Wapendwa habarini za muda huu....
Mimi nina wazo la kufanya biashara ya urembo kwajiri ya kinadada na wakaka... Kuuza mafuta, lotion, hereni, bangiri vibanio na mambo mengine kama hayo ...
NIMEKULETEA LIST ZA BIASHARA MBALIMBALI.... KAMATA MOJA UJIKOMBOE
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha.
3. Kutengeneza na kuuza...
On my personal observation, naona tuna vyombo vichache sana vya habari vinavyoripoti habari za biashara na sijui ni kwanini!.
Tunaupungufu mkubwa sana wa business magazines, TV shows au hata TV...
Wana JF, kuna neno nimepewa na mchumi maarufu hapa nchini. Nadhani wengi mmesikia maelezo yasiyoridhisha kuhusu kushuka thamani kwa shilingi japo ya hatua nyingi zilizochukuliwa na serikali ambazo...
Habari waungwana !
Hivi karibuni nilibahatisha kiwanja cha mawe ya chokaa(mgodi) ekari 50 nikakinunua kwa taratibu zote
Naomba Wajasiriamali mnishauri juu ya uanzishaji kiwanda, majhitaji ya...
Afisa mwandamizi wa Ubalozi wa Austria wenye makazi yake Nairobi, Kenya. Bw. Kurt Muellauer akifungua Kongamano la Biashara lililoandaliwa kwa ushirikiano kati ya Chama cha Wafanyabiashara...
Nimekuwa nikiendesha blog yangu ya TOFAUTY BLOG (www.tofauty.ga) Lakini kulingana na jina hilo la .ga nikataka kulibadilisha liwe www.tofauty.com nikaweka hela benki kwa ajili ya kuweza kununua...
Ndugu zangu habar za asbui,naombeni mnisaidie kujua application za mikopo ukiondoa Tala na branch.plz ziwe ni zile ambazo unauhakika/ushaidi kuwa kuwa zinatoa . Nawatakia asbui njema na kazi...
Wapendwa habari zenu jamani,
Kwa mtu anayetarajia kufungua duka la vipodozi ningependa kupata suggestions za majina mazuriyanayofaa kutumika kwenye duka la vipodozi..
Kama si hivyo naomba kwa...
Wiki iliyopita nilikuta ubishi kati ya Maafisa wa leseni na Mfanyabiashara, ubishi ulikuwa mkubwa hadi kuwajaza wapitanjia na Wafanyabiashara majirani...
Duka nililokuta hayo mabishano linauza...
"Ukitaka kujua ubaya wa Elimu ya Tanzania ukihitimu chuo mfano umesoma miaka 3 ukienda kuomba Ajira unaambiwa wanahitaji Mtu mwenye Experience ya miaka 5" Je miaka yako Mitatu uliyokuwa chuo...
Naomba kujua wakuu, nilifungua kaduka kadogo mwaka jana desemba, nikisubiri January ili niende kufuatilia tin namba na leseni fremu ni banda la mabati. , sasa ukaja huu mchakato wa vitambulisho...
Habarini wana Jf?
Naombeni kujuzwa kwaanae ifahamu lulu ya baharini sijui niite ni madini ya lulu au kito sijajua ipo kwenye group gani?
Kwaanaejua thamani yake na umaarufu wake.
Natanguliza...
Salamu kwa wafanyabishara wote, aluta continua.....
Kuna ishu moja binafsi imekuwa kero sana kwangu naona niiseme tu. Maeneo mengi ya biashara au ofisi za kazi mfano saluni, hotel/migahawa...
Kiwango cha mshahara nilichokuwa nacho baada ya makato yote ni 545,000/= baada ya kuchukua mkopo mwaka juzi wakawa wananikata 147,861/= na kiwango cha mshahara ninachoenda nacho nyumbani ni...
Unapofikiria ni biashara gani uanzishe. Anza kufikiri biadhaa au huduma ambayo ina uhitaji mkubwa kwa jamii au watu.
Na kama biadhaa au huduma yako ikiwa inauhitaji mkubwa sana. Basi tayari...
Kampuni moja yenye brand nne sokoni. Kampuni hii yenye makao yake makuu Shenzhen China imejikita zaidi Africa kwenye biashara zaidi ya simu za mkononi.
Kampuni hii kwenye upande wa simu za batani...
Habari wakuu,
Naandika uzi huu kutokana na kero nilizokutana nazo siku ya leo hapa wilayani Uvinza mkoa wa kigoma
Nimetembela wilaya ya uvinza katika majukumu ya kikazi na harakati za maisha kwa...
Wadau habar ya jioni
Nilikuwa na till la M-pesa ambalo nimenunua kwa mtu, si unajua biashara ya matill, Sasa Jioni nimemepoteza simu kwa iyo limepotea pamaoja na simu
Tatizo ni kwamba Yule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.