Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mpaka kufikia kumwomba radhi mkuu wa nchi bwana Makonda zile bia ziliuzwa wapi? nauliza hivi maana huku mitaani kwa mangi bei imendlea kuwa ileile Viongozi acheni ghiriba kupitia biashara za watu.
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Hii ilikua Siku ambayo mkuu Wa mkoa amekiri mauzo ni ya juu kuliko Siku zote alizoongoza mkoa Wa dar es salam. Tujitathimini tujue chanzo cha mauzo faida ya punguzo na ikiwezekana watupe na mauzo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa machinga Kariakoo Steven Lusinde, amesema asilimia 95 ya machinga katika Wilaya ya Ilala, wameshapewa vitambulisho vilivyozindulia na Rais John Magufuli kwa ajili ya watu wa kada...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shirika la viwango Tanzania (TBS),limewataka wazalishaji wenye bidhaa zilizokidhi matakwa, ya viwango na kukabidhiwa leseni za kutumia alama ya ubora,kuhakikisha wanatumia fursa hiyo kupanua...
2 Reactions
0 Replies
761 Views
Kenya Airways will not cancel its orders for the Boeing 737-800 Max jets that have been grounded globally after suffering two fatal crashes in five months, chairman Michael Joseph has said. The...
0 Reactions
5 Replies
776 Views
Hii picha ni from Kenya huyo Mdada anacjoma mahindi na Viazi na si kwamba anazuga bali ni kazi yake ila tofauti ya ya Wakenya na Sisi most of people wameonekana kumtia hamasa. Yeye ndo safari...
2 Reactions
23 Replies
10K Views
Serikali imezuia biashara ya kuingiza na kusafirisha nje ya nchi taka zenye madhara vikiwamo vyuma chakavu, betri zilizotumika na taka za eletroniki mpaka utaratibu mpya utakapotolewa. Taarifa...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Kongole wana stars Jamani tangazo la Makonda linavyosema, Mimi npo hapa the great ila Nakunywa bia kwa bei ya siku zote. Nataka na mimi ni enjoy offer ya Regional commissioner wetu...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Habarini wadau Mkuu wa Dar es Salaam Mh Paul Makonda alitamka bei kupungua bei kuuzwa nusu ya bei ya awali. Ikumbukwe timu ya Taifa inaliwakilisha Taifa kwa ujumla na si Mkoa wa Dar es Salaam...
10 Reactions
69 Replies
6K Views
Naomba msiniulize kwanini, ila jueni tu baada ya bureau mnaofuata ni nyinyin hapo maana inasemekana sasa hivi watu wamebadili style ya kuchange pesa. Kuna watu kibao baada ya kushindwa kuhamisha...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu hivi nini tofauti ya masalio halisi na masalio yaliyopo kwenye miamala ya bank?
1 Reactions
29 Replies
13K Views
Wakuu Kama mnavoona hali ya mechi ya leo, mimi siumii Stars Kutokwenda AFCON naumia hili suala la nusu bei likitupita sisi wadau wa vinywaji. Dua na sala ziko kwenu na ninyi mjitume sana sana ili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hiki kitabu ukikisoma mwanzo mwisho ama kweli kinatia hamasa na kama unaajira ambayo haieleweki unaweza andika barua siku hiyo hiyo Lakini kitabu hiki kimekaa kinadharia zaidi na vitendo vyote...
12 Reactions
40 Replies
13K Views
aisee nyie wauza maziwa mnazingua sana,sometime mtu umeamua kwenda kupata maziwa ili uboreshe afya unakuta mmejaza maji mpaka ladha inapotea.ndo vyuma vimekaza au,na sisi wanywaji ia mambo si...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuu habar zenu.. Nina bucha liko mbagala Naitaji mtu wa kuniletea samaki kwa bei ya jumla.. Samaki sato na sangara... Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Simu yangu note2 iliisha chaji nakutochaji kwa siku nzima cha ajabu kuja. Kuchaji haingizi chaji nikitoa betri na kuchaji kwa mchajio wa Kobe ola nikaazima betri yenye chaji nikiweka bado haiwaki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kataka kuonyesha kumuunga mkuu wa mkoa Paul Makonda , Serena Hotel imetangaza uuzwaji wa vinywaji vyake vyote nusu Bei kesho Kama taifa stars ikishinda mechi muhimu dhidi ya Uganda ili watanzania...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Wakuu nimekuta ubishi wa watu kijiweni wakibishana kuhusu pesa yenye thamani duniani. Wengine wakisema pound ipo juu, wengine dola ipo juu, wengine Euro ipojuu na mwingine anasema dinari ina...
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Je? 1.TRA ITASIMAMISHA WAJIBU WAKE KWA 6 HRS? 2.MASHINE ZA MALIPO ZITAKUWA MUTED? 3.SERIKALI ITATOA SUBSIDY? AU ITAKUWAJE? maana naibu rahiisi kasema hashindwi kwa tangazo hili lisilo na...
4 Reactions
46 Replies
6K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameahidi Kama taifa stars itamfunga Uganda jumapili Basi Bei ya vinywaji vyoye jijini vitashushwa kwa masaa 6 ili watu washerekee. Hi ni habari njema kwa wazee wa...
10 Reactions
188 Replies
23K Views
Back
Top Bottom