Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ni jambo la faraja sana kwa mkulima wa MITI kusikia kuwa miti ya mikaratusi/milingoti inahitajika kwa ajili ya kutengenezea plywood. Uhitaji wa mti wa mkaratusi ni mkubwa sana kwa sasa katika...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Heshima kwenu,. Kama kichwa kinavyosomeka, nina ombi kwa yeyote anayeweza kuguswa anisaidie mtaji kwa njia ya kufanya kazi ya pamoja kwenye kilimo au ufugaji, hasa nyanya na kuku, kipaumbele...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasalaam wana Jf, Ndugu zangu nina ombi kwenu hasa kwa anayefahamu uwepo ama (Viability) ya hii biashara ya ngozi, nimehamasika sana kusindika ngozi ikiwa ni njia moja wapo ya kuiongezea dhamani...
0 Reactions
15 Replies
12K Views
Jamaji wakuu, hi yaweza kuwa ni madini gani..? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini wanaJF, naombeni msaada hapo nilikuwa nafanya application ya kusajili jina la biashara ila nilipofika hapo ikaandika hivyo na kila napoclick proceed bado inaaniletea hayo maneno TRY LOAD...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari za jioni, nimepata gari huku Malawi kwa bei ya kutupa ni rahisi nikionanisha na bei za nyumbani Tanzania. Nataka kuinunua ina namba za usajili za hapa Malawi je itanigharimu kiasi...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ukiona hiyo System ya Brela ilivyopambwa na kuandikwa vitu vya maana.... Unaweza kufikiria kuwa vilivyomo ndani vina akili sana kumbe Uozo mtupu. Uncle Magu pitia pale Brela kumbe unatupiwa lawama...
15 Reactions
61 Replies
11K Views
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeanza uhamasishaji wa kuwavutia Wawekezaji watakaosaidia kuwapeleka watalii katika maeneo ya Ukanda wa Ziwa baada ya Serikali hiyo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu.. Wakuu nisaidieni namna ya kupunguza kodi tra huko maana kwa kodi hii niliyoletea mawiwili either nipate hasara au niususe mzigo bandarini hapo hapo. Nafahamu huku JF kuna...
5 Reactions
63 Replies
8K Views
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS) umefunga mtambo wa kuchakata asali wilayani Manyoni mkoani Singida. Akizungumza jana Machi 14,2019 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano TFS Tulizo Kilaga...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwenye kufaham wanao uza hzi play game za disain hii. Msaada plz
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nina 50m, naweza kwenda China kufunga mzigo?
2 Reactions
127 Replies
27K Views
Habari wadau,nahitaji kujua vigezo na masharti ya benki zetu kwny huduma hii ya mkopo wa kununua nyumba,kujenga su kumalizia,nimejaribu kugoogle cjapata. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamaa mmoja alifika sokoni na mchele gunia 180 za kilo mia kila moja. Akatokea dalali mmoja akaja kama mteja. Wakaanza kupatana bei mpaka ikafika 1700 kwa kilo bei ya jumla. Dalali akalipa cash...
6 Reactions
68 Replies
6K Views
Nani aliye design kuwa hili crate la mayai liwe la plastic au la material yoyote lakini lazima libebe mayai 30.hii Ni kwa dunia nzima nchi zote hutaona trei lenye mayai 20 au 24 au 40.hiki kipimo...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Wakubwa Kwema? Nawezaje kupata hii Land-line number pamoja na simu yake? Nahitaji pia iwe ina uwezo wa kufoward calls kwenye namba ya simu ya mkononi.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamvi poleni na majukumu ya kiTaifa, nataka kufanya ujasiriamali wa biashara ya maturubai kwa ajili ya matukio ya kijamii kama vile msiba, hitma, 40, bridal shower na harusi.. Naomba msaada wa...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Kumekuwepo na mdororo wa bei za mazao kwa wakulima je kuna tatizo gani na Je Bodi za mazao zina msaada gani kwa wakulima kwa upande wa masoko? Kumekuwapo na malalamiko ya sehemu kubwa wakulima...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nawafikiria walioweka nyumba zao wakachukua mikopo Benki wakafungua Maduka ya kubadilisha Fedha za kigeni Nadhani wataangaliwa wasiumie!! Kwaresma njema Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
21 Replies
3K Views
JIFUNZE KITU APA [emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541] The most powerful business in the world (Biashara kubwa kupita zote duniani) Biashara...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom