Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hivi sumatra hawajaliona hili, haiwezekan kwenye maji kukawa na bei kubwa sana mwendo wa saa 1.30 na Dom mwendo wa saa 9 mpka 10 Naomba kujuzwa tofauti yake au huwa wanaangalia nini, maana...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Fore all those who are interested in the field of Agricultural Economics and Agribusiness; You are kindly welcomed to join The Tanzania Agricultural Economics and Agribusiness Association...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
jambo ambalo sja lielewa ni kukazania tanzania ya viwanda na huku tuna elimu mbovu na atuna teknolojia yeyote tunayo weza kuitumia ili tufike kweny ivo viwanda mi nnavyo fahamu tungekuwa na...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Utangulizi Biashara ni utafutaji na usambazaji wa mahitaji ya walaji au watumiaji katiks sehemu mbalimbali. Ili biashara iendeshwe kwa mafanikio kuna taratibu za kusheria ambazo nilazima...
10 Reactions
3 Replies
19K Views
Source: Wakulima wa korosho walipwa bil. 133/-
0 Reactions
2 Replies
680 Views
Nimeshangazwa kidogo na huduma za mtandao wa Aitel nimekuwa nautumia kwa kitambo kidogo hatimae nikaibiwa simu nikabaki na laini yangu niliosajiri kihalali ikiwa pamoja nakuitumia kwa Aitel money...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari ndugu,naomba kwa wale wote Tuliopo Jiji la Dodoma na tuna ujuzi kuhusiana na Computer na hata kama mtu ana elimu kuhusiana na Computer,naomba tutafutane kuna ishu ninayo hapa...nitafute kwa...
0 Reactions
3 Replies
899 Views
Fastjet yapewa notisi ya siku 28, yatakiwa ijitafakari Fastjet yapewa notisi ya siku 28, yatakiwa ijitafakari Mamlaka ya safari za Anga Tanzania (TCAA), imetangaza kuwa kampuni ya ndege ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ndugu msomaji popote pale ulipo, na matumaini uko salama hadi wakati huu, ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwani wengi walitamani kuwepo leo lakini hawapo kwa mapenzi yake Mungu...
1 Reactions
14 Replies
20K Views
kumekuwa na rushwa na ufisadi usiojali maslahi ya nchi hata kidogo kwenye utoaji wa tenda za insurance/ Bima yanayo husu mashirika ya umma. ni mtindo sasa kwa mashirika mengi kutoa tenda kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
> Mamlaka hiyo imesema inatambua uwepo wa Watanzania wanaofanya biashara kupitia Mitandao ya Kijamii hivyo wote watakiwa kujitokeza ili wapewe namba ya mlipa kodi(TIN)
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hapa na pale kila uchwao naona wenye uthubutu wakiimarika, inatia moyo sana.... Pongezi kwa wale waliochagua mbio za mwendo mrefu na medani zisizotundikwa kifuani. Wadau leo naomba mlitupie macho...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
aisee wakubwa zangu natafta mdhamini au mtu mwenye kazi yoyote maana sina mkopo afu ada ni kubwa kiasi ata nikiacha chuo io ada staipata nipo Bachelor in shipping and logistic management pale Dar...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama title ilivyo ninatafuta mdau mwenye vibali na mtaji pori la kwangu tukate mkaa kwa partnership hapo tanga . Karibuni wadau mlio interested.
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hao. Ni mwendo wa kodi tu. Hapa kodi tu. Wamejiandaaje? Tumejiandaaje? Wataweza kuifuatilia hiyo kodi? Hebu na tuone
0 Reactions
0 Replies
628 Views
Habari wakuu! Katika harakati za kuongeza kipatao kuna wazo likanijia. Mara nyingi tumezoea kwenye sherehe kama harusi, Send-Off na sherehe kama hizo za nyakati za usiku kunakuwa na vinywaji...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu nahitaji watu wawili tushirikiane kupiga kazi Kazi nimepiga hesabu ni kuwa tukianza na mzigo wa milioni sita(6,000,000) tutaingiza almost milioni kumi kila wiki mbili (haya ni makadirio ya...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Ninahitaji MTU wa kushirikiana naye kwenye biashara ya kuzalisha unga wa sembe Songea na kusambaza mkoa wa Mtwara na Lindi.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
TANZANIA SHARED BUSINESS (TSB) BUSINESS PARTNERSHIP OPPORTUNITIES Tanzania Shared Business (TSB) inatafuta washirika wa biashara katika kampuni ya kuzalisha unga wa sembe Songea na kusambaza...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom