhusu kitu cha...
Wakuu siku ya jumamosi nimehamisha salon kutoka mji mmoja kwenda mwingine lakini huku napambana na changamoto ya wateja inafika muda nakumbuka kule kwa mwanzo duh
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za usiku ndugu zanguni,,,
Ngoja niende direct to the point.
Nataka kuwekeza kwenye bodaboda ila ni buashara ambayo sijawahi kumfanya wala kuiwaza.
Kuna jamaa mmoja kanishawishi ninunue...
Aman iwe juu yenu wakuu
Katika tembea yangu nchin Tanzania nimegundua kuwa vijana wengj nchin Tanzania ni machinga
Na ni machinga wenye mitaji ya elf kumi kurud chini na wengi wao Maisha yao ni...
13th February 15
The government has commended the Business and Registration Licencing Agency (BRELA) for its move to reform, modernise and computerise its operations in order to increase...
Wadau wa usafirishaji naomba kujuzwa kama kuna kampuni ama bus ambalo naweza kutumia kusafirishia mizigo yangu kutoka bukoba kuja dar. Mizigo ni music system, mtungi wa gesi mtupu na jokofu(Friji)
Habari wanajamii forum nahitaji msaada wa maelezo namna ya kuweza kununua USD Money (Dola)
Mimi nafanya Biashara zangu ndogo ndogo Online, sasa mara nyingi hua nanunua DOLA na kuituma kwa ajili...
Wana jamvi, heshima kwenu! Kwa wale wenye biashara binafsi au kampuni, inapotokea umeshinda zabuni/mradi wa serikali ambao hauna advance payment; ni njia gani unatumia kupata fedha za kuendesha...
Ndugu zangu salamu ziwafikie,
Nimekuwa nasoma mada mbalimbali hapa jukwaani, wiki hii imetrend mada ya dada wa Mwanza anayeuza makande. Wengi wamemsifia na kumpongeza kwa uthubutu wake, kundi la...
Kukopa sherehe kulipa matanga. Ukiwa katika harakati za kukopa ni vizuri ukafikiri kwa makini(think twice) kuna maswali ya kujiuliza kabla ya kukopa
-reasons za kukopa
-riba
-muda wa marejesho...
Wakuu hapa tayari Nina wazo nahitaji member wengine wa 2 tupange mawazo chanya ya biashara ili tufanikiwe tuna hitaji mawazo chanya yenye Nguvu Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa...
TANZANIA ni nchi yenye rasilimali nyingi na zenye tija kwa taifa kama zitavunwa kwa njia endelevu kupitia mikataba yenye tija baina ya Tanzania na kampuni za kimataifa zinazomiliki teknolojia na...
Kuanzia madawa, spea za magari, huduma mbambali mbali na bidhaa kadhaa wa kadhaa, huwa inasemwa vinapatikana Nairobi. Kama mtu umewahi kuuguliwa na Mgonjwa wako kufikia ngazi ya rufaa ya Kitaifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.