Habarini wajenga Taifa,
Nina mpango wa kufungua kampuni ya usafi, naomba mawazo yenu ninahitajika niwe na kipi na kipi?
Yani ni vitu gani vya muhimu vya kuwa navyo au kukidhi ili kuweza...
Dreamliner likianza kupaa nje ya TZ likachote Watalii Nairobi na Johannesburg kisha breki ya kwanza KILIMANJARO kisha Zanzibar. Dreamlinee iachane na route ya Mwanza isiyo na Mashiko. Huko Mwanza...
Habari za kutwa mwana jf mwenzangu?.
Leo nimefikiria jambo nikaona sio mbaya kama tukilijadili kwa pamoja. Tatizo la watu wengi ni kutokuwa na ujuzi katika jambo fulani hasa katika ukulima au...
Naombeni kujuzwa jinsi ya kufungua maabara kwa ajili ya kupima malaria, mkojo, na haja kubwa.
Pia naomba kujua gharama za vifaa vinavyohusika na mtaji wote kwa ujumla.
Habari wanaJF? Nina imani tunaendelea vyema katika kutafuta mafuta ya kulainishia vyuma. Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kama unasoma hapa nina uhakika sio mara moja au mbili umejiuliza...
Wana jf ni matumaini yangu my wazima was afya,naomba tafadhari naomba kujua makato pindi utumapo pesa kutoka NBC kwenda Benki zingine kama CRDB,NMB n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Iapo serikali itawawezesha wananchi kurasimisha shughuli mbalimbali za kibiashara na kiuchumi na kuwa wezesha wajasiriamali kupata huduma za kitaalamu,mitaji pamoja na fursa za masoko ya nje na...
Habarini say Asubuhi wadau wote wa JF hususan wabobezi katika hii. kona maalum ya Uchumi, Kama kichwa kinavyojieleza, nimekuwa nikiona vitega Uchumi vingi katikati ya mji (kwa maana ya...
Habari wakuu...
Kwanza niwashukuru sana kwa kusoma huu uzi.
Nataka kufahamu hizi biashara za networking ni ipi bora zaidi maana kila siku inaibuka mpya juzi kati kuna jamaa yangu alinialika...
Naomba kuuliza hivi ela za Oman aina ya baisa INA maana hazitumiki huko omani na kwanini Tanzania wanakataa kubadili Baisa, Ila wanakubali Riyal INA maana baisa hazitumiki tena au hazitumiki tz...
Habarin za mida hii, naomba kupata mtu/watu/taasisi wanaojihusisha na kutoa mikopo kwa riba nafuu, nipo Dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wale wanaotoa bidhaa China au popote duniani, iwe nguo aina zote, viatu nk naombeni mmoja wenu atakaeniamini tufanye nae biashara,mi ni mwenyeji sana nchini Msumbiji, bidhaa toka Tanzania...
Hod humu jukwaan,..mimi n mjasiriamali ambae hapo mwanzo nlijisajiri na kupewa tin namba tra..na nimekuwa mlipaji mzuri tu wa kodi,..miezi michache iliyopita likaja tangazo la kwamba wote wenye...
Wadau naona zantel kupitia hisa 85% za Et El Salat imenunuliwa na Millicom ambayo ni kampuni mama ya Tigo Tanzania.Ila jina la kampuni litabaki kama Zantel na vile vile Serikali ya Zanzibar...
Habari za mwaka mpya Wana JF,
mwaka ndo umeanza tutafte pesa kwa namna yeyote ile, Tuache uoga athari za umaskini ( dhiki) ni chungu mithiri ya Moto wa jehenamu.
Na.amiri kilagalila
mc.amiri,mr.mtaani
Kwa mjasiliamali na mfanyabiashara yeyote Tanzania ukitaka uendelee kufanya shughuli zako kwa uhuru zaidi basi ujue tu lazima ufuate utaratibu.
Ni kwambie...
Namaingo na mkakati wa kuunga mkono jitihada za Serikali kuboresha kilimo.
Na, MOHAMED HAMAD-DAR ES SALAAM
Serikali na mashirika ya umma hapa nchini, wamekuwa na mikakati mbalimbali ya kuboresha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.