Za mda huu wadau wa hapa.
Leo nikiwa sehem na baadhi ya watu tunapiga story.mtu mmoja akasema ni kama amesikia tangazo kuwa machinga Mwanza mwisho ni mwezi wa sita maana serikali ina mpango wa...
Wanabodi wik iliyopita kuna jamaa yangu katika Biashara yake Toma January ana hasara ..mpaka mda huu amechanganyikiwa aende tra kwa makadkilio au afunge Biashara... Je kwa wataalam WA tax... Huyu...
Habari ndugu na jamaa!
Nimekuja na ka uzi kadogo haka nikihitaji mawazo yenu.
Nipo sekta ya Afya kikazi,nalipwa vizuri pesa kila mwisho wa mwezi, tatizo baada ya siku mbili tatu sielewi pesa...
Umasikini sio kitu kizuri naimani hakuna anaependa kuwa masikini kila mja anapenda kuwa na maisha mazuri but usikubali kuwa masikini kifikra sababu kuwa hivo ni kujichelewesha katika kufikia...
Na Gaudence Msuya,kilimanjaro
Mkuu wa wilaya ya Hai,mkoa wa kilimanjaro ndg LENGAI OLLE SABAYA, Amerudisha shamba kwa wananchi chini ya bodi ya LYAMUNGO AMCOS,Lilokuwa likimilikiwa na...
Na Gaudence Msuya,kilimanjaro
Mkuu wa wilaya ya Hai,mkoa wa kilimanjaro ndg LENGAI OLLE SABAYA, Amerudisha shamba kwa wananchi chini ya bodi ya LYAMUNGO AMCOS,Lilokuwa likimilikiwa na...
Hakika maisha ni vita. Maisha ni mapambano. Mimi pia nimekuwa nikijaribu huku na huku ili kuinua kipato cha familia.
Kazi ya kwanza
Baada ya kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu, nilitafuta kazi...
Team,
Naomba kufahamishwa ni taratibu zipi za kisheria kwa mujibu sheria za Tanzania zinatakiwa kupitiwa ili kuweza kuagiza (to import) vinywaji kutoka nje ya nchi?
Natanguliza shukurani.
Habari yenu wana JF, Naomba msaada kwa anaeelewa taratibu za kuagiza vinywaji moto na baridi kutoka nje ya nchi. Gharama za ushuru mpakani zipoje kwa vinywaji? TFDA au TBS ni mamlaka ipi inaruhusu...
64Door Tanzania is a subsidiary company of 64Door Factory Ltd based in Kenya. The 64Door Factory manufacturing facility located in Nairobi Kenya is truly state of -the- art door solutions service...
Mkurugenzi wa TAHA dada Jaque,
tumeona namna nchi za kiarabu zimefunga milango kwa nchi ya Qatar, na kipindi hiki cha mfungo ni vizuri mkaanza kunegotiate deals ili kujaza nafasi zilizoachwa wazi...
Vijana wengi sana siku hizi tunapenda sana kuwa na maisha mazuri ofcourse kila mwanadamu anapenda kuwa na maisha mazuri hata mimi but sio maisha mazuri tyu kwa kuwa na uhakika wa kupata mahitaji...
Samahani wandugu, ningependa kushauriwa biashara nzuri yenya faida nzuri kidogo hata kama sio kwa haraka maana tuna mipango ya muda mrefu kwa kikundi cha watu nane wenye mtaji wa mil 5.
Najua...
Habari za leo wana Jamii Forums,poleni na kazi.
Nina malengo ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku,na kutokana na kuwa na hitaji la mtaji wa kuanzisha mradi huu,nimeona vema niuze CD ya nyimbo za...
Hidi wana jamvi!
Hapa mji kati (dar ) kula uhitaji wa paka weupe!! Asiye na doa hata kidogo (awe mweupe pe!) sasa kama unaye soko liko usikaliye frusaaa!!!
Naomba kuwasilishaaa!!!
Sent using...
wadau napenda kuliona hili jukwaa la watu wanaopeana mbinu za kutatua matatizo na sio walalamishi, hivyo basi kama unawazo jipya la biashara liweke hapa au modify waliyoweka wengine.
Naanza mimi...
Habari za asubuhi wana jamii,nilikua naomba ushauri wa hizi card za visa na mastercard maana nimefungua ya visa lakini kwenye ku transfer ela inagoma kwa nini.?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.